TOXIC afunguka kwa UCHUNGU PENZI la HARMONIZE na ABIGAIL/AMCHANA HARMONIZE kumuingilia PENZI lake...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @TishaniUlanga-bj3nx
    @TishaniUlanga-bj3nx 13 วันที่ผ่านมา +11

    Kwa anayejua maumivu ya mapenz hawez kumcheka huyu jamaa zaid atamuhurumia

  • @isaarvuai4065
    @isaarvuai4065 13 วันที่ผ่านมา +7

    Waliopata funzo gonga like 👍 apa

  • @KidaOfsa45
    @KidaOfsa45 วันที่ผ่านมา

    Kam bahati yko utaipat tu kaka mapenz Co pesa mapenz ni strong feeling God be with you forever more..🙏

  • @HelderkwembaCosta
    @HelderkwembaCosta 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mm niko Moçambique uko mzee pole sana mm najua maumivu ya mapenzi

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 13 วันที่ผ่านมา +5

    Mapenzi hayachagui Tajiri au Maskini msichukulie vibaya Toxic, mchizi Toxic yupo Sawa Kwan pesa kitu gani apunguzen kuabudu pesa.

  • @HelderkwembaCosta
    @HelderkwembaCosta 10 วันที่ผ่านมา

    Nunca pense que seu amor é impossível, nunca diga 'eu não acredito no amor'. A vida sempre nos surpreende😢😢😢

  • @davidkashindiremy3635
    @davidkashindiremy3635 13 วันที่ผ่านมา +7

    Baba hauja kubaliwa unalalamika😂

  • @dismacking8421
    @dismacking8421 8 วันที่ผ่านมา

    Nakubali sana Toxic umeongea kilichopo moyoni💘....muwazi yani🙌😄

  • @StaahMusic
    @StaahMusic 13 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kakaangu

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 13 วันที่ผ่านมา +2

    Narudia unaweza komaaxnaa na kipaji chako kuna ki2 Umefungiwa kwenye box,

  • @samwelipaschal6412
    @samwelipaschal6412 12 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa namkubali sanaa ..Ila harmize awez kutoboa nae

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 12 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan hizi hela!....Aisee tutafute hela wazee

  • @NelsonMbilinyi-r2j
    @NelsonMbilinyi-r2j 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sali sana kaka😅

  • @davidkashindiremy3635
    @davidkashindiremy3635 13 วันที่ผ่านมา +3

    Acha ujinga Rudi kijijini tafuta demu, harmo ipo.... Umesha ona ndege mzee.

  • @mwendapolemedia
    @mwendapolemedia 13 วันที่ผ่านมา

    Bro sahau

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 13 วันที่ผ่านมา

    Nakukubali sana Toxic ..yule dem myb angekuzingua koz ashaonesha anatamaa ndogo ndogo

  • @NondaFerdinand
    @NondaFerdinand 9 วันที่ผ่านมา

    Tunashukuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 13 วันที่ผ่านมา +2

    Watoto wa elfu mbili wanataka mtu wa kumnunulia Gari hawataki madogy 😂😂

    • @mrsinia3064
      @mrsinia3064 12 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣

  • @Physicsandnature_42
    @Physicsandnature_42 13 วันที่ผ่านมา

    daaah

  • @mrflyover9928
    @mrflyover9928 13 วันที่ผ่านมา

    Toxic unajua kwenda na kick sana

  • @Jean_michelBurume
    @Jean_michelBurume 10 วันที่ผ่านมา

    Bro nibora uchezetu single yake konde , hajajiimbiya yeye pekeyake bro. Alafu ukishapata mwengine cheza sasa nimependa tena yake konde 😂😂💔💔💔💔💔💔

  • @mkalitalkshow
    @mkalitalkshow 13 วันที่ผ่านมา

    Haaa 😅

  • @HassanOmary-z3j
    @HassanOmary-z3j 11 วันที่ผ่านมา

    Kwel toxic tafut ela brooh hao madem wapo san mzee acha kulialia

  • @davidkashindiremy3635
    @davidkashindiremy3635 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mwaume wa hip hop wakulialia.... Wewe demu kweli

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 13 วันที่ผ่านมา

    Demu wa kawaida usipagawe fanya mambo mengine,,,,, we bado chalii xnaa

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 13 วันที่ผ่านมา

    Si Ushawahi Kusem Kuna Watu Uwaone Mwakanii Sas Na Wew Atukuoniii😂😂😂

  • @JumaJux-26
    @JumaJux-26 13 วันที่ผ่านมา

    bombo cluuuuuuuu

  • @cristianorobathchilambo4463
    @cristianorobathchilambo4463 13 วันที่ผ่านมา

    Subiri kesho zamu yako 😂😂😂😂

  • @EdwinMasebo-i8g
    @EdwinMasebo-i8g 13 วันที่ผ่านมา

    Konde endelea kujimenyea tundaaa

    • @MudrikahKhattab
      @MudrikahKhattab 12 วันที่ผ่านมา

      Aendelee kufanya nn?? 😂😂

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 13 วันที่ผ่านมา

    Sarafina usilegeze macho utaniumiza mpenzi af ujue jana nililala nikakuota, nikakuwaza😂.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 13 วันที่ผ่านมา

    Mwisho wa siku huyo harmo anachezea anamuacha, halafu ndo anskumbukwa myu km huyu ambapo muda huo huyu anakua amesha move on na kafanikiwa

  • @salimjumaa8180
    @salimjumaa8180 13 วันที่ผ่านมา +1

    Leo ndio nmeamini alichosema unju bin unuki kwamba kuna hiphop ngumu halisi af kuna hawa madogo wa hiphop chips mayai

    • @mchox1679
      @mchox1679 12 วันที่ผ่านมา +1

      Hisia za mtu na alichosema uyo unju ni tofaut sana.... Ni obviously kwamba ata uyo nick mbishi amependa ....,mbona mabeste ameenda live mamb ni ya mapenz??

    • @salimjumaa8180
      @salimjumaa8180 12 วันที่ผ่านมา +1

      @mchox1679 kupenda sio tatizo, ila shida nmfanya hiphop kujiliza kama msani wa bongo fleva, itakua umeelewa soma ssa

  • @MirajiHamadi-k8q
    @MirajiHamadi-k8q 13 วันที่ผ่านมา

    Tafuta pesa kaka

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 13 วันที่ผ่านมา

    toxic Ni mwanaflani hivi namkubali sana

  • @StevenEliasi-y1u
    @StevenEliasi-y1u 10 วันที่ผ่านมา

    Uy mwandish jau nae

  • @lameckbyamukama224
    @lameckbyamukama224 13 วันที่ผ่านมา

    Badala ya kumpa demu mimba ukampa mbwa, pumbavu kabisa.
    Ni haki yake akukimbie.

  • @timothykaiza327
    @timothykaiza327 10 วันที่ผ่านมา

    Buraza niuzie huyo nimchinje.

  • @jumaseif5037
    @jumaseif5037 13 วันที่ผ่านมา

    Endelea na Maisha dogo kama ni wako mpe muda,usiache kutongoza wapo wengine wengi kama na zaidi yake

  • @YacintaJames
    @YacintaJames 7 วันที่ผ่านมา

    Tafuta anayekupenda usipoteze muda wako.

  • @SharafiPanjoro-mg9uw
    @SharafiPanjoro-mg9uw 13 วันที่ผ่านมา

    sasa wa kwenda Kwa giggy ni konde au ni wewe mzee Cha kufanya we ndo umtafute giggy

  • @Edger-l9m
    @Edger-l9m 11 วันที่ผ่านมา +1

    Toxic mm nakubali kaka mchane huyo harmonize anakuingiliaje kwenye penzi lako

    • @Edger-l9m
      @Edger-l9m 5 วันที่ผ่านมา

      Live kak mchane kazingua kinoma harmonize

  • @victoriajoachim7271
    @victoriajoachim7271 13 วันที่ผ่านมา +19

    Wewe kijana tafuta pesa acha ujinga unampenda mtoto mzuri kama abby huna hela unategemea nini? Mtoto wa kishua utamweza wewe huna hata mia . Mjinga kweli wewe. Katafute pesa utafute anayefanana na wewe jinga wewe.

    • @randomclips5474
      @randomclips5474 13 วันที่ผ่านมา +1

      kwaiyo haturuhusiwi kupenda wakishua?? acha ujinga 😂 love isn't about money MF 💔

    • @TheStreams-i4s
      @TheStreams-i4s 13 วันที่ผ่านมา +1

      Yuko sahihi @victoriajoachim7271, Abby, is the celebrity most influenced. Hapo jamaa ashuru Mungu kama anaakili Abby anampenda mwana kwa hiyo anampa gep ajitafute. Kumbuka mapenzi ya Harmo na Wolper ilivyompa Harmo hasira ajitafute. We have to learn when you're red flagged my people tujiongeze.​@randomclips5474

    • @PascoMichael-j4t
      @PascoMichael-j4t 13 วันที่ผ่านมา

      Kweli uyu mwamba anajicholesha bule tu mitandaoni iyo lak Tano tu ya mbwa kabandika na den bado halijaisha abi atamuwezakwer😆

    • @lusanalusana-o3h
      @lusanalusana-o3h 12 วันที่ผ่านมา

      Wajinganyinyi ko kupenda kakosea wewe toka umeza kutafuta hela unashingap au unamzidi hela mbona wewe huna hela unamahusiano

    • @LightnesMaiga-n1x
      @LightnesMaiga-n1x 10 วันที่ผ่านมา

      Kwn nyie vp mbn makasiliko sana kwhy siku hizi kupenda hadi uwe na pesa daaah mnashangaza kwl yaaan kuna mtu hap anamtukana mwenzake yeye hana hata mia na anampenzi ok bc tufanye me ni mpenzi wako alafu nikwambie tuachane kisa huna hela neno la kwanza kutamka utasemaje😮😮 jinga kbc kakojoe ulale huko bola hata mwenzako ni star ⭐ anafahamika ww nan anakufaham ukitoa wazaz wako chefuuu tutolee kelele kwendraaaa😏😏😏

  • @AlhagieManneh-d6y
    @AlhagieManneh-d6y 13 วันที่ผ่านมา

    Please guys leave hamo alone. I don’t understand why we do Black people rude hate each other so much.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 13 วันที่ผ่านมา

    Tanzania 😂

    • @Henricovicent
      @Henricovicent 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 13 วันที่ผ่านมา

    Good looking compared to Konde..😢

  • @NelsonMaganya
    @NelsonMaganya 13 วันที่ผ่านมา

    Mwambiye atafute hela aache ujinga

    • @lusanalusana-o3h
      @lusanalusana-o3h 12 วันที่ผ่านมา

      Yani hatakama hutaki kugaria watu wanakutumia wanakukomesha sana