BABU KICHOYO |1|
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
- #Bhailam#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: www.youtube.co...
Like Ukurasa wetu wa Facebook : www.facebook.c...
Warundi 🇧🇮, walio sikia neno Mugabo si vyiza nipeni izo like tuburidik na kirundi ca Tz😂😂😂😂
Tupo
Nilijua nilisikia vibaya. Kumbe na wewe umesikia hivyo?
Bhailam MTU kazi kama unakubali gonga like❤❤❤❤ from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Burundi 🇧🇮 oyeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥Mugabo si vyiza ( 7:50 )
i like this, mix kiburundi Angel I cherish you
Nasikiya kirundi cha kwetu Burundi nafurahi sana🤣🤣🤣
Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajakoment chochote 😂😂😂😂😂
Fan from Mozambique 🇲🇿
😆
Bailam amekuwa mchoyo mpaka anatia Aibu jamani DUUUH😀😀
I had a Kirundi word there: Mugabo si vyiza!! I'm so glad to hear that!! Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮
Pole Recho 😂😂😂😂eti ugali ugali jamani 😆🤣🤣 Bailamu sijapenda
Nkakbr recho kihehe sana sana
Kazi ndzuri sana kaka Mungu azidi kukuongoza
Eeeh dada mbona ulikua unatoa kikohozi kama Cha konde hiyo sauti ya kumtukana bhaliam unaitowa wap😅😅😅😅nawapenda sana kutoka Burundi 🇧🇮
Mmm bora kuachka
😍😂 napenda sana
Duh mume wa ivyo siwezi mvumilia hata week 😂😂😂😂
Bailam msicheleweshe part 2 jmn hii kitu noma sana aiseee duuuu!!! Like zenu
Nimesikia kirundi mugabo sivyiza asant frome burundi
Kamwenye kumbe mnyalukolo🤣🤣
Dah bhailamu kumbe uko mcho kiazi hocho nashangaa eti mbaka kilema ❤😂
Nimesikia kisukuma chetu jaman mke wa Bailam😂
naomi mnyakukaye dah umenikosha sana piga kazi dada
Nimefrah sanaa huyo dada kaongea lugha yetu jaman hongera nakubal bhailam
Umetishaaa alooh😂😂😂😂
yaani mwadamu akipata anasahau kua mto riziki ni mungu dah ila watu kama bailamu wapo katika maisha yetu ya kawaida tunayo ishi wanajikweza utadhani wamejiumba wenyewe mm nimeumia kwakweli
Wew naomi wew ...hiv wew sio mama zida wa mwanza wew jmn
Kazi nzur ibrahim from kenya🇰🇪🇰🇪
Bhailam aca ucoyooo umeniuzi leo😢😢
naomi izo nywele fumua suka nywele 7 utapendeza zaidi au 9
Nzuri sana
Jamani huyu bailam sikwa uchoyo huyo asha sivyiza nagato kweri 😂😂 ❤ from burundi
Kirundi oyeee Big up sana Bhailam kwa kututilia lugha yetu
Sasa kaka Bhailam uchoyo wa kazi gani😂😂
Mamang rechol hongera san n bailam ❤❤❤😂
Iko safi sana ✨
Bhailamu sijapenda wahehe Wala mbwa!!!
Bailam mamaaa uchoyoo 😂😂😂😂dah
Bhailam umenishinda tabia kakangu sio kwa choyo iyo😂😂😂😂
Usicheze na chakula bro .. iyo rizki ya Mungu 😢
😅😅😅aaah jamn Bhailam khaa sio kwa huo uchoyo😂😂😂
Mugabo sivyiza😂😂😂😂
Na leo nimejtahid dooh😂😂😂
Vipaji vipo tafuteni msingoje kuletewa,# babu mchoyo # bailam.
Sivyizaa kwli🤣🤣🤣🤣
Bahilam kwa kweli wewe una tisha kama kanumba ! Mbona hiyi kitu kali ivi??
Toka Congo DRC uku tuna kufata🤗.
Aky Ina mafunzo hii ❤❤
Bailam mugabo sivyiza😂 huyo ni murundi au
Dah bhailam noma
Mungu wangu huo Dada mrundi ao munyarwanda😂😂eti mugabo sivyiza😅😅😅😅
Nimependa mlivyochanganya na kilugha,,Sio wale wengine wanaotuchanganyia lugha za kikoloni.
Ivi naomi hizo nywel unasukaga shingapi hazina muonekano upo rafu jmn 😢 nywel za 2000
Bhakima myolola abhaghosha Kwa kweli bhailamu gete ilogii pole ghw'anike naomi😂
Kazi mzuri
Mugabo sivyiza peeee😂😂😂😂
Good 👍
Mugabo sivyiza nimekapenda ako kaneno
Recho ndikwenda swe ndemuyago
Bro ifanye kuwa season pls pls
Mugabo si vyiza warundi oyeeeee
Mugabo sivyoz😂😂😂😂😂😂😂😂
Ata ndugu zako pia kali ❤❤❤❤
Mugabo so vyiza!
Bhailam 🎉❤️🔥
mugabo sivyiza Burundi 🇧🇮 oyeeee
Lov from burundi🔥🔥🇧🇮🇧🇮🇧🇮
𝘽𝙝𝙖𝙞𝙡𝙖𝙢 𝙈𝙪𝙣𝙜𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙠𝙪𝙤𝙣𝙖😂😂😂😂
Hii movie imenikumbusha mbali saana
Badilisheni hao wadada tumechoka kila mchezo haohao ushauri tyu
Walete wewe wengine
Ndio cruel yao hio sasa
Pamoja
Umekosa cha kukoment
Kwenye huo mji naona aibu Kama kwamba mm ndo mke wa bhailamu, mmmh
Km niivo watu tucnge kuwa na ndugu kbsa 😆😆bailm ugali to je ingekuwa buriani c ungeuwa mtu 😁🤣🤣
tuhongise lecho be
Dah!!! Hio nkal xna bailam
Hat hao wenye roho mbay hawafanyi iv unechemka
Bhailam jamani ugali na mayai Expensive food Leo umecheza kama wew ila sijapenda
😂😂😂😂😂😂
Mugabo sivyiza😁😁😁
🔥🔥🔥🔥
❤ Kenya 🇰🇪
❤❤
Jamn kumbe huyu twiga nni msukuma nimekupenda bure my dear
😂😂😂😂😂😂daaaah jmn bhailam ww uchoyo hadi umamtia aibu mkeo
Dada mtu akae nyumbani huyo mtu atafute maokoto .......point pinned
Bhailam we hahhahahah unafeli hahaahahahaa
mh yaani itaga ugali pang'asi kimpata kinu
😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duuuh
Jamn bailam balaa😄😄😄
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mugabo si vyiza
❤❤❤😂😂
🙏🌺🇧🇮 🇺🇸
Yani aibu naona mm
Bailam
😂😂🤣
Maneno chungu ila ni ya ukweli 😂😂😂
Mugabo sivyiza ndio nn jmny me cjaelewa😩
Hello 👋 Niko Mombasa Kenya...haki Naomi mungu akubariki... nataka sana nikushike tu mkono..dada yangu...nipe number jamani...
❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
Kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮 sasa mbona dada ako anasema kirundi cakwetu Mugabo sivyiza 🤣🤣🤣 Tz banasemaga kirundi ?
Nimechek😂😂😂
lecho wibitaga kwiya be
😂😂😂kwilinga
@@RachelActress mukibaba mwimi
8:27
🔰🍔🏋