UJENZI STENDI ya KISASA ARUSHA WAIVA, PICHA 3D ZAONESHA, SERIKALI KUJENGA UWANJA wa KISASA PEMBENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 พ.ย. 2022
  • UJENZI STENDI YA KISASA ARUSHA WAIVA, PICHA 3D ZAONESHA, SERIKALI KUJENGA UWANJA WA KISASA PEMBENI
    Halmashauri ya jiji la Arusha imeeleza kuwa mradi wa ujenzi wa stand ya kisasa ya mabasi katika eneo la Bondeni city sasa utaanza rasmi...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

ความคิดเห็น • 29

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 ปีที่แล้ว

    MashaAllah!!!

  • @emmanuelaloyce932
    @emmanuelaloyce932 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatudanganya hadi lini sasa!!,

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 9 หลายเดือนก่อน +1

    Msema kweli alikuwa Jpm akisema kitu kinafanyika.

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 ปีที่แล้ว +2

    Acheni bhana mnatumiaga mwezi wa 3 na mwezi wa 7 kutudanganyia huo mwezi wa 3 ukifika mtasema mwezi wa 7..tunzeni maneno yangu..na kama wanajenga Kwa pesa za ndani stend itaisha 2045.

  • @allysalim9822
    @allysalim9822 ปีที่แล้ว +1

    Awa wamekuja kutangaza Biashara yao tu hapo...mwanzo walisema eneo nila serikal leo wanasema wamepewa Tena Duuh za uso mchana kweupe...unakuja kutangaza viwanja wakat watu wanataka Stand🤣🤣🤣🙌🙌🙌 Hii ndio Tz

  • @maprosokelly2986
    @maprosokelly2986 ปีที่แล้ว +1

    Wanafiki tu vitendo hakuna😂😂

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 ปีที่แล้ว

    Tatizo vitu vyetu havina muendelezo wa vitendo maneno mingi sanaaaa

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 ปีที่แล้ว +1

    Ivii madiwanii ndo wanakwamishaa maendeleo ya arusha mikoa mingine yotee maendeeleo yamepambaa motoo ila arusha storii mingii sanaa

  • @noriegacapadona9340
    @noriegacapadona9340 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sipendi kudanganywa Na mtu kama anataka kunidanganya Kwanza aanze kunidanganya mama yke

  • @DominicKizwalo
    @DominicKizwalo ปีที่แล้ว +1

    Mwezi wa tatu wa mwaka gani?😂😂

  • @brightonymnyone927
    @brightonymnyone927 ปีที่แล้ว

    Maneno mengi sana

  • @elimbotoraphael3940
    @elimbotoraphael3940 ปีที่แล้ว

    😂 huu mchezo wa kuigiza sijui utaisha lini

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa anaongea sana

  • @selijusimalambo6437
    @selijusimalambo6437 ปีที่แล้ว

    Kajengeni na bukoba sitendi mbaya

  • @sadamkuntukumu3672
    @sadamkuntukumu3672 ปีที่แล้ว +1

    Bora nyie huko maana majiji yote stendi zitakuwa tiyar Isipokuwa Jiji la Mbeya stendi amna ukianza Dar tiyari, mwanza tiyari, Dodoma tiyar Arusha ndo iyo, Haya jiji la Mbeya vip!

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 9 หลายเดือนก่อน

    Ayo tv mmzidi ubaguzi habari nyingi ni za kaskazini yani Arusha na moshi michaga bhana hadi kero

    • @nicolasaugustino8449
      @nicolasaugustino8449 2 หลายเดือนก่อน

      Kila mkoa kuna muwakilishi wa AyoTV, sema wawakilishi wengine wamelala 😂

  • @mackymneney9935
    @mackymneney9935 ปีที่แล้ว +1

    Bado gari za taka ni aibu watalii wanatushangaa

  • @nasrafadhili7408
    @nasrafadhili7408 ปีที่แล้ว

    Afadhali

  • @rizikisirili6973
    @rizikisirili6973 ปีที่แล้ว

    Hapo m naona wanafanya matangazo ya viwanja tuuu

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 9 หลายเดือนก่อน

      NI kweli Mkuu isitoshe huko bondeni city inawabidi pia waoteshe miti maana NI jangwa Kali Sana.

  • @user-gm7fw8sq2m
    @user-gm7fw8sq2m 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tonyaron1194
    @tonyaron1194 9 หลายเดือนก่อน

    Arusha na Mbeya stand hamna kwani hayo siyo majiji? Mwanza mpaka ina stend 2 Nyegezi na Nyamongolo ila muda mwingine naye Magufuli alikuwa mbaguzi sn mpaka Mwanza anabariki zijengwe stend mbili za kisasa miji mingine haukuiona?

    • @LinusFrancis-rr8rw
      @LinusFrancis-rr8rw 8 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga maguful alkua na mipango mikubwa hakuwa na mawazo yaliyo jibana

    • @emagervas4522
      @emagervas4522 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@LinusFrancis-rr8rwalikuwa mbaguzi kabisaa. Alisema kuwa kaskazin wasubiri kwa maana tayari imeshaendelea