Full Show ya Mwanahela na Jux kwenye Jukwaa la Love Melodies and Lights

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @loicebushuti6792
    @loicebushuti6792 7 ปีที่แล้ว +2

    mama kipenzi wa wengi penda xana nyimbo zako watching from Kenya toto la kipwani hapa

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah bi mwanahela wimbo watoa nyoka pangoni mtamu alo nao anitumie plz.

    • @azizmabrouk5554
      @azizmabrouk5554 6 ปีที่แล้ว

      MWANAHALIMA MWACHILI unazitaka nyimbo zake

  • @shamsaismail7707
    @shamsaismail7707 7 ปีที่แล้ว

    mashaallah tabaraQillah Mama mwanahela Mungu ampekilalakheir..Afya njema Inshaallah

  • @mamujally3814
    @mamujally3814 7 ปีที่แล้ว +2

    Legend😍😘

  • @sheikhmungia8645
    @sheikhmungia8645 3 ปีที่แล้ว +1

    Jina lake halisi ni MWANAHELA SALUM, Mumewe ni MUSSA MAJENGO ambae wanafanya kazi pamoja GOLDEN STARS TAARAB YA TANGA BARABARA 14.
    SIO MWANAHAWA ALLY

  • @ennkiennki6048
    @ennkiennki6048 7 ปีที่แล้ว +2

    this show was classic👌

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 ปีที่แล้ว +1

    Nice jux

  • @zurufamussa6248
    @zurufamussa6248 7 ปีที่แล้ว

    Old is gold

  • @mohaaabdl2058
    @mohaaabdl2058 7 ปีที่แล้ว +1

    mm nailimuona alirudisha duuuh wabongo I say noma

  • @halimaaminiamini1965
    @halimaaminiamini1965 7 ปีที่แล้ว +1

    Mmmhh bimwanahela weeee!!

  • @faizasaid3465
    @faizasaid3465 7 ปีที่แล้ว +2

    acha kuiba hela sio vizuri

    • @janewacera7812
      @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว

      محمدmashaAllah Alhamdulilah احمد aa

  • @tommybiny3789
    @tommybiny3789 6 ปีที่แล้ว +2

    Mwenye link ya wimbo huu tafadhari tusaidiane.

  • @frankkanyara748
    @frankkanyara748 7 ปีที่แล้ว +1

    mwana umetisha umekomesha pesa za watu

  • @somoabdullah3781
    @somoabdullah3781 7 ปีที่แล้ว

    Maashaalah umenikosha hadi basi

  • @salummohamed5242
    @salummohamed5242 4 ปีที่แล้ว

    Salum

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 6 ปีที่แล้ว

    heshima ya mama

  • @aishaomary732
    @aishaomary732 5 ปีที่แล้ว

    napozisikia nyimbo za huyu mama nafarijika sana

  • @kamkamandallaz7793
    @kamkamandallaz7793 3 ปีที่แล้ว

    Matchachari haya

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว

    Jux leo amekuwa mpwani

  • @Chiefmukama
    @Chiefmukama 7 ปีที่แล้ว +1

    JUX BILA AIBU UNAMUIBIA PESA MAMA WA WATU,, DAAAHHH DAKIKA 07:05 na 07:07. SIO VIZURI KABISA

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 7 ปีที่แล้ว

    zaman kulikuwa na viumbe aisee!

  • @zavaramponjika7411
    @zavaramponjika7411 5 ปีที่แล้ว

    Kazi njema wapwa, tujitahidi kuzingatia maandishi kabla ya kupeleka Yyoutube. Huyo mama hapo anaitwa Mwanahela Salum. Ni kumkosea kuweka jina tofauti. rekebisheni hilo tafadhali

  • @salmamasoud6055
    @salmamasoud6055 7 ปีที่แล้ว +2

    yani ninavyompenda bi mawanahera nishidaa

  • @jumamuya1772
    @jumamuya1772 7 ปีที่แล้ว

    Anaitwa mwanahela salim sio mwanahawa ally

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 ปีที่แล้ว

    Jamani nauliza tu huyu mama nilimskia nikiwa mdogo kwani kabila gani maana hatari xana

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว +1

    Jux bhana

  • @janewacera7812
    @janewacera7812 7 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huyo kijana hanahata haya anachukuwa pesa akieka mfukoni tabia ozaa

  • @dashuusalim6067
    @dashuusalim6067 7 ปีที่แล้ว

    xawa wote mwana bt tafautxha kat ya hawa na hela ucbdlxhe majina apa

  • @ireneothuman4784
    @ireneothuman4784 7 ปีที่แล้ว

    jux hapo mbele veepe

  • @aishaswalleh7621
    @aishaswalleh7621 7 ปีที่แล้ว +3

    jamani tuelewe huyu mama ni mlemavu so jux amechukua hiyo pesa kumuwekea akishuka jukwaani atampa

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 7 ปีที่แล้ว

      Aisha Swalleh atampa saa ngapi ndivyo alivyokwambia? mbona zengine yuwampa mwenyewe mkononi!pengine naeza unga mkono mwenye amesema hakuiba Bali alizochukua kaambiwa na waliompa ni zake

    • @annymsupa5175
      @annymsupa5175 6 ปีที่แล้ว

      Aisha Swalleh 😂😂😂😂😂

  • @aishaswalleh7621
    @aishaswalleh7621 7 ปีที่แล้ว +1

    kulingana bi mkubwa mwenyewe kw stage hakuwa hata na clutch

    • @mamujally3814
      @mamujally3814 7 ปีที่แล้ว

      Aisha Swalleh aisee wamtaftie wheelchair atleast akihidhuria sehem inamsupport

  • @agustinong8007
    @agustinong8007 7 ปีที่แล้ว

    Ni kweli jux ni kibaka hana hata aibu

  • @karimjr5020
    @karimjr5020 7 ปีที่แล้ว

    ahhaha jux anatafuta kiki

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว +1

    jux unaib Pesa za watu😂😂😂😂

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 ปีที่แล้ว

    hakuiba jmn kaambiwa ya kwake lool

  • @esha1001
    @esha1001 6 ปีที่แล้ว

    yani kweli hana ata aibu kaeka ela mfukoni mtoto mroho sana uyo mshamba hafkrii kama aonekana dunia zima shame on you na mama kajua