ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก
DARWESH OMARI SONGOLO"HIVI KUKU NA SISI NANI MWENYE AKILI" ANAKUAMSHA USALI WW UNAMSINDIKIZA MWAJUMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2023
- Simba na yanga magoli matano mtu anakata moto| kuku inakuamsha usali ndo unamsindikiza mwajuma kwao au mke wa mtu
#daarularqamOnlineTv
#akramamkaku153
Mashaala tabarakalah nakupenda mujomba,omar❤❤😅
Allah akbaru mawaidha mazur allah akubariki
Ma Shaa Allah
Masha allah
Khabar kubwa❤
MAA shaa Allah MAA shaa Allah
Nice
MashaAlah shehe omari songolo
Baarakallahu fiik
Shukrn
maa shaa Allah hapa ni Kijiji gani naomba kujua
Hapa ni kondoa wanaita kidongo cheusi AMBAPO kunajengwa chuo Cha ussisa Kilometa kama 4 kutoka kondoa mjin
@@daarularqammkaku153 MAA shaa Allah shukran Sana kwa kunifahamisha Allah akulipe khery
@@user-bo1xl6ec6n shukran sana habib
Kidongo cheusi(kondoa
Majinuni akiomba dua haipokelewi na allah
Mashaala
Shukrn
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa kaka yang wadamu
Mashaalah
Asalamu alaikumu hawa
@@user-fq3gs2jx8h waalyk salaam vp unamkusudia Hawa rashid
Mm.hawa.halifa.wa..sogolo
@@user-fq3gs2jx8h owh mashaalh
Mashallah
Mashaalh
Mashaall❤❤❤❤
Nice
Had nimepamic nyumbani jamani
@@Salma-dt9kc fanya urudi sas ukawasalimie🥰🥰
Nawaomba huyu akienda Haflat yoyote jaribu kumpa hata kama ni dakika kumi azungumze....ana Alama ya uchamungu
🤝🤝🤝
Asili ya wachamungu Allah amewaeka namna hiyo....utamuona ni chizi kumbe sichizi kwa ivoo tusimdharau
Asante
Majinuni akiomba dua haijibiwi na allah
Allah anaitikia dua ya yeyoto atakae muomba usipotoshe umma soma kwanza
@@JoriJori-es2re soma hukum za Dua acha uzushi Dua ni ibada na ibada kwanza akili timam mmeacha kufata Sunna mmezidi kuharibu majnuni Kalam imelala ndo maana mnazikuri makabirini
@@IjumaaIjumaa سورة البقرة 186 anglia Allah asema وإذا سألك عبادي عني فإني قريب أجيب دعوة الدعي إذا دعاني،unaweza ukatudhibitishia kua majnunu siyo mja wa Allah
@@JoriJori-es2re Dua ni ibada na kama ni ibada majnuni harusiwi kuwaombea waumini kwasabubu ni majnuni kwa mfano ndani ya Dua skichekesha nani anapata zambi nyinyi yeye na hiyo aya mfasiri ni mtume mohamad sw mja wa Allah yupi majinun Kalam imelala elewa hapa amchaoallah akiwa na akili timam ndo kalazimishwa ktk ibada
@@IjumaaIjumaa tuendelee ksoma hivi yupo majinuni anaweza eleza habari kama hizo?