HITAJI LA MOYO - PART 03 [ MWISHO ] - SIMULIZI YA MAISHA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2023
  • Sara akiwa na mwanaye ( JUSTINE ) gari lilifika maeneo yale na kupaki, Baada ya sekunde chache Kijana Steve alishuka na kuanza kuelekea lilipokuwa genge la Sara na Sara alipomuona Steve alimkumbuka.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 223

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 11 หลายเดือนก่อน +28

    Yan ukweli nakuwa w1 jameni like Zen ♥️🙏 ahsante Ankojay simulizi ya mafunzo Yan Mungu wetu wambi akuzidie kipaji chako zaidi 🙌🙏♥️🪑🎧

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 10 หลายเดือนก่อน +4

    Daah huyo Rose chafu sijapata khaa aozee jelly huyo na dektari wake

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 11 หลายเดือนก่อน +7

    Simulizi nzuri kweli Elizabeth kutoka KENYA 🇰🇪 ❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 11 หลายเดือนก่อน +3

    Rose kula chuma hiyoo ww nahuyo doctor wako yani unaua mwanamke mwezako kisa mapenzi nani alikuambia kuna mapenzi ya damu mana hayo nimapenzi yadamu sio kwaunyama huo

  • @user-yv2cg9rd4s
    @user-yv2cg9rd4s 10 หลายเดือนก่อน +2

    Anko jay na team yako MUNGU azidi kuwazidishia maisha nakuwapa maisha marefu pia awape matamanio tenure zaidi akiwalindia familia zeu nanyi pia na kuzidi kuwapa moyo wakutufundisha pia kutuburudisha

  • @mwaminiramadhan632
    @mwaminiramadhan632 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wooooh anko J. Dah sio kwa simulizi hii tamu sana. But inafundisha sana hasa kwa watu wenye roho mbaya kama ya ROSE Dah 🥰🥰😢😢😭.

  • @user-jl7ho8ih6h
    @user-jl7ho8ih6h 11 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Akoy j Kwa simulizi zenye mafunzo.

  • @nuriatqueen5575
    @nuriatqueen5575 11 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks anko jay kwa simulizi nzuri sana🙏🙏🙏👌👌👌🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @user-yg9et7mp7i
    @user-yg9et7mp7i 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yeani Anko jay simulizi mzuri sana yenye mafuzo kweli wanawake sie kutamani mali wacha tu BUT simulizi mzuri sana Asante Anko jay much❤❤❤❤

  • @judikadzo8712
    @judikadzo8712 11 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂ila anko j unajua kujisifia

  • @jambo_safari
    @jambo_safari 11 หลายเดือนก่อน +2

    Anko Jay mapesa simulizi. This hitaji la moyo wangu was lovely. Mimi ujifunza some love sentences

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz 11 หลายเดือนก่อน +4

    Leo wakwanza wap likes za wanafamilia wa ankojay simulizi

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni kwa kushinda na kulala you tube kwenye account ya Anko jay looooh😂😂😂😂😂

  • @user-hk6bq5eu5b
    @user-hk6bq5eu5b 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante San ankojay kwa simuliz nzur yenye mafunz makubw ❤❤❤

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 11 หลายเดือนก่อน +5

    Some stepmothers are really wicked... but always remember this what goes around comes around thanks Ankojay, we learn a lot ❤

  • @ZabibuHassan-ci5vz
    @ZabibuHassan-ci5vz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wow ankojay umejua kutufuraisha leo mob love kwako dear❤❤❤

  • @patriciakyalo3454
    @patriciakyalo3454 11 หลายเดือนก่อน +4

    Honey !!honey!!!! asanti 😂😅 kwa part 3

  • @salmasasha
    @salmasasha 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤wa kwanza leo

  • @alinaswemuziya876
    @alinaswemuziya876 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pongezi kwa mtunzi wa hii simulizi pamoja nawa anko Jay kwa kusimulia vizuri mungu awabariki from zambia

  • @EsterMosha-jb3nx
    @EsterMosha-jb3nx 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke kama Rozy alaaniwe kabisa

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Anko j na stev ninzuri lna mafunzo pia tunakupenda asante

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae tunamalizia simulizi yetu nzuri ❤Ahsante sana kipenzi cha wote Mr.Anko jay

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 11 หลายเดือนก่อน +1

    simulizi nzuri sana rose roho mbaya yako imekufikisha pabaya

  • @lulusenzia4807
    @lulusenzia4807 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda Sana uncle Jay huna shughuli Mbaya big up

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo nimewahi 🎉🎉🎉yangu

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz 11 หลายเดือนก่อน +2

    Shukurani sana bro 😅😅😅leo kweli umewesa

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow amazing story Anko please say hi to Steve God bless you so much

  • @user-iq8ns3zg9m
    @user-iq8ns3zg9m 7 หลายเดือนก่อน

    Asant anko jay kwasimlizi zak zuli sana mungu akusaidie kanzi zuli ziendelee❤❤❤❤❤❤

  • @user-wi6oc3jj2u
    @user-wi6oc3jj2u 11 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeona mwisho ikabidi nianze kuskiza part one
    Mambo ya kungojea spendi😅😅😅😅

  • @ashurakabura7268
    @ashurakabura7268 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani anko Jay upo vizuri saana,hadithi zako zina mafunzo mazuri saana

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana anko Jay mapesa twakupenda sana Jabali wetu King 👑❤❤❤🎉🎉

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa smlz tamu yenye mafunzo ndani yake Anko J Mapesa

  • @user-en8tp5cf2w
    @user-en8tp5cf2w 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nyie watu mnakuwaga wapi jmn kila siku mnawah nyie tuu😅

  • @uwimanaantoinette6417
    @uwimanaantoinette6417 11 หลายเดือนก่อน +4

    Naitaji kununuwa gari kama ya anko jay misifa 😂😂 asante kwasimulizi nzuri sana mwandishi upo vizuri sana bila kusahau msimuliaji 😂🥰

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 11 หลายเดือนก่อน +2

      😂😂😂😂gari tena na huku alisema hata baiskeli ya uridhi hana heheeee

    • @uwimanaantoinette6417
      @uwimanaantoinette6417 11 หลายเดือนก่อน +2

      @@Pretty22750 😂 duh ndomana wanasema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu yani huyu mkaka 😂😂😂😂

    • @Pretty22750
      @Pretty22750 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@uwimanaantoinette6417 kasha jisahau hivyo 😂😂😂😂

    • @uwimanaantoinette6417
      @uwimanaantoinette6417 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@Pretty22750 😂😂😂

    • @user-fu6ew1jb6e
      @user-fu6ew1jb6e 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@uwimanaantoinette6417🤣🤣🤣🤣🤣🤣anajisifu sbr rose amuue mkewe Aje yy😂😂😂😂😂😂😂

  • @LisperNjeru-bv3gb
    @LisperNjeru-bv3gb 11 หลายเดือนก่อน +1

    Simulizi tamu sana Asante ankojay Kwa simulizi hii ya kuherimisha

  • @anjelinandambuki-fi4ip
    @anjelinandambuki-fi4ip 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wakwanza mupo wadau❤❤❤❤

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sasa Ankojay kwa kutumalizia hii simulizi taamu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪twakupongeza

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli lemme say hv bn enjoying and hv learnt dht always we hv to learn how to shw love to others, and in everything we do whether good or bad we will harvest at d end

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani anko j si ulisema ata baiskeli ya urithi huna sasa gari kama la kwako imetokea wapi

  • @shakiramohamed8824
    @shakiramohamed8824 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mwisho waubaya ni aibu😢😢😢😢

  • @BijouxKikwindi
    @BijouxKikwindi 11 หลายเดือนก่อน +1

    asate sana anko mungu akubariki kwahi simulizi nisimulizitamu nayenye mafuzo mazuri nasisi wanawake tunapaswakujifuza thank you anko❤❤❤

  • @salmaebrahim2058
    @salmaebrahim2058 11 หลายเดือนก่อน +1

    hongera Sana jina umetisha hila uyu mama amekuwa na moyo kama sheni wamama jamani tuwapende watoto hila kujari umelala ww au laa. Kwani akuna anaekua kesho yake ww mama mungu anakuona una rohoo mbaya mnoo hila kina Zakaria umetisha 😅😅

  • @oman6219
    @oman6219 11 หลายเดือนก่อน +1

    Leo wa mwanzo dina mbamba asante anko j nakupenda bure

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahhhh anko jay leo nimekupenda bure aloooh mmwwaahh

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli tunainjoi tuu simulizi tamu apewe maua ake steve🌹🌹🌹

  • @marypaul3888
    @marypaul3888 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante ankoj ❤

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mtungaji pia hongera zikufikie msimulizi umeitendea haki ankojjj

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mtunzi katamu kasimulizi ❤❤

  • @norahwilliam8116
    @norahwilliam8116 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jmani Asante anko Jay,,ww kiboko mara hii mzigo chonjo❤❤

  • @JuneFaith717
    @JuneFaith717 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dah!kwakweli mtaka vyote hukosa vyote 😢

  • @kijanangosek1281
    @kijanangosek1281 9 หลายเดือนก่อน

    Asante sana anko j kwa zimulizi tamu sana ila akina rose chungeni mzije kawa kama huu shetani

  • @suzanachambo4206
    @suzanachambo4206 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha anko j mipesa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @racheluwda6552
    @racheluwda6552 5 หลายเดือนก่อน

    Safi san Ankojay kwa simulizi tamu sana 😊😊🎉🎉

  • @user-qm9rr8fr1j
    @user-qm9rr8fr1j 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂oy kaeni mbali na Rose akili zake anaijua mwenyew

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yaan nlianza kucklza kabla kulike ❤❤❤

  • @rashidhemed5540
    @rashidhemed5540 10 หลายเดือนก่อน

    Upo vzr sasa bora ije ya mapenz

  • @deejuma5980
    @deejuma5980 10 หลายเดือนก่อน

    I liked how the story end and Rose🌹 learned her lesson of been a bad mother Asante Sana anko Jay nimependa sana haii simulizi nzuri HITAJI LA MOYO💕💕💕from south Africa 🇿🇦🇿🇦❤

  • @user-ip2px5vq9n
    @user-ip2px5vq9n 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ongela kaka ❤❤

  • @dorocasndunge1829
    @dorocasndunge1829 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana anko jay mungu akupe maisha marevu

  • @mahbibabdulkarim8632
    @mahbibabdulkarim8632 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka ake

  • @CellespenceMuhavi-lf5rv
    @CellespenceMuhavi-lf5rv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana Anko Jay mtoto wa mama mwenye sifa zote km Jay wangu hapa 😂😂😂😂 kw simulizi nzuri kila siku naelemika kivyangu napenda sana ubarikiwe❤❤❤❤

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sana Anko Jay kiukweli we ❤❤❤ you and match respect

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri sana hakuna kulala😊

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow shukran Mr jay kwa simulizi tamu ❤

  • @estherimbotsi7553
    @estherimbotsi7553 11 หลายเดือนก่อน +1

    WAWO Asante kwa part two much love Ankojay ❤❤❤❤❤❤❤

  • @susansamira8137
    @susansamira8137 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow kumbe ishatoka shukran kaka Ankojay

  • @anunalamin6472
    @anunalamin6472 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kunywa soda mjomba jay Bill juu yangu❤❤

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232
    @saraasatenisanasimlizimixc9232 11 หลายเดือนก่อน

    Asate sana ako Jay ubalikiwe sana

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sema tu Ankojay 😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @evacharles8881
    @evacharles8881 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante anko jay nmekua wa kwanza leo

  • @LispaKadzoKalu
    @LispaKadzoKalu 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ama kweli wakati ni ukuta hongera anko kwa wajib wako❤❤❤

  • @pascalinaerasto9501
    @pascalinaerasto9501 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mnalala mtandaoni

  • @violetmulya
    @violetmulya 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe sana ankojay 🙏🙏🙏🙏

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nina furaha Sana Yani bandika bandua☺️☺️☺️☺️☺️☺️

  • @rayarashid3428
    @rayarashid3428 11 หลายเดือนก่อน

    Asante kwakutuletea leo leo Maan ilinoga sana

  • @hamisiChinanda
    @hamisiChinanda 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chief chin

  • @ZainabuYahya-fu1zc
    @ZainabuYahya-fu1zc 11 หลายเดือนก่อน

    🌹🌹 chukua maua yak ankol

  • @user-ke7kr9nk5t
    @user-ke7kr9nk5t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Watu mko fast jmn❤❤❤❤❤

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od 11 หลายเดือนก่อน

    Sawa Asante kaka hapo Sawa

  • @tanzaniatourism2031
    @tanzaniatourism2031 10 หลายเดือนก่อน +1

    anko j bwana ety mgari kama wa anko j🤩

  • @user-qm9rr8fr1j
    @user-qm9rr8fr1j 11 หลายเดือนก่อน

    Leo kaz zimeongozana tu aise Anko jay noma na nusu tuna kukubal

  • @user-my5re7ht6u
    @user-my5re7ht6u 11 หลายเดือนก่อน +1

    Anko j ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @elizabethfrank271
    @elizabethfrank271 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wow wow wow 😂😂 Asante anko jay 😘😘😘😘

  • @pillosmaven4508
    @pillosmaven4508 10 หลายเดือนก่อน

    Ahhh anko j remember me kabisa me best ako wa long time kipindi unaenda iringa kwa pacha wako remember 50k

  • @matesomoci6376
    @matesomoci6376 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nice❤❤❤❤

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 10 หลายเดือนก่อน

    Wenye hira kama za Ros mushirwe namuregeye vizuri Anko Jy hutaki kuitwa Anko Mapesa nimeceka we acatu unawogopa Mukewe kuuawa Ongera sana👊👊👊👊👊👊👊👊🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷

  • @phyleskerubo5279
    @phyleskerubo5279 11 หลายเดือนก่อน +1

    God is powerful all the time, anko Jay keep it up.

  • @AAa-it7nx
    @AAa-it7nx 11 หลายเดือนก่อน

    Shukran ya habibi🎉

  • @user-bi3ec8he7y
    @user-bi3ec8he7y 10 หลายเดือนก่อน

    Nakubali anko

  • @shamilakalinga437
    @shamilakalinga437 11 หลายเดือนก่อน +1

    anko asante sana

  • @mkasiseif4587
    @mkasiseif4587 11 หลายเดือนก่อน

    Nimepitwa leo

  • @yohanamlata7318
    @yohanamlata7318 10 หลายเดือนก่อน

    Ankojay nimetokea kikubali sana na simulizi zako. Ombi langu ongeza muda kidogo walau nusu saa.

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov 11 หลายเดือนก่อน

    Imagine am the first one 😍 😊😊😊love u soo much Anko 💗 be blessed 🙌

  • @user-on6xx8xw4h
    @user-on6xx8xw4h 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran ❤❤ uncle j

  • @christinekanza5394
    @christinekanza5394 11 หลายเดือนก่อน

    Thank you so much 🙏 Ankojay ❤❤❤❤

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua 11 หลายเดือนก่อน +1

    We kumbe Ankoj ana gari tena si gari tu gari la bei

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asanty sana. nko kwa simulizi hii nzr
    Jinsi unavyoihadithia na aliotunga hongera zake
    Kwa ujumla mnastahili sifa Allah. walinde zinagusa mno simulizi zenu
    Asanty sanaaaa

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sanaa ankojay ♥️♥️♥️♥️♥️😂😂😂

  • @divisionrizikirwita3026
    @divisionrizikirwita3026 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dah wewe ni kiboko ankojay

  • @user-ip6hb1nq2u
    @user-ip6hb1nq2u 11 หลายเดือนก่อน +1

    jamani akojay Asante kwa kunifuraisha jamani o🎉🎉🎉❤❤