GEN Z YAPONGEZWA 28 June 2024

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 8

  • @abulhanifah254
    @abulhanifah254 หลายเดือนก่อน +3

    Mahzbi mna taabu kweli .... Watu wanaoneza ufisadi mnawasifu. .. Subhanallah

  • @user-ex4rk2yx4s
    @user-ex4rk2yx4s หลายเดือนก่อน

    Weee mzeeee fikiria sikuelewi

  • @user-ex4rk2yx4s
    @user-ex4rk2yx4s หลายเดือนก่อน

    Wazee kama hawa ndio wanaleta matatizo kwa inchi

  • @MuniraRashid-sx3up
    @MuniraRashid-sx3up หลายเดือนก่อน

    Hawa mashekhe walitoka kupinga ushoga mashaallah kwawingi lkni kwabahati mbaya walijifita nyote mulikuw muwe msari wambele kwenye mandamano nasasa muamsifu ruto hhhhh

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 หลายเดือนก่อน

    Na watoto wako mbona hawakujitokeza uliwafungia ndani,acheni kutufanya wajinga

  • @user-kn5bv3qj8p
    @user-kn5bv3qj8p หลายเดือนก่อน +1

    Huwa ninaamini waeza toa ushauri muzuri saana kila nikuonapo sehemu tofauti,,lakini 1_usiongee kwa kujipendekeza. Ongea kwakuhofia maisha na uhai wako maana waeza kuja twaliwa hapo ulipo,,'2_Ruto tuna mujua vizuri Sana, Ruto anachezea akili wananchi.ruto anajua baada ya siku 14, automatic itaku finance bill no sheri, kwahiyo watu wako macho ijuma inne maandamano Teena,

    • @mombasa7
      @mombasa7 หลายเดือนก่อน

      Kwenda wewe Mavi ya kuku!

  • @abulhanifah254
    @abulhanifah254 หลายเดือนก่อน

    Mahizbi acheni kuchochea fitna. Muslim Brotherhood ambao ni mrengo wenu ulivyoleta balaa katika mataifa ya Kiislamu hampati ibra .
    وَإِذَا قِيلَ لَهُمْ لَا تُفْسِدُوا۟ فِى ٱلْأَرْضِ قَالُوٓا۟ إِنَّمَا نَحْنُ مُصْلِحُونَ
    Quran: Al-Baqara (2:11)
    أَلَآ إِنَّهُمْ هُمُ ٱلْمُفْسِدُونَ وَلَٰكِن لَّا يَشْعُرُونَ
    Quran: Al-Baqara (2:12)