Asante kaka garib mzinga kwa kuenndelea kutujuza habari za michezo ya nyumbani maoni yangu nikwamba tusipende Sana kuukosoa viongozi wetu wa mpira wetu tanzania wanachukuwa maamuzi magumu kuwafukuza makocha inapo kuwa time kuwa na matokeo yasio ridhisha kwa Sababu nilazima kuwa na msimamo na kile unachotaka na kuipatia ufumbuzi haraka kama inawezeka ufanye upesi mungu awabariki

palmarès nikitu kina tumika sana kwenye kabumbu hilo lisisauliike
Nimependa ukivyotumia neno kuonesha badala ya kuonyesha kama wengi wanavyoharibu
Msinge mtafute uyo tungekosana❤❤❤
Kilwa finest kusini kwetu ❤❤❤
Mungu ibaliki mabigwa wanchi leo 3:0
Hakuna mchezaji yeyote wa Young Africans atakosekans kesho thus over😂😂
Siwa wanaumwa mdau au kamwe anatuchezea akili😊😅
Aucho hayupo kesho kwanza
Huo ndo ukweli
Hao wote waliotajw ni majeruh hawakufny mazoez na kikosi
Aucho anamajeruhi alipata kwenye Team ya Taifa
Mzinga Television ni kiingereza 😂😂 Jokes umejitahidi kupiga kiswahili
Nawe dada unapofanya mahojiano jaribu kutulia na mahojiano sio kupepesa macho huko na huko.
haya makasiriko binafsi, au unaitaka hiyo nafasi😂😂😂
na yes nikiswahil
kesho caf tutajua nani muuza duka au muuza bidhaa dukani😂🤣🤣
Naona mwishoni ukaona kukata taamaa na kiswahili 😅😅
TUWACHAPE VITATU BILA KUPINGWA IYO NDIYO YANGAFRICA
ghalb mzinga kwani ok ni kiswahili
Acha ujinga kwahyo hujui 'ok , ni kiswahili au kingereza
ukisoma caption za hiki kituo zimejaa uwoga sana jamani hebu kuweni huru na kazi yenu mbona mnapoteza sana heshima
Yanga 4 Mauritania 0
Kilwa unajua uchambuz
Credit kiswahil 😂