MASHARTI YA SIRI | UMUHIMU WA KUTUNZA SIRI | OTHMAN MAALIM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • MASHARTI YA SIRI | UMUHIMU WA KUTUNZA SIRI | OTHMAN MAALIM
    Siri Ni Maneno Au Kitu Chochote Ambacho Kinajulikana Kwa Baadhi Ya Watu Na Wengine Hawaitajiki Kukijua Kitu Hicho Au Maneno Hayo Hiyo Ndio Siri.

ความคิดเห็น • 106

  • @salimagulamu4083
    @salimagulamu4083 4 ปีที่แล้ว +21

    Mashallah laiti ingelikuwa binti yng kashafikia umri wa kuolewa ningelimuozesha huyu shekh lkn ndio kwanza binti yng ana mwaka mmoja allah akuhifadh shekh wetu

    • @farhatyally1052
      @farhatyally1052 3 ปีที่แล้ว +1

      Utaniozesha mimi usijal

    • @sudinilla3903
      @sudinilla3903 3 ปีที่แล้ว

      Yarab nijaalie kijana wangu awe mfano wa shekhe huyu mashAllah nafiraika sana kusikia maaaidha yk shekhe Allah akulipe kheri inshAllah

  • @wazirifahima3165
    @wazirifahima3165 3 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah maneno mazuri sana Sheikh wetu, Mwenyezi Mungu akujalie Maisha marefu na afya njema

  • @user-ws9ek8dj5n
    @user-ws9ek8dj5n 4 ปีที่แล้ว +7

    Maasha Allah sheikh Othman shukraan jazzakah Allahu kheir kwa kutupa maneno ya faida kubwa katika Dini

  • @ondegesauda7028
    @ondegesauda7028 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah akujazeni kheri masheikh wetu na awadumisheni ktk kazii hii njema

  • @fatmakapwani8953
    @fatmakapwani8953 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakuelewaga Shekh Othaman maalim

  • @fahadsulaiman9996
    @fahadsulaiman9996 4 ปีที่แล้ว +5

    ALLAH AKUJALIE KILA LA KHERI HAPA DUNIANI NA PIA AKURUZUKU PEPO KESHO AKHERA.

  • @shamimqassim9252
    @shamimqassim9252 4 ปีที่แล้ว +4

    Allahumma swali alaa Muhammad yarabbiswali alaiy wassalam. Swallallahu alaaih wasallam. Mashaallah.

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว +6

    Allahumma swalli wa sallim alaa nabiyyina Muhammad

  • @jannatyabubakar9038
    @jannatyabubakar9038 4 ปีที่แล้ว +5

    انما یخش اللھ من عبادہ العلماء۔۔۔۔Hakika wanaomcha Allah miongoni mwa waja wake ni wanazuoni..Allah akupeni mwisho mwema maulamaa woote na waislaamu woote duniani

  • @issmuking3987
    @issmuking3987 3 ปีที่แล้ว

    Wallahi kuwa muislamu raha na kuskiliza mawaidha raha Allah atujaalie khusnulkhatima 🤲🏻

  • @ashurahamadi8044
    @ashurahamadi8044 4 ปีที่แล้ว +5

    Shukrani maalim Othman, Allah akuhifadhwi ktk dunia NA akubashirie pepo Akhera Insha allah

  • @yahyakiomy1735
    @yahyakiomy1735 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah shekh

  • @julyomwatari9171
    @julyomwatari9171 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah. Allah akupe umri sheikh Uthman Maalim

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah jazzakahllahu kheir sheikh othman

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu shekh nampenda sana sana siku nikija kukutananae nitamuomba anisilimishe kabisa nampenda sana na huwa namfuatilia sana .mwenye namba yake naiomba .ana busara sana

    • @fahadayoub3719
      @fahadayoub3719 4 ปีที่แล้ว +1

      Nifate inbox mana no yake haitoki tu 0786651322 nitafute kwa no hio ili nikupatie no yake

    • @wasohaya
      @wasohaya 4 ปีที่แล้ว +1

      Utampata Zanzibar muulizie maarufu sana na Mola atakupa uongofu in shaa Allah kusilimu.

    • @frediricknandonde1690
      @frediricknandonde1690 4 ปีที่แล้ว

      @@fahadayoub3719 ok nitakutafuta

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

      Mwenyezi Mungu akutangulie INSHA ALLAH

    • @naswidiaabdulkarim5005
      @naswidiaabdulkarim5005 3 ปีที่แล้ว

      Allah akuongeze

  • @ashashaban6484
    @ashashaban6484 2 ปีที่แล้ว

    MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHERI INSHALLAH SHEIKH WETU

  • @fardhosafahadi5022
    @fardhosafahadi5022 4 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh Masha Allah Jazakumullah kheiran kuwa na umri mrefu insha Allah Allah akuzidishie na tunashukuru kwa mawaidha yako yote ❤️

  • @abdulazizmazrui1134
    @abdulazizmazrui1134 4 ปีที่แล้ว +4

    Mashaa ALLAH. Mola akupe afya na umri

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +4

    Jazakallah khayran

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallahu maneno matam sana mungu akupe wngi wa neema zake ishalla

  • @dhayondrama9907
    @dhayondrama9907 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akulipe kheiry

  • @alysstore7464
    @alysstore7464 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah shukuran shekh wetu

  • @kulthumsalum6137
    @kulthumsalum6137 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah jazakallahu kheir

  • @jamilashabani8580
    @jamilashabani8580 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan sheikh Allah akuzidiee umriii, wenyee manufaa ,,, Santeeeeeeee kwa masomo yako mazurii unayo tuleteagaa kila siku zinazoenda kwa mungu,
    Allah awabariki nyotee

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 4 ปีที่แล้ว +3

    Jazakaallah khair

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan Sana sheikh wetu Allah akujaalie kila la kher jazaka Allahu khair

  • @fatumaramadhanmashaallahal9966
    @fatumaramadhanmashaallahal9966 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahuma swali ala saidina Muhammad waalaa ahlihi waasihabihi wasalam shukran wajazaka llahu heri

  • @chamuniyally6680
    @chamuniyally6680 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaa Allah ,Allah akujalie umri mrefu wenye kheri na wewe

  • @hassanharuna1519
    @hassanharuna1519 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazzakallah kher

  • @ebraawadh1693
    @ebraawadh1693 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tabaraka Allah

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah Allah atujaalie tuwe nyuma ya fatma aazaharaa albatul inshaallah shukran sheikh wetu na midia yetu hii pendwa kabisa

  • @aishaabdulrahman8364
    @aishaabdulrahman8364 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah mngu atujalie na ss tuwe niwenye kuzingatia mazuri nakutenda wema na ww mngu akujazi kwa maneno mazuri

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah
    Shukran sana Shaykh wetu
    Baaraka Allahu fiyka

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa allah

  • @yahayaali7970
    @yahayaali7970 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaaallah

  • @fatumajarso9079
    @fatumajarso9079 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma Shaa Allah.! Shukran Sheikh.

  • @himdatabuu980
    @himdatabuu980 4 ปีที่แล้ว +3

    MashaAllah

  • @abdikanzu5261
    @abdikanzu5261 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe swihaa njema na sisi wote

  • @BadBoy-vp8go
    @BadBoy-vp8go 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah shekhee wetu

  • @abdallaali7277
    @abdallaali7277 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana sheikh.

  • @Jomba-lao
    @Jomba-lao 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah shukran sana kwa mawaidha mazuri

  • @sadamasare3458
    @sadamasare3458 4 ปีที่แล้ว +2

    Maa shaa Allah

  • @HassanAli-fu6nb
    @HassanAli-fu6nb 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashhaallahh

  • @mussadenavigator3202
    @mussadenavigator3202 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH akujaalie maisha mazuri ya hapa dunian na kesho akhera INNSHAALLAH

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukrain allah akujaliye kila lakher shekhe

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +3

    اللهم صلى وسلم وبرك عليه

  • @issaabdallah2417
    @issaabdallah2417 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah shekh wet japo tunajiombea duwa lakin ww unakuburi yako nahitaj dua yako nipo dodoma

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 4 ปีที่แล้ว +2

    Allahu Akbar

  • @ahmedrashed7138
    @ahmedrashed7138 3 ปีที่แล้ว

    Maashaallaah

  • @jumaaabdalla1164
    @jumaaabdalla1164 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @hassanmajid4579
    @hassanmajid4579 4 ปีที่แล้ว +3

    اللهم صلى وسلام عليه

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 4 ปีที่แล้ว +2

    mashallah

  • @aliyomar5001
    @aliyomar5001 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @imansaid8020
    @imansaid8020 4 ปีที่แล้ว +2

    Maashaallah

  • @hassanmajid4579
    @hassanmajid4579 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazakumullahu kheyr , sheikh

  • @rashidamiri4900
    @rashidamiri4900 3 ปีที่แล้ว

    Allah Akbar

  • @issahamad6798
    @issahamad6798 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah azidi kukupa nguvu uzid kutupa dawa

  • @OmanOman-bh4yh
    @OmanOman-bh4yh 4 ปีที่แล้ว +1

    She mungu atakuripa

  • @kiluwaselemani4246
    @kiluwaselemani4246 4 ปีที่แล้ว +2

    Je sheghe kama utateleza ukatoa siri kwa bahati mbaya ni dhambi kwa mungu?

  • @hamidamkwizu4914
    @hamidamkwizu4914 3 ปีที่แล้ว

    May Allah bless you

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah shukurn 🇧🇭🙏

  • @dokadoka9426
    @dokadoka9426 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime5717 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah Allah atujaalie tuwe miongoni mwa waja wema kama wema waliopita kwa Rehma zake Allah atujaalie tuwe ni wenye kuficha siri

  • @AhmedSaid-bb3ls
    @AhmedSaid-bb3ls 4 ปีที่แล้ว +1

    🤗

  • @bahiyyathkatakweba144
    @bahiyyathkatakweba144 4 ปีที่แล้ว +1

    Assalam aleykum, Mimi naomba kuuliza swali, kuweka dawa ya kulainisha nywele kichwani inaswihi?

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 4 ปีที่แล้ว

      Bora ikuwezeshe kuchukua udhu....

    • @jannatyabubakar9038
      @jannatyabubakar9038 4 ปีที่แล้ว +1

      Mafuta ya kawaida tyuu yanaswiih but dawa kabisa ile inayobadili uhaalisia wa nywele...haitakiwi kuweka ktk nywele zako

    • @naswidiaabdulkarim5005
      @naswidiaabdulkarim5005 3 ปีที่แล้ว +1

      Rzka na hali aliyokujaalia allah

  • @aliroja270
    @aliroja270 4 ปีที่แล้ว +1

    Mapish
    Wali Wa asmini

  • @mwanamgenimwamzandi1941
    @mwanamgenimwamzandi1941 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah ,sheikh mm natamani niolewe Nina miaka 6-7 mume wangu amekatalia kuniacha na naishi peke yangu na watoto na hisia nnazo na ntakapo jaribu kukwenda kwa kadhi azidi kuniumbua na kwa kadhi haji na shirq mbele ili asimuache na yy hanitaki 🤦

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 ปีที่แล้ว

      Ndoa nyingi zina matatizo hakuna mapenzi ndani ya wanandoa, kuna wanaume wengi wanateswa na wake zao pia.

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 ปีที่แล้ว +1

      🤣poleni maana hapa mmekutana Ila tunatakiwa kuwa na subra. wewe dadayangu unatakiwa Uwe unafunga j. 3 na alhamis na kuswali swala za usiku sana uombe Allah kwa hajayako in Sha Allah atakufanyia wepesi

    • @user-hb8vi9fx6g
      @user-hb8vi9fx6g 4 ปีที่แล้ว

      MATATIZO YA NDDA KIMBILIO LAKE NI KUZISHIRIKISHA FAMILIA MBILI KWA MUME NA KWA MKE.
      IKISHINDIKANA KUTATULIKA BASI KIMBILIO NI KWENYE MAHKAMA ZA KIDINI ZILIZO KUEPO ULIPO, VIONGOZI WAO NDO WATA TOA USHAURI NA UFUMBUZI WAKE IN SHAA AL-LAAH.
      HIVYO NJIA NDO HIZO , SASA UKIENDELEA KUOGOPA HADI LINI ?!
      HUONI MWISHO TUTAFANYA DHAMBI HUKU ZIKUSUDIA. !

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 4 ปีที่แล้ว

      @@user-hb8vi9fx6g umejitahidi Ila kunawatu wanakutana na mitihani hawawezisema ikiwa mwanaume ameoa kisheria kisha anamwambie mkewe tumekutana kimjin mjini hivyo wazazi wangu hawakuhusu na marufuku kwenda kwetu. utafaninisasa?...

    • @naswidiaabdulkarim5005
      @naswidiaabdulkarim5005 3 ปีที่แล้ว

      Allah akupe kher

  • @sirajijuma3136
    @sirajijuma3136 4 ปีที่แล้ว

    Msion

  • @allymwanyiroallymwanyiro360
    @allymwanyiroallymwanyiro360 3 ปีที่แล้ว

    Gk

  • @habityabsa997
    @habityabsa997 4 ปีที่แล้ว +9

    Allahumma swalli wa sallim alaa nabiyyina Muhammad

  • @nasrauwimana2559
    @nasrauwimana2559 4 ปีที่แล้ว +2

    Ma in sha a Allah

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +2

    mashallah

  • @fatmamuhsin4013
    @fatmamuhsin4013 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallwa

  • @jafarijumanne8108
    @jafarijumanne8108 4 ปีที่แล้ว +2

    Maashallah

  • @Jomba-lao
    @Jomba-lao 4 ปีที่แล้ว +2

    Masha Allah

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah.