Yupo vizuri,aisee,...ila EastAfrica Radio,mitabendi,94.7,Nairobi Kenya hatuwasikii,siku nyingi mno,rekebisheni mitambo tafadhali,twakosa mengi kwenye vipindi vyenu.
Jamaa anajua sana still ni mapafu ya mbwa.Achana na wazushi wale wanaokuja na daftari afu wanajifanya wana freestyle na bado wanakata upepo big up kwa @mbezimc
*Habari* *MBIZE POEM KID* anapenda kukufahamisha kwamba ile EP yake MPYAA kabisa yakuitwa *THE SEED* uliyokuwa ukiiisubiri kwa Muda mrefu sasa ishaingia mtaani. *THE SEED EP* ni *Strictly Hip Hop,* albamu Safi na imepikwa ikapikika na Mpishi mkuu Black Ninja. The Seed Ep inapatikana kwa Mfumo wa Soft Copy [EMAIL + WHATSAP] *BEI NI Tsh 4, 000/= TU* *MANUNUZI* TIGOPESA: 0658525766 Jina: Geofrey Charles #MbizeNaMasela #TheSeedEp #MwanaharamuUharamuni

Ambao tumerudi tena uku baada ya kua ametajwa na Jesus tu like apa..
😂 mwanangu tuko pamoja
tupo weng
Huyu nmerud kumskilza sababu ya Jesus aliepita kumi za maangamizi 😂😂
Ili n balaa jingine mzazi jamaa n baba lao... like 1 tu innitosha mm wana...
Wanamuita Mbizze Emcee me namuita Mbeya city's finest....Nmecheka kinoma😂😂..mikono ju kama unanyoa kwapa piga like tusonge
Haaaaa leo wakwanza kulicheki hili vibe like hata moja ina nitosha pls
Oomamaa
Muziki sio kazi ndomaana wasabato juma mosi wanaimba🙌🏽🙌🏽
Kama umegundua huyu jamaa anarap kidogo Kama dizasta vina Nipe like yangu
amna xio dizasta n shauling
Shaulin apana wala dizasta hapana uyo ni black Mc kabisa
Hapana hawaendani hata
Me naona kam matrix...
Nimeikubal kam na ww kam umeipenda 2juane apa kwny like
Tanzania 🇹🇿 walai kuna marapper wengi tena mistari iko sawa
Mbize mc representing SUA MOST TALENTED
Freestyle umetishaaa sana mbizee we kiboko
Wanahip pop ambao hamchoki kumusikiliza mbize mpo wangapi tujuane kwa like zenu
East Africa Redio njooni Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yupo vizuri,aisee,...ila EastAfrica Radio,mitabendi,94.7,Nairobi Kenya hatuwasikii,siku nyingi mno,rekebisheni mitambo tafadhali,twakosa mengi kwenye vipindi vyenu.
Ukweli kabisa
Ako vizuri saana big up
Jamaa anajua sana still ni mapafu ya mbwa.Achana na wazushi wale wanaokuja na daftari afu wanajifanya wana freestyle na bado wanakata upepo big up kwa @mbezimc
Hip hop never die
Mbize Freestyler kaua sana kijana kutoka Iyunga Mbeya
MBIZE MC bwana mkimbizi bac kaz nzr sana umeonesha uma kuwa uwezo wako c mdogo n mkubwa sana ,,one love
East Afrika Radio iko juu baba
safi kabisa hii ndo HIP HOP
Jamaa ameanza Kama anazingua hv Ila kikicho fata Sasa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatari na nusu
Mbize Mc... 🙌 salute bro..
Mkono juuuuu
sana blood angu. mbize mc. umeua hommie. kinasa wazi 4 ever
Mbeziiiii 🔥🔥 Nakukubali Damu Yangu
Mbize MC heshima sana.
Wanao cheq wakiwa high nipeni likes tuende sawa
Hahahah we jamaa noma 🔥🔥high 2the high level
Mbeya Kuna HIP HOP 🔥🔥🔥
Anaebisha mama ake mwanaume
Mbize vina... Mbize Mc... Green city rapper
Woyooo kama umesikia mkono juu kama unanyoa kwapa gonga like tende sawa.
Daaahhh brother dullah uko vzr
Twende saw km umesikia maua Sam aokot
Mbize mc made us proud
Kawaidaa sana kwa mbizeee hajawah niangusha
Jamaa katisha xan
Mbize Mc 🙌🔥🙌
Jesus kanirudisha kwa mwamba anasema angepatia angemtia laki 😂😂😂😂
Hip hop 4life baby
When Dakika kumi was dakika kumi...nowdays levels zmeshuka
Umeuaaa blood 🔥🔥🔥🔥
Hii ilikua ya moto sana
Na hiyo ndo hip hop ndio maana tuko hapa 🇰🇪
Makini damu yangu
Mbeya kuna vipajiii mbeya boy chuma alitisha mbize amekuja kudhihisha hiloo
Jamaa noma xna mkono juu km unanyoa kwapa
KE... Tuko ndani
Nomaa sanaaaaaaa🔥🔥🔥🔥
Gooood
Shikamoo mbeya
Mbize Mc,, unajua sana mwamba.. yan umeuaaaa
Umeipeleka Rap ya mtaani Mainstream. hiyo ndo hiphop safi sana. 🤣✍
Tupo live bb tunakwelewa
😂😂😂😂😂😂 hautumii rungu😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
enyewe kaka umefanya vizuri
Keep moving for good my blood… one love jamaa.
🙌🙌🤣🤣🤣🤣💥💥💥😹😹😹😹nimecheka mnoo jamaa anajuaaa
noma sanaa mwamba anajua
Wangap kwa uyu jmaa wanamsikia BLACK MC
yasco mdoe namsikia dizasta ndan yake
mzk cyo kazi ndy maana wasabato wanaimba mpaka jumamos
Mmekosea jina LA MC Mbize
Malamamae mbizee 🔥
Hip Hop for ever
Duh mbeya noma yan anafata nyenzo za mbeya boy yan ni hatariiiiiii
msela ni nyokololo
Hatari bana, mbize mbize
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dats true dftn music
OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE MBEYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA CITYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY HALAHALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mbize mc 🔥🔥👉 Black mc
Mbizeee na majitaa
Nomaaa....
Anajuaaa sanaaaa huyo jamaaaaaaa
Izoo beats nmezkubali afu mwamba kazbless poa
Namkubali
Sama unazingua,mchz ana uwezo sana ila beat zako mizinguo
Mwanangu mbizeee fundi kutoka sua.......
kama anaweza tia like
Jamaa kaua balaaaaaaa atakua #Baba lao
5 zakwako mbize salut
Hki bichwa noma sana aiseee
Wazee wakubamizaa
Sasa kwenye NYANI mbona camera man kamuonesha Jr 😂😂😂😂😂😂📸
Mbona umekosea ungepatia ningekuonga laki🤣🤣🤣 Tisha mbaya ✌️
Kama unamkubari mwana tukutane Hapa!
Freestair jamaa noma
💪💪💪mbizenoma muziki sokazi🤣🤣
👊👊tabu nyingine hii
Jamaa ni Fundi!
Dah upo wap siku izi mwamba
Anajuaaa
Noma kwel
Kaliii bado tunamsubiri shaolin seneta
Nakubali mbize
kijan yupo good
*Habari*
*MBIZE POEM KID* anapenda kukufahamisha kwamba ile EP yake MPYAA kabisa yakuitwa *THE SEED* uliyokuwa ukiiisubiri kwa Muda mrefu sasa ishaingia mtaani.
*THE SEED EP* ni *Strictly Hip Hop,* albamu Safi na imepikwa ikapikika na Mpishi mkuu Black Ninja.
The Seed Ep inapatikana kwa Mfumo wa Soft Copy [EMAIL + WHATSAP]
*BEI NI Tsh 4, 000/= TU*
*MANUNUZI*
TIGOPESA: 0658525766
Jina: Geofrey Charles
#MbizeNaMasela
#TheSeedEp
#MwanaharamuUharamuni
Umeua sana japo nime late kuiangalia kinasa waziii
Hao ndo watu wa kuleta studio sasa
*Habari*
*MBIZE POEM KID* anapenda kukufahamisha kwamba ile EP yake MPYAA kabisa yakuitwa *THE SEED* uliyokuwa ukiiisubiri kwa Muda mrefu sasa ishaingia mtaani.
*THE SEED EP* ni *Strictly Hip Hop,* albamu Safi na imepikwa ikapikika na Mpishi mkuu Black Ninja.
The Seed Ep inapatikana kwa Mfumo wa Soft Copy [EMAIL + WHATSAP]
*BEI NI Tsh 4, 000/= TU*
*MANUNUZI*
TIGOPESA: 0658525766
Jina: Geofrey Charles
#MbizeNaMasela
#TheSeedEp
#MwanaharamuUharamuni
Napenda unavojiongezaa mapema japo we co mchele
Mambo ni fire
balaa
Umeua kinoma mwana