Bima ya Afya kutoka NMB - Afya Salama

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ย. 2023
  • Uhakika wa matibabu unakufanya uishi kwa uhuru na nguvu ya kuzikabili changamoto za maisha!
    Kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya @strategisinsurancetz tumekuletea Bima maalum ya “Afya Salama” kwa ajili yako, familia, kikundi au taasisi ili mfurahie matibabu popote nchini.
    Sogea kwenye tawi lolote la NMB lililo karibu yako ukate bima hii na uepuke gharama zisizotabirika unapohitaji matibabu.
    #NMBAfyaSalama #NMBKaribuYako

ความคิดเห็น •