Mara mia wazungu wangeendelea kututawala Hadi Sasa tungelikuwa na unafuu wa maisha kuliko utwlll huu tumekuwa mazezeta kinoma pesa hatuna Hadi maarifa tumekosa
HII NDIO TABIA YA TANZANIA.. KAZI ZINAPEANA KWA UKOO. MANA JAMAA KILA ANAEWATAJA NI WATU WA KWENYE FAMILIA YAKE NA NI WA KWENYE VITENGO. KAZI ZA UKOO KWA UKOO
Kama hujui jaribu kujifunza salute siyo ombi haijalishi ni nani na ana umri gani na humpigii yeye unapigia heshima ya commission aliyonayo ndio maana wengi wakijua huyu ni mzazi na mtoto mnafanya kazi sehemu moja na mtoto lazima mmoja ahamishwe na kama ni mzazi kwa heshima anaomba kustaafu ili kuepuka hizo kadhia analinda heshima yake na mtoto pia
One day naamini 20-30 years from now Tanzania will end this dictatorship mentality and people will have the freedom to do/say whatever they want as long as you not crossing the line..
mbona nchi hii ngumu sana sasa cm toka mwezi wa nane iko police eti maabara inafanya nini yaani nchi ina manyanyaso sana, leo ndo nimegundua kuwa waigizaji wengi wanaigizia sale za hovyo hasa kwenye scene ya police kumbe wanapangiwa cha kufanya daa kazi kweli
Tena wanaharibu pesa za watz mil 50 kumzawadia alotunga wimbo ambao hata hawauheshimu..Tanzania yetu ndo nchi ya kusifiw...hapa ulimwenguni n.k,,unafiki mtupi,Amani iko wapi?tupeni majibu ya kibao,soka,kijana alochoma picha n.k
Ndo maana wenzetu wanapiga hatua kwenye move zao but sisi tutaishia kukamatana tu.
Police wa tz hovyo kabisa Sasa uchunguzi wa simu Miezi mnne uchunguzi Gani
Mara mia wazungu wangeendelea kututawala Hadi Sasa tungelikuwa na unafuu wa maisha kuliko utwlll huu tumekuwa mazezeta kinoma pesa hatuna Hadi maarifa tumekosa
Umeona eee
Kumbe huyo host ndio jailos😅😅
Anafanya dabbing Azam tv, hiyo sauti nimeikumbuka!
Muda wote huo ndio wanakagua cm haiko sawa kabisa!!!😂
Shida ya kuajili waliofeli
Aiseee police wa bongo washamba sana na hatutakaa tuendelee kwa. ujinga huu
HII NDIO TABIA YA TANZANIA..
KAZI ZINAPEANA KWA UKOO.
MANA JAMAA KILA ANAEWATAJA NI WATU WA KWENYE FAMILIA YAKE NA NI WA KWENYE VITENGO.
KAZI ZA UKOO KWA UKOO
Sauti ya mtangazaji kama naiskiaga kwenye tamthiliya za Azam two!
Kazi ya laana
utoto huo salute sio lazima kama unavofikiria tena kwa mzazi wako haiwezekani naona umeifanya sababu kubwa kwenye jambo lako
Kwa Sheria za Nchi gani?
Ni lazima sio ombi kama mtoto wako ni afisa utapiga salute usijidanganye
Kama hujui jaribu kujifunza salute siyo ombi haijalishi ni nani na ana umri gani na humpigii yeye unapigia heshima ya commission aliyonayo ndio maana wengi wakijua huyu ni mzazi na mtoto mnafanya kazi sehemu moja na mtoto lazima mmoja ahamishwe na kama ni mzazi kwa heshima anaomba kustaafu ili kuepuka hizo kadhia analinda heshima yake na mtoto pia
Hujui kitu tulia
Wadhulumati sana hao mdogo wangu simu xake mpaka Leo zimepotelea central polisi
Hii nchi inapolis wa ovyo sana
Nchi ya hovyo sana
One day naamini 20-30 years from now Tanzania will end this dictatorship mentality and people will have the freedom to do/say whatever they want as long as you not crossing the line..
30yrz will be so long.. brother we only have 10yrz bro people have changed and this brutality has to end now or toolate
Polisi wa ajabu xana loohhh😢
mbona nchi hii ngumu sana sasa cm toka mwezi wa nane iko police eti maabara inafanya nini yaani nchi ina manyanyaso sana, leo ndo nimegundua kuwa waigizaji wengi wanaigizia sale za hovyo hasa kwenye scene ya police kumbe wanapangiwa cha kufanya daa kazi kweli
Hahaha daar, haya ndo maisha ya bongo
Halafu Kuna Mtu anaongea Jukwaani, anasema Tanzania Tuko Huru..
Tena wanaharibu pesa za watz mil 50 kumzawadia alotunga wimbo ambao hata hawauheshimu..Tanzania yetu ndo nchi ya kusifiw...hapa ulimwenguni n.k,,unafiki mtupi,Amani iko wapi?tupeni majibu ya kibao,soka,kijana alochoma picha n.k
Ikiwa hapa tz wewe hauko huru, basi ni vyema zaidi kwako wewe ukahamia kule Palestine kwakuwa kule utakuwa uko huru zaidi kuliko tz.
Hao wanakuwaga askari kanzu Hao
MAJI HUFUATA MKONDO
Jamali rwambo mstaafu anatokea utete
Statement ya around Sekunde ya 12 na ya around dakika ya pili mbona chazielewa
Polisi watanzania nimashetaniu siombe ukutane nao
Amna polis apo