Sio mbaya idea nzurii siwaping ila mmefeli kabisa nyie kama watalaam mnaingiaje shamban mmependeza hvyo kama mnaingia ofisin mpka na tai kabisa hapo mmi nimewazalau ndo mnavyofundishwa hvyo sua
Kaka Kila kitu kinaenda na wakati mkulima wa kisasa sio lazma kukaa mda wote kachafuka,Kuna mda wakuchafuka,Kuna mda wa tathmini na Kuna mda wa kufanya majumuisho kwa kle unachokifanya hvo bas mkulima wa kisasa kuwa smart nao pia unwaklisha usasa sasa,utaona mkulima kavaa vzur anakuelmisha masuala ya klimo Bora yaan mpaka unamwamini kwa kile anachokuelimisha
Wazee mnafanya kazi nzuri ila pia mnafel nyie kama wataalam wa kilimo mnaingia vp shamban na nguo za kwenye sherehe kwa nni msinge vaa protective gears ili muwe kwenye usalama zaid na pia kama wataalamu nyie mnavyovaa hvyo shamban mnainspire nni wakulima juu ya usalama wao,Ebu mda mwingine kuwen civilized do the right thing at the right time so kufaa michomekeo huku mko shamban
vyema sana kuona Vijana wakifanya kazi
asante digital farm
Hongera man lazaro 🙏🏼
Nakubali sana
Hongereni sana .Mafunzo mazuri
Asante endelea kuwa na digital farm
Too much music in your videos. It disturbs when listening.
nice 1 broooo
Kilimo chetu sehemu yetu
#Vijana tusonge
Good job broos ,kee it up guyz
Asante sana @dickson Alex
Dickson Alex , SUGECO WAKO VZR NA IDEA ZAO ZA Israel
Super B
Nakaribia kunua shamba lenye takribani heka tatu hapo Tanga naombeni ushauri hua mnazalisha kwa kumwagilia au kwa mwaka bidhaa zenu?
safi
kilimo ni sayansi,,,hongereni sana kuelekea kujikwamua na umaskini na kukabiliana na tatzo la ajira, kilimo ni fursa pekee.. hongereni sana
Asante sana, Lengo letu ni kufikisha elimu iliyo ya msingi kuhusu kilimo, endele kuwa na digital farm
Bravo ,...
Thank vey much, Keep in touch with DF, subscribe to the channel and you can also share the link.
Good presentation, but you need to be language specific
Asante hilo litazingatiwa, endelea kuwa na digital farm
Hanakitu cha maana mlichoelezea zaidi ya kupiga stor
sawa sawa, tunashukuru kwa comment yako, endelea kuwa na digital farms, kwa yote yahusuyo kilimo bora na cha kisasa.
unaweza itazama na hii pia, comment yako ni muhimu kwetu,
th-cam.com/video/X7Ry-gfS2ho/w-d-xo.html
Mbona hamkusema ni mbolea ipi mnatumia jina la mbolea pia, Mara ngapi mkulima atumie
Good work
big up brothers
Asante sana na endelea kwua na Digital farm
Tunawezajee pata mbegu za mahind lishe
Lkn hamjtuambia hekari moja inaweza kutoa gunia ngapi
Muhsin Salum kwa ekari moja ni gunia 17 hadi 24, hutegemea sana na matunzo shambani.
Penda sana hiikz jmn
Naomba namba yako tafadhalii
Zinbo Rmdan namba ni 0752 255 685
@@digitalfarms9053 shukran nitakutafuta vp nikitaka kuwasilian na wewe whatsap
hongeren sana kutuhamasisha sisi vijana tunaoona kilimo in mateso.
Naomba namba yak Man
Produce now!!
YES keep on producing
Tatizo ni soko la hayo mahindi hakuna nimelima heka kumi hapa nilikosa pa kupeleke
Umelimia wap
Sio mbaya idea nzurii siwaping ila mmefeli kabisa nyie kama watalaam mnaingiaje shamban mmependeza hvyo kama mnaingia ofisin mpka na tai kabisa hapo mmi nimewazalau ndo mnavyofundishwa hvyo sua
😂😂
Kaka Kila kitu kinaenda na wakati mkulima wa kisasa sio lazma kukaa mda wote kachafuka,Kuna mda wakuchafuka,Kuna mda wa tathmini na Kuna mda wa kufanya majumuisho kwa kle unachokifanya hvo bas mkulima wa kisasa kuwa smart nao pia unwaklisha usasa sasa,utaona mkulima kavaa vzur anakuelmisha masuala ya klimo Bora yaan mpaka unamwamini kwa kile anachokuelimisha
Si kila fundi lazima achafuke,
Sikila Mkilima lazima awe nasugu,
Sikila mwalim lazima achafuke na chaki,
Achana na imani kila alievaa SuTi ana hela.
Wazee mnafanya kazi nzuri ila pia mnafel nyie kama wataalam wa kilimo mnaingia vp shamban na nguo za kwenye sherehe kwa nni msinge vaa protective gears ili muwe kwenye usalama zaid na pia kama wataalamu nyie mnavyovaa hvyo shamban mnainspire nni wakulima juu ya usalama wao,Ebu mda mwingine kuwen civilized do the right thing at the right time so kufaa michomekeo huku mko shamban
Amon Zachary
Kabisa yaan!
good work