TAZAMENI MEZA (OFFICIAL VIDEO) - Christ the King Cathedral Choir - Bungoma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Available on all Platforms: album.link/ke/...
    Download or listen online: mdundo.com/son...
    Performers: St. Mark's Nzoia Catholic Choir
    Producer: Verony Productions Ltd.
    Composer: Ochieng' Odongo
    Copyright ©Verony Productions Ltd.
    Tazameni meza ya Bwana, ilivyoandaliwa vizuri (sana),
    Njooni tukapate chakula, kilichoshuka toka mbinguni,
    Ni chakula cha uzima (kweli),
    Mwili na damu ya Yesu (sisi),
    Tukila tunashibishwa na kuburudishwa milele. *2
    Ninyi mwanitafuta, siyo kwamba mliona ishara,
    Bali kwa sababu, mlikula mkashiba *2 {jamani}
    Mbona mwatoa fedha, kwa ajili ya kisichochakula,
    Na mapato yenu, kwa visivyowashibisha *2 {jamani}
    Basi sikilizeni, kwa bidii mkale kilicho chema,
    Mjifurahishe, nafsi zenu kwa unono *2 {jamani}
    Chakula cha uzima, sio kama ile mana jangwani,
    Babu zenu walikula kisha walikufa *2 {jamani}
    Yeye ajaye kwangu, hataona njaa kabisa kweli,
    Aniaminiye hataona kiu kamwe *2 {jamani}

ความคิดเห็น • 16