YALIYOWAKUTA WAPENZI HAWA NI FUNZO!!!!, Wafungishwa Ndoa ya Mkeka Bila Wao Kupenda
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- SUBSCRIBE NOW / uwazi1
Kutokea Mbagala Kuu jijini Dar Es Salaam wapenzi walioishi pamoja kwa miaka mitatu kwa siri pasipo wazazi wa msichana kujua alipo binti yao, kijana huyo aliyetambulika kwa jina la Shaban bin Nassoro na Salma walifungishwa ndoa ya mkeka bila wao kupenda baada ya ndugu wa msichana kuamua ndoa hiyo ifungwe na kuwapeleka kwa shehe na ndoa hiyo ikafanyika, Global TV imekuletea tukio zima.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
WEBSITE: globalpublishe...
FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari
INSTAGRAM: / globalpubli. .
Safi Sana nimeipenda Kama kweli wapendana sasa ni halali waishi vyema wazidi kupendana mungu awabariki katika ndoa yao
mashaallah uwe mfano mwema maana watu wamezindi uzinifu mno mtu akiambia asema bdo kufikiri kuowa Allah awaongoze katika dowa yao
Familiya Ya kwao na binti wanajitambuwa. Ongereni sana Mungu awatunzie ndoa yenu.
Mashallah👏👏👏 jambo zuri mwenyezi mungu amekata zinaa
Safi sana nimeipenda hiyo kwasababu vijana wengi sasa wanapenda shotkat hawapendi kuoa kesho na keshokutwa akipata mimba anàikanga na kusema sio yangu halafu bint anarudisha mzigo nymbn unakuta mama ameshalea watt wake wamekua sas apumzike analetewa wengine ndiomana maisha yanazid kuwa magumu kwasababu hiyo.
nimeipenda sana tumezidi zinaa
Aisha umezdi na nani ,hahaha fumanizi hapana ,ila kiimani ndoa hii naswihi jamani
km walii wamekubali na mashahidi inaswihi
Aisha Amani...kweli kabisaa
nuru abeid ndoa iko sahihi kabisa Mungu atawafungulia rizki za halal
Aisha Amani naaaam
mungu ailinde ndoa yao idumu milele Aamiin hongera bwana Harusi kwa kukubali maamuzi ya upande wa wakwe zako
huhuuu nimeipend hiii ngoj nam nimvizie mchepuko wang tufunge ndoa ya mkeka hahaaaaaa
duuh atari ila mnaonekana mnapendana ndo mana mkatambulishana mwenyez mung awafanyie wepesi
😂😂😂😂😂😂
nimeipenda hiyooooooo
Ma shaa Allah vzr sanaa..Yaan Bado walikuwa Hawana Khofu na Allah kuishi kwa Kutikisa Ardhi ya Allah kwa kufanya Zinaa
masha allah
ni kheyri pia jmn
kila la kher katika ndoa yenu
Hongera mway sio saw na kupata dhambi ya uxinifu ni ndoa harali madhali walii mashaidi pamoja na nyie wausika iy imepita kidin
That's beautiful
nimependa safi sana
safi kabisa kabisa na huo ndo mwisho wa ujanjaujanja
Hongereni sana mungu awaongoze katika hilo
😅😅😅😅tayarii ndoaishapita
safi sana mliyo fanya hivi maan watu wengi wanaishia kinyum na madili ya din ya kiisilam hongeren sang labda wengin watapunguz kuishi kam mke na mume
😂😁😂😂😂 hyo ndo dawa yao
safi sana vzr
hasa tonao ongoza watoto wa kiislamu eti sikuizi adi mapenzi kwanza ndio ndoa mbona ezi za mama zetu mambo haya ayakuwepo mimi kiukweli nakeleka
hongera sana
nimeipenda
harusi ni jambo lakheri mashallah
wamefanya vizur unajuw kufa unazini naw uko mwislam shukuran kwa Familia ya huo Dada wanamupenda Mme we. nawagine waje wa nawakomesha ivo ivo.
Nivizuri mungu awajalie ndoa njema
Hii siyo ndowa ni ndowa ni ndowana ushenzi huo baadae ndowa mungu nisuru na mashaka hayo😮😢
Vizur
Hakuna harous hapo ni kuiendeleza zinaa tuu sheira haisemi watu wazini mpaka wazae mtoto halafu ndio ndowa, nikuhalalisha zinaa tuu
Uwisilam ni raha sanaa wallah
Hongera joo
safi sanaa
Alf mabrouk m'Mungu atawafungulia rizk za halal inshllaAllah.
Laa takribu zina(msiikaribie zinaa)
Wala takrabu zinaa rijissummin aamal shaitwani
zinaa kwisha
yarabh atunusuru jamani kuolewa ivo ni aibu 😭😭😭😭 kumbe ndowa ya mkeka ndo ipo ivo mwenyenzi mungu aninusuru199----------
hy ndoa Ina mushkili walitakiwa watubie kwa mola wao ndio ndoa ifungwe kwasababu walikuwa wakizini tuu
reemii Omar 😂😂😂kasema muskil
raha sana na mm napenda ndoa ya mkeka aina garama
Mwenyw nilifanya ndo ya mkeka I love simple and blessed
hiyo safi sana nahii inaweza kupunguza uzinzi!
Raha ya ndoa bhan watu hamjazoeana hv miak yote hyo mnaish pamoja na mtot mmezaa na hata kwnu tna ulikuwa huend ulivyonogewa lool!!
uo ndio uislaa naam safi sana
😂😂😂😂nakumbuka kitaa kwetu mtu kalala na demu cku moja tu kapigwa ndoa ya mkeka 😂😂😂😂😂 yaani maharusi hawana pakwenda wala kulala wakawa wanapigiwa ngoma wanazungushwa mtaani kama wezi patamu apo😂😂😂😂😂😂 Miaka 3 huyo anammudu kabisa....karahisishiwa kulipia nothing
WAMALIKO LUMUMBA hahahaa htr sn il vzr walifany hvy
Hahaha cku moja??? 💃💃💃💃
Jamani hawanja hana biharuc mmmmmh hiii kaliiii nimepeinda
nimsiba Ya Allah tunusuru na ndoa kama hizo
Salma Salim Amiin kwakweli haipndezi ndoa kama hii
Safi sana
Dah uyumdada anatamaha laki mbili tu mungu amjarie
😂😂😂😂hakuna ht usiku wa zawadi
zaudati makula hata hii nindoa sahii Allah ameipokea. hapo kitu chamuhimu zaidi niubani pamoja na dua.
Kabsa
mashallah 👏👏👏
mashaallah ndoa ni ndoa kaka
Safi sana
Big up guys kwa habari motomoto nawapongeza pia nawapa surport kwa kushare.
kimewaka!!! sawa allah azidi kutka wepesi haya sasa kajilie dodo lako
mungu atuepushe na zinaaa kwa sote !tuseme ameen !bt mapennz allah kaumba hajatofichika kwa kila binaadamu,au hata mnyama,soo ni kujipanga tuu kam una mtu wako wawez kumplk nyumbn ili wazee wahalalishe ndoa na sio kufny zinaaa kupindukia thats too much tunajifanyia tu hasaa wenzetu upande wa bara!by shuasai......................
Chukua hilo jiko baba
doh iyo safi tu
Imeisha iyooooooooo
Mashaallah
Huyo chalii nae alitaka tu sa huyo mama ndo wa kukushika mkono usiweze kuchomoka mi ningechomoka hp usaon bolt nyuma
yn utashangaa wamekaa pamoja wanazini muda mrefu, bac subr km ndoa itafika ata mwezi
Kiukweli ushabiki tuache pembeni, itafutwe dawa ya kuacha zinaaaa lkn si ndoa ya mkeka, hakuna kitu kma hiki kwenye Uislam, hawa wanaendelea kuzini tuu, huwezi kumrai na kumlaghai mke na mume waoane, narudia tena kwenye Uislam hakuna hili, hata Waislam milioni wanafanya hili, wao wanafanya lisilosahihi kwenye dini, hata muozeshaji ni jahil tuu.
iyo ndoo sawaaaa wangewapata wapii
"Love has truly been good to me, Not even one sad day Or minute I had since you come my way .I hope you know I gladly go . Anywhere you take me It's so amazing to be loved
I'd follow you to the moon in the sky above"- Luther Vandross-RIP.
Hongereni maharusi, safi sana.
😭😭sirudiiii
Mashaallah jambo Zuri
hata janaba hawajaogeshwa inafungwaje ndoa namna hii ? lakini sijui ☺☺
Hahahahaha znaa inajanaba tena
iyo ndo safi ili vjana tujifuze so mnabeba beba to tufunge ndoa
sawa tuu hawajakosea wazazi vizuli sana
angalau wangefungiwa ndani hadi baada ya msiba..ndo iyo arusi ifanywe..ebu fikiria ati' niliolewa siku ya msiba wa kakangu.'
😂😂😂
Bora hiyo ndoa ya mpaka kuliko kuzin
shikamoo ndoa ya mkeka hata makeup hamna looh hiyo komesha
Taus Sumwa hawakutaka harusi ni wazinifu tu😢😢😢😢😢
UMEFANYA VIZURI BRO. UMEMLAHISISHIA JAMAA WAOZESHE DADA ZAKO WOTE
walah wamefanya LA maana sana mbele ya Allah
mfanya vizuri hogereni
Mung awajaalie maisha mema
Kiranga koma ndoa tayari
mashaallah mashaallah mashaallah
waache waowaneeee waache waowaneeeeeee hajazaa safi sanaa
ikiwa mwanaume kaozeshwa kuondoa mzaha na kuwarizisha wazazi wa mwanamke :basi huyu mwanaume ana moyo wa chuma kaweza kuishi na mwanamke huyu kwa zaid ya miaka mitatu bila ya ndoa na mwnamke karizika na wamezaa nje ya ndoa hawa wawili hawana kitu ktk nyoyo zao :: sikiliza haya maneno mzito innalladhiy laysa fijaufihi shay.un minal qur-ani qalbaitl harab....yule ambae hamna kitu chochote ktk kichwa chake /no education/ kama quran basi kafananishwa na kama jumba bovu au jumba lililohamwa
noma sana
Jaman kama comedy kwel hiwe fundish kwa wengine
Basi haya ndio mambo
mashallah
Hyu bwana harusi muhuni kweli eti kazuiwa kuingia kuchukua mke kwambia atoe pesa katoa shiling hamsini
😂😂😂
ndoa n ndoa hkuna ndoa ya mkeka wla jamvi
ogeleni namimi naitaka iyo ndoa yamkewe imependeza mana ndoa kama iyo inadumu kuliko iyo yakifahali
mungi awape nguvu ktk ndoa yao
KUMBE NDOA YA WAISLAM NI LAHISI KIASI HIKI. MWANAMKE ANAPANGA MAHALI. SASA CHUMBANI KUTAFUTA NINI BRO. NI KWA WAKWE AU KWAKO. MIMI MSHAMBA HAPO. KWA NJIA HII KILA MTU ATAKUWA NA WAKE HARARI. TUNAWEKA MAMBO MAGUMU MAGUMU MPAKA WATU WANASHINDWA KUOA.
Ee bwana ndoa nyingi balas
ndoa haina walii
mahari wala kukubali mngewapa mda wa kutumia wafunge ndoa halali
😁😁😁😁😁
walii anohitajika ni kwa mwanamke ambapo hapo ni kwao kwahiyo hakosi walii , mwanamme hahitaji walii, mahari makubaliano
note:- sisapoti ndoa hizi
Zaudat Makula 😁😁😁😁😁
Ndoa kwa mujib wa dini haifai au hairuhusiwi hkn kitu kunachoitwa ndoa ya mkeka HARAAM
miaka 3 hawajajipanga wamejipanga lini?mm kwa upande wangu iko saafi saaana maana wangeitingisha ARSHI YA ALLAH mpaka lini
Okay
waoo lkn ndugu wa mke wamrmjali sana huyo mme maana wamempa janzu kofia safi kabisa
inpendeza
Muhimu wazibe masikio yao ili maji ya nje yasiingie ndani"
Kelvin shayo umehama Tik TV?
ndiyo yao vijana wa siku hizi
Noma sana hahahahahaha
dar noma san
Hii ndio raha ya Dini yangu ya kiisilam had raha
jiko kiulainiiiii hadi rahaaaaaaaa
bora ya hayo kuliko kuendelea kudhini
jiachie sebleni kula pilau la kihalali
JI DADA KIFUA KIMEJAA, HADI MATE YANANIDONDOKA👺👺👺
yani hili ni funzo zaid ya funzo
Sheikh Konki kabisa uyu Sheikh nimemkubali kweli muungwana. Baada Ya apo apite na Bongo fleva maana uko atafungisha ndio hadi atapewa tuzo
hata mimi nashangaa ina maana mlitaka wa ende lee kuzini ndio uislam