Meya wa Mwanza mbele ya JPM baada ya kuachiwa na Polisi
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Rais John Pombe Magufuli alifanya ziara ya kikazi Mwanza kabla ya kwenda Kagera ambapo Meya wa Jiji la Mwanza alikamatwa na Polisi akijiandaa kumpokea Rais Magufuli.
Alishikiliwa na Polisi kwa saa kadhaa na baada ya kuachiwa kwa dhamana Meya James Bwire siku ya pili alionana na Rais na kumuomba ampangie muda maalumu kuonana naye.
Meya una hekima sana. Hongera. Hukumwaga mchele kwenye kuku wengi. Safi sana.
Jamani
hata hajui anataka nini huyu
Hii ipo Tanzania tu yaani mtu anakupeleka jela alafu bado unampamba kweli njaa mbaya
Ww meya Pumbavu kabsa ache uwe unakamatwa unamsifu na kumdanganya ili utunzi ulaji wako