Wallahi huyu mpuuzi aitwae eti mchambuzi oruma ni bunguu tu ,hafai kupewa mic huyu maana hajui asemacho, yaani anaelewa ya makolo kukosea na kukejeli yanga ila ya yanga yanamkwaza, jinga kubwa hili
Hivi Kwa nn hatuzisifii timu ndogo zikifanya vizuri badala yake tunatoa kauli za kuwalinda timu kubwa mara wamerogwa mara Kuna watu wanacheza mechi zao. Huu ndio ushamba mkubwa zaidi
Sijawahi kuona mashabiki na wapenzi wa mpira washamba namna hii.kujifunga ni makosa ya kimchezo. Sema tatizo wachezaji na timu zinauza mechi.zingjne ni mawakala wa wa yanga.
Wewe Oruma mbona kwani hukuona ya G 64, acha uongo wa kuwatetea mashabiki wa Simba
Binafsi namsamehe CHASAMBI
Wallahi huyu mpuuzi aitwae eti mchambuzi oruma ni bunguu tu ,hafai kupewa mic huyu maana hajui asemacho, yaani anaelewa ya makolo kukosea na kukejeli yanga ila ya yanga yanamkwaza, jinga kubwa hili
Chasambi game ya Prison aanze
Ni ushamba tu wa huyo kiongozi.
Hivi Kwa nn hatuzisifii timu ndogo zikifanya vizuri badala yake tunatoa kauli za kuwalinda timu kubwa mara wamerogwa mara Kuna watu wanacheza mechi zao. Huu ndio ushamba mkubwa zaidi
Huruma hukuona bango la Msemaji wa Simba kwenye gari,acha utani uendelee