Mungu akubariki sana kwa kazi mnzuri unayo ifanya kiukweli mda mrefu nimekuwa nasikiliza sana nyimbo zako nafurai sana ninapokuwa nasikiliza nyimbo zako mengi nimejifunza kupitia nyimbo zako
Hakika huyu Mungu amefanyika Daraja.Na ile mishale Bwana ndo ameipangua .Hongera sana Dada yangu .Uwe na kesho iliyo bora katika jina la YESU aliye hai.
Mungu abariki kazi hii, naomba siku Moja nifike ulipo dada vicky
Huu wimbo nmeuskiza mara zaidi ya 15 ..kwa hizo siku kumi na moja tangu niupate youtube .. from Kenya
Mie nabarikiwa kwa wimbo huu, barikiwa dada vicky
Kazi nzuri sana inabariki Moyo... barikiwa sana dada
Asante really blessed me...i believe this one too will 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Hongera dada Mungu akuinue zaidi me nakupenda dada angu vick❤❤❤❤🎉
jamani hz nyimbo ni mapito yangu kabisa barikiwa sana dadangu
Psalms 35 umeiweza !! Barikiwa dada
Mungu akubariki Sana na azidi kukutumia zaidi ,
Mtetezi wa wanyonge Yesu!!
Ubarikiwe sana mtumishi keep it up 🇰🇪
All people from TikTok we are here listening and receiving blessings ❤❤
Cement ndogo kwenye jengo, nondo ndogo.Mchanga unatoka maeneo ya bahariii..mmmh
Dadaangu hongela sana kwa kazi nzuli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu akubariki na azini kukuinua viwango na viwango. mithali12:20
Blessings, blessings to wewe!
Powerful song.
Barikiwa Tena!
Ameen
Amefanya ka daraja !!! Amen 🙏 🙏 🙏
Aminaaaaaaaaàh nyingi cna barikiwa CNA dada yetu🔥🙏🔥🙏
Ile kesi kweli kweli !!!! Ushuuda ukubwa 😊
Woyoooooo 💃💃💃💃 umeweza sana nilisubiri video kwa hamuu hongera Victoria 🎉🎉
Ameen
Barikiwa sanaa mtumishi wa Mungu Hakika Tunatetewa na MUNGU
Ameen ameen
Barikiwa sana mtumish
Kuna machozi ya furaha yananitoka niliye kuwa sifai sasa natamaniwa Ahsantee! Sana Yesu Mungu akubariki sana dada nashindwa namna ya kusema❤🙏
Dada siunajuwa bana❤❤
Mungu akubariki sana kwa kazi mnzuri unayo ifanya kiukweli mda mrefu nimekuwa nasikiliza sana nyimbo zako nafurai sana ninapokuwa nasikiliza nyimbo zako mengi nimejifunza kupitia nyimbo zako
Waooo my sister 🔥🔥 ubarikiwe Sana
Ameen
Huu wimbo umenibariki zaidi ya na zaidi jamani Mungu aendelee kukufikisha mbali sanaa
Asante Yesu amenitetea , ubarikiwe Victoria Mungu akuinue zaidi
Duuuuh sister mungu akukumbuke unajua had una kwaza yaani barikiwa sana mungu aendelee kuku tumia ety
Keep up it, Madam Vick
Powerful ❤..more grace
Mungu akuinue zaidi dada angu ili uendelee kulitangaza jina lake kwa uimbaji 😇😇
Barikiwa dada vicky, Mungu azidi kukuinua kwenye huduma yako
Utunzi mzuri kabisaa,shabiki sugu kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante Jehova kwa kupangua mipango yao ,endelea kutupa tumaini Yesu tumekuamin kwa mambo mengi
ameondoa mishale ya adui . hakika Mungu anakutumia Sana kuwa daraja la faraja kwenye nyimbo zako zinatujenga
barikiwa sana mtumishi
Kwa kweli MUNGU amenitetea sana
So powerful, i keep repeating this song every morning. Be blessed my sister
Mungu azidi kukuinua zaid. Toka nikiwa mtoto napenda uwimbaji wako
Ameen
Mungu mtetezi wetu ❤akubariki dada kila wakati. Wimbo wanikumbusha historia yangu 😮
Kaz nzur sana mungu akubariki san kwnye kaz yko aendee kukupa ujuzi wakutunga nzr zaidi ya ii❤❤❤
Ameen
Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu, Dadaangu 🙌🙌
keep madam Victoria a great song
🙏🙏🙏ameni amenitetea onger sana dadangu kazi nzri sana mungu akubariki sana
Ameen
Love you my beautiful sister may god keep u safe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ plz don’t stop your dreams
Ubarikiwe sana dada
Namshukuru Mungu kwa kua anateta na maadui zangu kamwe pekeangu nisingeweza
Be blessed my sister we are still waiting for more
So amazing 🔥 may God bless you my sister
Barikiwa mtumishi
Ubarikiwe sana Dada Vicky Mungu azidi kukutumia zaidi nyimbo zako zote n nzuri yan
Ameen
Natamani siku moja tuimbe wote
Hakika huyu Mungu amefanyika Daraja.Na ile mishale Bwana ndo ameipangua .Hongera sana Dada yangu .Uwe na kesho iliyo bora katika jina la YESU aliye hai.
Ameen
@@victorianazah Mtumishi hivi huduma ya uimbaji mikoani huwa unaifanya?
Nyimbo zako uwa zina nibariki sana
May the Heavenly Father continue showering you with his abundant blessings 🙏🙏❤️
Ameen
Penda sana 🙏🙏 so blessed Sis
Ameen
❤❤❤❤tamu sanaaaa hongera sana Dadangu Mungu azidishe Neema ya Huduma yako
Ameen
Hongera sana mtumishi wa Mungu bwana awe nawe, well done job
Ameen
Barikiwa sana sana Mama, Good song
Good job thats a nice song
Ameen
Endelea kutetewa na YESU katika uimbaji WAKO daima !!
Ubarikiwe kwa Ujumbe
Ameen
Amenitendea jaman yesu wangu Asante wif yangu karb zazbar twawapenda
Wakenya 🇰🇪 njooni hapa, tumwambie dada Vicky hongera. Majirani twawaheshimu 🙏
Ameen
😭 naomba kutoa corabo na ww dada ang mm naitwa furaha
Asante YESU umefanyika daraja kwenye maisha❤❤❤❤
Hongera sana mtumishi wa MUNGU kazi yako ni njema
Ameen
Amen 🙏 be blessed dada hakika mungu ametutetea wengi ametupa hushuuda.
Ameen ameen
Good job servant of God, Yesu akubariki mno
Ameen ameen
Wow wow wow go go goo my sister Mungu akuinue zaidi
Ameen ameen
Amen indeed amenipigania Mungu be BLESSED too dear my God STRENGTHEN and protect you
Ameen
Amefanyika daraja kwangu huyu yesu❤❤
Mungu akubariki sana naupenda sana huu wimbo
Barikiwa sana mtumishi 🙏🙏
ubarikiwe mtumishi wa MUNGU🎉
Amen barikiwa San mutumish wa Mungu asate Kwa yimbo Zur
Ameen
Hongera sanaa my lovely sister❤ ,hakika Mungu anatutetea
Ameen
Hongera sana dada Vicky kwa nyimbo nzuri
Ameen
Good music mungu akubariki sana😊
Unanibariki wimbo huu jamani hadi nimeweka status zote za kwenye mitandao ....Mungu Akutunze
Kazi Zuri ❤❤
SoMo yangu vi God bless you 💞🤣
Hongera kazi nzuri
God bless you siz what a blessed message❤❤
Kazi mzuri sana
Amen huw nabarikiwa nanyimbo zak
Yaani unanibariki mno, MUNGU AZIDI KUKUINUA BINTI YANGU
Ameen
I like your songs so much, sister 🙏🙏
Ameen
Asante está mexendo com meu coração
Wooooh my wiii❤❤❤❤❤Mungu akubariki
Ameen
Ubarikiwe dada
Mungu akubaliki mtumishi wa mungu
Ameen
Glory... from Kilifi Kenya....
Amen.ZABURI 46:1. Mungu akubariki mtumishi
Ameen
Barikiwa sana narudia kusema dada
Ameeen ameen
Mungu akubariki dada
AMENITETEA tena uyu mungu 🙌🙌
Ameen
Ubarikiwe mnoo dada yangu🙌🙌
Ameen
Ubarikiwe sana
Lovely song🔥🔥🕎⛪🇮🇱
Barkiwa sana