UJUMBE MZITO WA WATOTO WA MAREHEMU LAWRENCE MAFURU "WASHINDWA KUJIZUIA WAMWAGA MACHOZI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 39

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tunamshukuru sana Mungu kwa maisha ya kaka yetu Lawrence Mafuru ameacha alama ya kuigwa. Sio mtu anakufa historia yake fupi imejaa uongo kwasababu ya maisha tuliyoishi hapa duniani.
    Kaka yetu umeacha alama na Tz inakulilia kupoteza mtu muhimu kama wewe. Pumzika kwa amani kaka

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    He must be so proud of you ❤

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 10 นาทีที่ผ่านมา

    Mama anaonekana yuko strong atapambana.

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Hawa watu wafe tu, hawa hua wanaishi maisha tofauti sana na Watanzania sisi, hii inatokana na fedha nyingi sana wanazotuibia sisi Watanzania wengine. Angalia hadhi ya watoto wao, utadhani ni Wamarekani au Wazungu wa huko Ulaya. Hawa viongozi wetu ndiyo majambazi namba moja wa nchi yetu, wanastahili kufa kwa namna yeyote Ile Mungu atayoona inafaa

    • @Ajijji12
      @Ajijji12 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

      Mlaumu babaako 😂mafuru katoka familia maskini babaake akamsomesha akafika hapo kwa juhudi zake wakwako aliwekeza kucheza bao😂

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Roho ya kichawi

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Muombe Mungu akuondolee hiyo roho chafu la sivyo utakufa maskini

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      usome ili nawewe uishi tofauti na watanzania

    • @elioimer8423
      @elioimer8423 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@saidimpako5186Kwani ukisoma kuna uhakika wa Maisha mazuri? Mbona wengi wamesoma lakini wako mtaani. Mtu akisema ukweli maswali yanakua mengi negative. . Ina maana hawa watoto Kiswahili imewapiga Cheng a? Tafakari I. RIP Hon. Mafuru

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana watoto mungu Yuko na nyinyi mungu ni wawajane na yatima

  • @johnkiimbila6799
    @johnkiimbila6799 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Sasa kiingereza cha nini tuko Ulaya?

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😮😢kodi zetu hizo

    • @rosemarykimath9337
      @rosemarykimath9337 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅

    • @helencyprian8745
      @helencyprian8745 19 นาทีที่ผ่านมา

      Kweli hii nchi wanaonufqikq ni wachache

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Majonzi ya familia za kitajiri hayafanani na maskini hata kidogo msiba ukiisha tunawaza deni la sanduku wenzetu huko wanawaza kula bata maana fedha ipo

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 47 นาทีที่ผ่านมา

  • @Magreth-f2j
    @Magreth-f2j 49 นาทีที่ผ่านมา

    Jamani hawa watoto hawana huzuni kabisa kisa wanajua kiingereza kwani wote hapo ni wasomi tu loh ni ajabu msiba wa vigogo una raha sn.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Maisha bora Tanzania niya wachache wengine mtahubiliwa tu fanyeni kazi walaji kumbe wapo huko juu

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Watoto awa kabira gani jaman mbona napata shida sana na hapa

    • @RehemaMagoire
      @RehemaMagoire 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wajita wa Musoma

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ndio maana viongozi wa TZ hawataki kijiuzuru hata kama wamekosea,

  • @edithafrancis847
    @edithafrancis847 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    😭😭 RIP MAFURU

  • @LangiMwampamba
    @LangiMwampamba ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe kuna watu wanamaisha mazuri kama hayo jamani babu yangu alistafu hakupewa hata hela ya kustaafu hivi wanasoma shule za kata au

  • @gmial807
    @gmial807 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwenyezi Mungu alitoa sasa ametwaa jina lake liimidiwe yeye mbele sisi yuma 😂😂😂

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    kajasili haka katoto

  • @2002-h6c
    @2002-h6c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Daaah, wanakopa huko, zaidi ya nusu ya mikopo wanaweka mifukoni, robo tu ndo inajenga miradi, kisha wanatusulubu kwa kodi na kutunyima huduma mbalimbali za kijamii ili walipe hayo madeni makubwa walokopa 😢

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Oooh tumepoteza mtu muhimu sana kumbe ni wapigaji tu mpaka watoto hawajui lugha nchi ingeuzwa dalili ni hizi

    • @RehemaMagoire
      @RehemaMagoire 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wanajua kiswahili tu ,wameeamua tu

    • @NixonJohnson-r4m
      @NixonJohnson-r4m ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😅😅😅😅wezi hawa wanatuonyesha matapishi yao wakidhani watz tunafurahia wakati tunawagonjwa hawana msosi .. stupid ...wezi wa mali asili zetu mwisho kuzimu wakutane na sir god ...waone moto wake ...

    • @2002-h6c
      @2002-h6c ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@NixonJohnson-r4m Mungu aendelee kuwaondosha hawa mahasidi wa nchi yetu, siyo kwa kupora huku wanakotufanyia, hadi wanakufuru Mungu, utajuri hadi unamwagikia kwa watoto, utadhani ni watoto wa Mfalme Philips wa Uingereza, huku watoto wetu wakinyimwa mikopo ya chuo

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakulya mara hiyo

  • @NixonJohnson-r4m
    @NixonJohnson-r4m 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤😅😮 3:16