katarina mi nimesubiri mpaka mwisho nione unavyomtia makofi maana hata Mimi nimeshitukia sana alivyoingia nilijua tu huyo cyo mnunuzi nikataka kukwambia nikaona utasema nakuharibia biashara nakufukuzia wateja wako malaaaapa wakuona na kucoment uko vzri hongera dadaangu
Ndevu zako hazina ushirikiano nimeipenda hiyo kweli katarina umenivunja mbavu kwa kweli
Wateja wanakero Sana Dada Asante kwa kuwambia wasumbufu kwenye biashara za watu
Kwa kweli sio kwa usumbufu huo hahahhahahahhhahhahahhahahaaaaa
katarina mi nimesubiri mpaka mwisho nione unavyomtia makofi maana hata Mimi nimeshitukia sana alivyoingia nilijua tu huyo cyo mnunuzi nikataka kukwambia nikaona utasema nakuharibia biashara nakufukuzia wateja wako malaaaapa wakuona na kucoment uko vzri hongera dadaangu
Kama huna pesa cio lazima kuenda dukani jamani
uyu boy sio mteja hana ata mia tu eti! kelo tupu!?
Prince Emma Munda
@@johnsonmgani6976 duuuuu
Yan usumbufu
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon I.R.P babu yetu tulikupenda lkn mung kakupenda zaid
ndevu zako hazina ushirikiano et ndo wanazipenda wenzako
😂😂😂kama me wallah cfik kote huko
Wallah nimecheka kiemoji😁😁😁😁😁😁😁😁
jaman mteja anachosha tia makofi
Haha Haha katarina huyo
Hahahahahahah wateja wa hv nikuwatoa kwa spidi ya 4G, duka nzm anakagua jmn afu anasep. Bilakununua
😂😂😂😂 nimecheka
si ungemnyonga hata na ilo kitambaa lake huko shingoniiii??
Ayoor ayoss
😀😀😀😀😀😀😀
Ayoor ayoss
Ndevu hazina hata ushirikiano hahahahahaaaaaaa
Ha haa haaaa hatareee uwe mvumilivu haswaa
Nmefurahi kweli ar ayos
Kweli garma ni ayos Huyo 😂😂😂😂
Hii garma nimaandazi
Hahahaha kweli NO ONE LIKE TALENT YA MTU BINAFSI ,
Hahaha jaman eeee
HD we syo wa nchi hii
Eti mke wangu hali samaki ntamuuzi
Mmmh balaah sababu ,100 kidogo
Ayor ayo😂😂😂😂
Mkewangu Hali samakiiiii
Hahahha Katharina pumbafu sana weekend tukutane milestone
Hehehe ndevu hazna ushirikiano
Ayorayosi hahahahaha
hhhh nimecheka saana
Noma sanaaaaa
Hi hi hi wateja kama hao wanatia njaa
hahahaha laloardori tia mbata hesi
Catarina jamani nimecheka sana jamani
Hd anakera
hahahaaaaa ety ndevu ndo wanapenda wenzako dahhhhhhh
Bunge
Hd na katarina wako wapi jamani
Ushenzi lako😂😂😂🤣🤣
mh uyooo mtejaa
Yeee eeeh ah nina kabisa
haijaisha na nishacheka .... ngoja nione katarina atasemaje mwishoni
ahahahahahahaha 😱😱😱😱😱
Vensa Temu katarina mbavu zangu jamani bado unaenda mazoezi lakini
Hahaaahaaa
Katarin & Hd noum san nyie watu😂😂😂😂😂😂
Noma sana
Ayer ayos
😂😂😂😂😂😂katarinaaa
Haaaahaaaaahaaaa hatariiiiiiiii
nzurii
mmmmmmmh hatari sana duuuu
hyo mteja balaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💞💞💞👍
Haaaaaaaaaaa ndevu
Yani nimecheka leo mpaka basi. HD ni noma aiseee
Jmn 😂😂😂
Jamani huyu mteja nibalaa kabisa
Mbavu zanguuuuu
Hahahaaa uwiii
Uwiiiii
Nice
Huhuhuhuu!!! Uwiiiii mbavu zangu mie
Mteja
unaweza ukafuta😅😅😅
Katarina saitaa!
hd noma
kweli biashara yaitaji uvumilivu hasa unapo pata wateja wanaoulizia sana bidhaa ka HD..................
lerama lerama hiyo kama ndo mm jamani
Hehehehe jamani mbavu zangu
Looooh 😂😂😂😂😂😂😂
Ningempiga mbata mpk aflot ghafl
katarina tishaaaa
Huyu mteja niwamakofi
Og
Macho sasa ya Katarina
huyu mteja kibokooooo
😅😅😅😅 yani mim ningekutoa dukan kwa kas ya 4G.. unasumbua tuu
Et pumbavu hehe
ndevu zako hazina ushirikiano et ndo wanazipenda wenzako hahahahhaahhahahh
😂😂😂
hela ngumu dada kwani uliitwa hahahahaaaaa ondoka
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Uwiiiiiii jaman biashara inaitaji moyo wa uvumilivu
Anna Mwesiga kwel
jamani katarina mbavu zangu zina uma
Jmn katarina nomaa san
naita migambio wamkamate
Anachosha mteja uyu
duh biashara uvumilivu
قفيس
Kama hamjagundua huyu jamaa ni mkaguzi wa serikali c mnunuaji
HD mwehu kweli
,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii hatari ya mwaka hadi ya aibu
Ayor ayos hahahaha laway
hahahahaa
Ayor ayo
duuh ungemtemea ata mate usoni
ni ujnga kama hii ya kwako😂😂😂
huo usumbufu+kero
😂😂😂😂😂
Hahahaaaa
Hahahaha
Mbowe
hahahahaaaa
Katarina huyo jamaa ungemvua hata ndala aache kodi yakuingia clasic
Heee
Hahah
Ila katarin nkpndg jmn
Hahahahaha nandevu zako hazina hata ushilikiano