Mimi sielewi huyu Mwarabu Koko ,kwa Nini wanamwangalia ,anadharau serikali ya Tanzania?maneno take hayafai.polisi wanamwogopa mwarabu? Shusha weka ndani..mbona kina Mbowe,lisu mnawakamata? Hapa Kuna kituu..sio bure..Ila zenji ya Tanzania hapewi mwarabu atawale
Hebu waambie hao mapolisi. Hivi hawajifunzi kwa Serikali za.nje? Hawakuona WAMERIKANI walivyopiga kura za kistarabu? Hizi kura zote zihesabiwe kwenye vituo. Ule.mchezo wankuhamisha masanduku kwenye vituo UKOME.
Ndio baba ❤❤❤❤
Polisi lazima wataingilia,na virungu mtapewa.. hivi Jusa kiburi hiki anapata wapii?
Mh Jussa wallahi unanikosha ndipo 🔥🔥🔥
Safi sanaa
bila hivyo watapata wapi mishshara na posho za zuluma ndiyo maana wakistafu wana wewezuka awana marafiki

Hongera sana