JE UMEJIAJIRI? FAHAMU VIFURUSHI VINAVYOTOLEWA NA NHIF

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Je, unafahamu jinsi ya kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)? Aina za vifurushi na huduma zinazopatikana? Afisa Mwandamizi na Msimamizi wa Shughuli za Ofisi NHIF mkoa wa Ilala Dk Raphael Mallaba na Meneja Uhusiano NHIF Anjela Mziray wanaeleza yote hayo.

ความคิดเห็น • 21

  • @user-so1sj5mj1l
    @user-so1sj5mj1l 4 หลายเดือนก่อน

    Tunakutana na changamoto jaman

  • @suzanesamwel738
    @suzanesamwel738 23 วันที่ผ่านมา

    mbn coment zetu nyingine ni maswali ya muhimu kabisa lkn hatujibiwi mbona???

  • @hidayakisensi2747
    @hidayakisensi2747 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukuran

  • @khadijahassan5415
    @khadijahassan5415 8 หลายเดือนก่อน

    Vipi Kama mmlipaji wa Kaya akafariki

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 ปีที่แล้ว

    Kwa sasa mmetuvuluga.wengine hatuna uwezo,zaidi tulikuwa tunajitahidi kuwaripia watoto wetu,ila Leo hii bima ya watoto,mmeitoa ya 50400.

  • @sarachambo224
    @sarachambo224 2 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni

  • @tisamokebule1542
    @tisamokebule1542 2 ปีที่แล้ว +1

    Natamani kupata Bima naipataje na gharama zikoje kwa mtu mwenye Familia

  • @suzanesamwel738
    @suzanesamwel738 27 วันที่ผ่านมา

    Lakini nina umri wa miaka 24 sasa nilikuwa nikilipia chuoni ilaa sasa nipo nyumbani ila sijamaliza masomo nimesitisha nafAnyaje kupata huduma kwa kutumia bima yangu baada ya ku expire malipo nafanyaje??

  • @suzanesamwel738
    @suzanesamwel738 27 วันที่ผ่านมา

    inakuwaje kama mimi ni mwanafunzi wa chuo lakini nimesitisha masomo nipo nyumbani sasa na bima ime expire kwa sasa nafanyaje ili nipate huduma za matibabu yani malipo ya bima nafinyia wapi??

  • @rabielmmari9444
    @rabielmmari9444 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua jinsi kujiunga na bima ya sfya nikiwa peke yangu na nisiye mwajiriwa

  • @michaelacharles4040
    @michaelacharles4040 ปีที่แล้ว

    Naomba bima

  • @mwanaidimuhamed6540
    @mwanaidimuhamed6540 ปีที่แล้ว

    Tupeni jedwali tusome wenyewe

  • @abdilahhamad7433
    @abdilahhamad7433 2 ปีที่แล้ว +1

    Huduma ya meno vepi??

  • @superyjohn873
    @superyjohn873 ปีที่แล้ว

    Je nikiwa na umri 18-35 baadae umri ukizidi hapo ni utaratibu Gani unafata?

  • @jacklinemosha4943
    @jacklinemosha4943 ปีที่แล้ว

    mi napataje mawasiliano nataka kujiunga

  • @zurfashafii9531
    @zurfashafii9531 3 ปีที่แล้ว +2

    Ofisi zenu zipo wapi na izo uduma tunazipataje

    • @ashamfinanga6438
      @ashamfinanga6438 3 ปีที่แล้ว

      Anzisheni kulipa kidogo kidogo kama wafanyajazi wa serikali

    • @beatricehamaro7953
      @beatricehamaro7953 2 ปีที่แล้ว +1

      Nataka kujua mnatibu Hospitali zipi usije ukakuta nihizi zakata tu

    • @zainabcosmas6961
      @zainabcosmas6961 2 ปีที่แล้ว

      @@beatricehamaro7953mbn me naona hospital zote wanatoa Huduma kl kt

  • @rabielmmari9444
    @rabielmmari9444 2 ปีที่แล้ว

    Nina umri miaka 44

  • @rabielmmari9444
    @rabielmmari9444 2 ปีที่แล้ว

    Nhif