Mbunge wa Starehe 'Jaguar' akamatwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 มิ.ย. 2019
  • Jaguar amekatwa katika majengo ya bunge kufuatia matamshi ya chuki dhidi ya raia wa kigeni wanaofanya biashara humu nchini
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.com/+CitizenTVKenya
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 515

  • @shambebro382
    @shambebro382 5 ปีที่แล้ว +113

    Good job Matiagi👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 may God protect Kenya from stupid empty headed Politicians....

  • @icetruth
    @icetruth 5 ปีที่แล้ว +12

    He should resign, and continue singing, kigeugeu, leave us in peace with our neighbors, wewe jagua jagua love thy neighbor

  • @malkoashaali5430
    @malkoashaali5430 5 ปีที่แล้ว

    YES YES KENYA IS FREE OF ALL WELLCAME TO KENYA ANYONE WHO WHATS TO CAME KENYA IS PEACE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪☝️☝️☝️☝️✌✌✌✌

  • @buharimwanga284
    @buharimwanga284 5 ปีที่แล้ว +1

    Mi ni mTz huyu mbunge muangalie akimaliza muda wake msimpe kura ataharibu uhusiano wetu wa kindugu baina ya nchi zetu,tunawakenya wengi sana tz habaguliwi mtu no matter they do we considered them as Tanzanian,tunawapenda sana.

  • @nestorycyprian4112
    @nestorycyprian4112 5 ปีที่แล้ว +14

    He learnt only being musician but he knows nothing about international relation policy , it is nestory from tz

  • @khadijahtumna2016
    @khadijahtumna2016 5 ปีที่แล้ว +4

    The comedy In Kenya is in high level!..... Ataachiliwa tu

  • @ayoubchacha9090
    @ayoubchacha9090 5 ปีที่แล้ว +3

    Sisi watanzania tunawapeda wakenya wrote, Hugo jaguar pumbavu sana

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว +1

      Ayub huu uhusiano ni wa milele na hautatikiswa na watu vigeugeu

  • @bakariluhala7332
    @bakariluhala7332 5 ปีที่แล้ว +102

    Mahusiano ya Tanzania na Kenya ni makubwa kuliko huyo mpuuzi mmoja tu.

    • @siznic2156
      @siznic2156 5 ปีที่แล้ว +1

      Akili zake anazijua😂😂😂😂 sahii anajutia..

    • @dorischilla1627
      @dorischilla1627 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwel kabisa yan

    • @hassanakida9226
      @hassanakida9226 5 ปีที่แล้ว +1

      Hana anachojua

    • @jaybajay9973
      @jaybajay9973 5 ปีที่แล้ว +1

      Hana alijualo huyu mpuzi

    • @silingasilinga7164
      @silingasilinga7164 5 ปีที่แล้ว

      Hamtu pendagi siku hizi mbona

  • @osodeswagg651
    @osodeswagg651 5 ปีที่แล้ว +5

    Sukuma ndani....km umekubali like.plz

  • @amiinaishmail4788
    @amiinaishmail4788 5 ปีที่แล้ว +6

    How many Kenyans are out there working in different countries.........don't destroy our image out here ....

    • @alimonja1739
      @alimonja1739 5 ปีที่แล้ว

      YEESS good question !! even here zanzibar we have many kenya in our hotels but we lives together like sister and brother why he say that i think he is crazy

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 5 ปีที่แล้ว +1

    Welldone heshima ifanye kazi..hawajui wakenya wangapi tuko nje ya nchi struggling to make life..wanadhani kila mtu anakulia kwa golden plate kama hao...kamata wote

  • @ssamamc3465
    @ssamamc3465 5 ปีที่แล้ว +39

    MWANASIASA KIGEUGEU! Amesahau wimbo wake haraka sana! Such a let down;

    • @johnnzayiramya9339
      @johnnzayiramya9339 5 ปีที่แล้ว +2

      YEYE SASA AMEKUWA KIGEUGEU

    • @ssamamc3465
      @ssamamc3465 5 ปีที่แล้ว +2

      @@johnnzayiramya9339 Alikuwa na piont lakini matamshi yake ni Xenophobic. Angefikiria sana kabla ya kuongea, aibu kubwa!

    • @justelena4517
      @justelena4517 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @haweyaabdillahiadhan7621
      @haweyaabdillahiadhan7621 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha lakini mimi si kigeugeu my dear

    • @ssamamc3465
      @ssamamc3465 5 ปีที่แล้ว

      @@haweyaabdillahiadhan7621 Lol, nimekuamini!

  • @miriamotundo6479
    @miriamotundo6479 5 ปีที่แล้ว +17

    Kwani they needed a whole police unit to arrest one person? Kenya jamani....drama nayo 😂😂😂😂😂

  • @hammerQ954
    @hammerQ954 5 ปีที่แล้ว

    Jaguar karibu sana zanzibar uje uone tunavyoishi na wakenya ni kama tumezaliwa tumbo moja . Kuwa makini sana na ulimi wako .... wakenya karibuni zanzibar 🙌🙌🙌🙌

  • @vivianwanini5906
    @vivianwanini5906 5 ปีที่แล้ว +1

    Yes.. Kenya we love people, Kenya we are not like middle East ama South Africa... Kenya knows God.

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +22

    Kukamata mwasiasa Kenya ni kama kutafutia kura juu ataachiliwa na aendewe na wafuasi wake....

    • @susankaburu140
      @susankaburu140 5 ปีที่แล้ว +1

      Hii ni business iko kenya atawachiliwa bail ya 250 atakosa kweli

    • @djatm1319
      @djatm1319 5 ปีที่แล้ว

      @@susankaburu140 sure

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 ปีที่แล้ว

    WE TANZANIANS WE HAVE MANY FRIENDS FROM KENYA, WE WERE VERY SAD TO HEAR THIS GUY SAYING THAT, AND WE BEGAN TO MISS OUR GOOD FRIENDS ACORDING HIS WORDS.WE THANK THE GOVERNMENT OF KENYA FOR WHAT HAS DONE.GOS IS GOOD! NOW AGAIN WE STILL HAVE OUR GOOD NEIGHBORS OF KENYA! WE WELCOME YOU TO OUR COUTRY AGAIN.THANK YOU!! GOD BLESS KENYATA! AND THE CITIZENS OF KENYA!!!

  • @joankioko5203
    @joankioko5203 5 ปีที่แล้ว +1

    So many Kenyans work outside kenya what a statement is this?what if all other countries talk like him God grant wisdom to this leader's

    • @afropages2322
      @afropages2322 5 ปีที่แล้ว

      This guys will never have wisdom. For him to even conceive the idea!!!

  • @phylliswanjiku7719
    @phylliswanjiku7719 5 ปีที่แล้ว +7

    we salute you honorable Moses kuria and Korir for speaking for the business men and women

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว +1

      Wanjiku go to Tanzania & Kampala or even Juba & find out who is selling newspapers if not Kamau or Njuguna wake up

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว

      I can see team tangatanga hand in this.The fools being used don't know that after the completion of expelling foreigners their paymaster may well use the same medicine against their folks.2007/8 is again a likelihood !

  • @consolataakwabi7321
    @consolataakwabi7321 5 ปีที่แล้ว +66

    Hahaa...alidhani yy ni nani...kamatwa kabisa.......anajuwa ni wakenya wangapi wako outs8de KENYA.....

    • @unclemusaa6188
      @unclemusaa6188 5 ปีที่แล้ว

      Shinda apo

    • @rachealimoli4653
      @rachealimoli4653 5 ปีที่แล้ว +6

      Hajui ,asituharibie sisi wenye tuko mbali coz atatusaidia.

    • @janetkerubo7643
      @janetkerubo7643 5 ปีที่แล้ว +1

      @@rachealimoli4653 aki

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว +5

      Consolata Akwabi Hajui , anaamka tu na kuanza kuropoka , hajui atasababisha wakenya wangapi kupata shida nje ya kenya , anaangalia tumbo lake tu .

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 5 ปีที่แล้ว +3

      Consolata Akwabi Atulie , ajifunze masuala ya kidiplomasia , shida na majirani si nzuri .
      Angeshauri serikali ya Kenya kukaa na serikali jirani kuangalia a best way kuhusu biashara za wananchi wao wakiwa nchi jirani .

  • @stephenlankai5411
    @stephenlankai5411 5 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana , ...kukamatwa kwa m chochezi

  • @blizzokassim6495
    @blizzokassim6495 5 ปีที่แล้ว

    Kenya we love u....na bora mlivyokanusha hyo kauli mana nadhani Wabongo mnatuelewa vizuri tutavuruga nchi yenu jumla jumla...Kama Alshababu tuu wanawashindwa msiitest Tz kumalamamake

  • @yusuphharuna1476
    @yusuphharuna1476 5 ปีที่แล้ว +1

    Bora mm mungu aliniachisha bangi na pombe sasa namtumikia

  • @ben-kings8954
    @ben-kings8954 5 ปีที่แล้ว +6

    The government should be tight on this...we have to consider our kenyans in foreign countries

    • @SA-xj8hc
      @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว +1

      Benjamin Nyangena come to Zanzibar to see the influx of Kenyans who sell their bodies to “Muzungu”

    • @kosalbai
      @kosalbai 5 ปีที่แล้ว +1

      Suleiman Abdallah umalaya sio geni duniani. It’s the oldest profession. Are there no Tanzanian or Zanzibari whores?

    • @jj7520
      @jj7520 5 ปีที่แล้ว

      @@SA-xj8hc Yani una andika matako/akuna Manufaktur inkine kwenu?weka eshima kidogo man!

    • @user-nw8lm1qb8u
      @user-nw8lm1qb8u 5 ปีที่แล้ว

      @@SA-xj8hc umetumaliza waaaaaaa

  • @trendingupdatechannel7757
    @trendingupdatechannel7757 5 ปีที่แล้ว

    Just love my country

  • @nassibnassib4845
    @nassibnassib4845 5 ปีที่แล้ว +3

    Citizen.. Mgepiga ile ngoma yake ya Kigeugeu.

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +1

    Good job East Africsn community parliament for discussing this . Otherwise Serikali ya Kenya sidhani wange hangaika because ange shikwa mara tu baada yaku ropoka maneno yale. But hadi bunge la East Africa na Tanzania kuingilia kati ndio ana shikwa leo

  • @joyann985
    @joyann985 5 ปีที่แล้ว +1

    Let me look where Hon. Babu Owini is🙌🙌💃💃💃

    • @tutasorthiostory
      @tutasorthiostory 5 ปีที่แล้ว

      He’s working for his people , check him out !

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 ปีที่แล้ว +13

    Mimi ni mtz. lakini nafanya kazi na wakenya hapa tz. na ninawapenda maana wanajituma xana na wako na bidii ktk kazi

  • @africanchief3523
    @africanchief3523 5 ปีที่แล้ว

    Wanasiasa vigeugeu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @zachgodfst7421
    @zachgodfst7421 5 ปีที่แล้ว +20

    Payukeni 2,,,,,,,,,, kuku zetu ?? Cow zetu??? 🏃‍♂🏃‍♀🏃‍♂🏃‍♂🏃‍♀ ......🏋‍♂🏋‍♀🏹🏹

    • @margaret8940
      @margaret8940 5 ปีที่แล้ว +3

      Ebu watuambie. Wamejaa hapa wanapayuka payuka. Mbona hawakupayuka wakati kuku na ngombe zetu ziliangamizwa. Kenyans wamechoka na wameamua.

    • @dutchsafari7562
      @dutchsafari7562 5 ปีที่แล้ว +2

      Waliingia illegally bila kufwata utaratibu wa boarders

    • @sylvestermatinde7527
      @sylvestermatinde7527 5 ปีที่แล้ว +1

      Acheni fitina nchi haijengeki bila wageni,Tz wanalisha Kenya kW njia nyingi,kazi nzuri kwa waziri Wa ulinzi ,Sikh zote mkikuyu ana fitina ya kijinga bila kujua kidole kimoja hakivunji njawa.

    • @stonecold4630
      @stonecold4630 5 ปีที่แล้ว +1

      Sylvester Matinde .acha ukabila mkikuyu anatokezea wapi? Kwani nyinyi wa bongo pia mumeambukizwa ugonjwa wa ukabila na chuki dhidi ya wakikuyu? Jua wakikuyu ni wateule

    • @mrope348
      @mrope348 5 ปีที่แล้ว

      @@stonecold4630 mna uteule gani nyie chuki na choyo zimewajaa tele

  • @hajiismaily3401
    @hajiismaily3401 5 ปีที่แล้ว +26

    Acha akamatwe mahusiano yetu yalikuwa tangia zama hizo yeyeniwajuzi tu

  • @isayamwidete6420
    @isayamwidete6420 5 ปีที่แล้ว +7

    Its where i get the dought, to choose youth speciffically to MARIJUANA SMOKERS,to hold heavy position!!!!shame on you JAGUAR!!!We are waiting to see you hr in TANZANIA!!🇹🇿🇹🇿🇹🇿after all your foolish announce!!!!!!

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo Mbunge BWEGE kweli...!!?? Tanzania wafanya biashara number moja Ni Wakenya . Hivi UBAGUZI mtaacha lini ndugu zetu.!!??

  • @shadadiabdul6689
    @shadadiabdul6689 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo jamaa alikua amelewa.Ukiona Watanzania wako Kenya basi ujue kuna Wakenya wapo Tanzania. Tumemsamehe ajifunze kuheshimu uhai wa Binadamu na utu.

  • @oyay2821
    @oyay2821 5 ปีที่แล้ว +1

    Watanzania Huwa wanatubagua Lakini kauli ya Jaguar ilikuwa mbaya kiasi

  • @zimaxmedia
    @zimaxmedia 5 ปีที่แล้ว +2

    I see Mang'u and Alliance high school students at the background... Just a keen look though😀😀😀
    Meanwhile, jaguar kigeugeu tena??

  • @deusgabri
    @deusgabri 5 ปีที่แล้ว +2

    Msingemkamata ningeshangaa sana.....huyu ni mbunge mjinga sana....WANANCHI WANATAKA EAST AFRICA yeye anachochea ubaguzi.....

  • @dyddadizzo
    @dyddadizzo 5 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo ni nyumba ya Wazito👊.akae huko😂✋

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 5 ปีที่แล้ว

    Huyu Mbunge ni Jipu, hakuna maendeleo mkibaki wenyewe, ajifunze kutoka mataifa Makubwa yote yana wahamiaji, ninachoshukuru Serikali ya Kenya iko makini na wameshatoa tamko. Salam kutoka Dar es salaam

  • @thisislynn3425
    @thisislynn3425 5 ปีที่แล้ว +2

    That's ok there international business policy

  • @njengakamau1058
    @njengakamau1058 5 ปีที่แล้ว +8

    Acha iwe funzo kwa wengine wote....uhusiano wa Kenya na Tanzania ni mkubwa kuliko jaguar

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 5 ปีที่แล้ว +1

    Matiang'i you are our next president, kamata wakora wote! No peace for criminals like jaguar, funzo kwa politicians corrupt! Jaguar ni msanii sio minister, arudi kutunga nyimbo

  • @mgemawilliam4105
    @mgemawilliam4105 5 ปีที่แล้ว

    Kweli serikali ya Kenya mko vizuri, maana kama mngemuacha huyo mpuuzi akaendelea kupayukapayuka hovyo, angewaharibia mahusiano na nchi jirani hasa sisi ndugu zenu wakaribu na wakihistoria Tanzania. Tunawapenda sana Wakenya

  • @kamaumuritu4713
    @kamaumuritu4713 5 ปีที่แล้ว

    Make kenya great again.

  • @wisdomband8677
    @wisdomband8677 5 ปีที่แล้ว

    Dah tz tupo vizuri Kenya siji tena

  • @davisamark8515
    @davisamark8515 5 ปีที่แล้ว +1

    Anaharibu siasa za kenya na mahusiano ya nchi rafiki na kenya

  • @starlight_channel
    @starlight_channel 5 ปีที่แล้ว +22

    Tukipiga Tz kesho kwa Afcon watanzania wako kenya warudi kwao,wakitushinda tuitishe marathon, wakitushinda tuitishe collabo ya OG na Simba,wakitushinda tuitishe magufuli 🔒tuwafungie huku Kenya.

    • @kacherosimba5762
      @kacherosimba5762 5 ปีที่แล้ว +3

      Hahhahaha huyu mlevi wenu jagua mwambieni akome tukilianzisha huku mtatafutana ako magu hataki utani na raiya wake

    • @jj7520
      @jj7520 5 ปีที่แล้ว +1

      Heee 😂😂😂😂waaa kenya 😎

    • @mbarukgude5335
      @mbarukgude5335 5 ปีที่แล้ว +2

      Stupid politician, mbona huyu mtu ni falaa wa ina gani? Hajui kwani wakenya wangapi wako worldwide wafanya maendeleo ya kenya huyu akiwachwa asijaribu kuibisha kenya ..akifanya hivyo alivyo sema basi abiria tutamfunzaa adabu mjinga

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว +2

      Utashangaa Kenya ikinyolewa bila wembe

    • @starlight_channel
      @starlight_channel 5 ปีที่แล้ว

      @@sospeteranyango6274 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shabanborondi6526
    @shabanborondi6526 5 ปีที่แล้ว +4

    Amewaongelia wa TZ tu?...mbona kuna wakenya kibao wanafanya biashara hapa Bongo...huyo jamaa was just having a bad day he didn't mean what he said

  • @sylvestermatinde7527
    @sylvestermatinde7527 5 ปีที่แล้ว +1

    We are here 4revalution,si fitina wote east Africa why jaguar aanze bifu za kisenge na ye juzi tu hapa ndio kapata ubunge, aache nyodo mbio zake zitaishia ukingoni.

  • @mercypedha5519
    @mercypedha5519 5 ปีที่แล้ว +8

    I hope hii ni ukweli na anepekekwa Polisi na Sio kwa Hoteli kufumba watu Macho😏 wapi Matiang'i he need ku pinch mapua ya Jaguar

    • @jayramadhan4584
      @jayramadhan4584 5 ปีที่แล้ว +1

      Kumtioa bunge haiwezekani cz ame changuliwa na wanchi sio serekali.

    • @banshbansh2329
      @banshbansh2329 5 ปีที่แล้ว

      @@jayramadhan4584 😅😅😅

  • @peterolal249
    @peterolal249 5 ปีที่แล้ว +37

    Vijana ambao wameingia bunge wakijifikiria na kujijaza na chuki isiyifaa. Let him face the law and be answerable to his words. Am just requesting top leaders to keep off from this.

    • @rehemadani3600
      @rehemadani3600 5 ปีที่แล้ว

      Mimi naomba anyongwe nikama muuaji vile, kinachomchanganya nimbunge mfanya biashara ndiyo Maana anakulupuka kuzungumza

    • @lilamhanzi1929
      @lilamhanzi1929 5 ปีที่แล้ว

      Use the link to get the app for "free top up"

  • @wizydeko1496
    @wizydeko1496 5 ปีที่แล้ว +3

    Niko na rafiki yangu kutoka Kenya tuncheka tu ili boya linavyokamatwa pumbafuu

  • @kalulu44
    @kalulu44 5 ปีที่แล้ว +2

    Jaguar has a point. DIAMOND IS SELLING MORE RECORDS IN KENYA THAN HIM

  • @Bitlontravels555
    @Bitlontravels555 5 ปีที่แล้ว +3

    Great job Fred Matiang'i. We are proud of you. These empty headed politicians should face the music

  • @jerryomish4581
    @jerryomish4581 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyu aende aozee kamiti . How many jobs has he offered to the youths

  • @evalenad6256
    @evalenad6256 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana safi sanaaa🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾akafungiwe mbali huko

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 5 ปีที่แล้ว +2

    Wanasiasa vigegeu! kawa kigeugeu mwenyewe, hivi tukimuweka Diamond bungeni yatakuwa haya haya? maana huyu alikuwa mwanamuziki kama Diamond!

  • @ednacharles524
    @ednacharles524 5 ปีที่แล้ว +9

    alifanya vibaya Sana, kusema watawafukuza na wachape hao wachina, lakini jaquar anafaa ajue pia kuna wakenya wengi wako inje ya nchi na tuko free sana

    • @peterirungu2904
      @peterirungu2904 5 ปีที่แล้ว

      Weh kwenda you don't know what you're saying,.tembea middle east ujione who kenya treaded

  • @Actor_bad24IK
    @Actor_bad24IK 5 ปีที่แล้ว +6

    Kenya hatuna chuki na Watanzania...karibuni...matamshi ya Jaguar hayaambatani na msimamo wa wakenya..🇰🇪

    • @isayajilala1645
      @isayajilala1645 5 ปีที่แล้ว +4

      Martin K. yameisha joh hata sisi tz hatuna noma na nyie

    • @johnmohblaxta
      @johnmohblaxta 5 ปีที่แล้ว

      hope pia Tz watatukaribisha vile unawakaribisha huku

  • @masachihorticultureunitcol711
    @masachihorticultureunitcol711 5 ปีที่แล้ว +1

    Kitu kibaya ni kuwasema vibaya watanzania na waganda. Hajui kuna wakenya wengi wapo wanaishi Tanzania. Kuna wakenya wengi pia wapo Tanzania pia wakenya na watanzania wameoana sana.

  • @twalibbakari4338
    @twalibbakari4338 5 ปีที่แล้ว

    huyu Jaguar ni mjinga hajui sana sasa hivi watu wafikiria kufanya kazi na biashara kwa pamoja yy afikiria ugomvi

  • @imaniseverini1538
    @imaniseverini1538 5 ปีที่แล้ว +2

    Me mtanzania .. Hatujui tumemfanyia nini huyo mbunge

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mtanzania. Nilikuwa mshabiki wa song za Jaguar. Kumbe ni pumbavu kabisa. Sisi siku zote tunashirikiana. Kuna wakenya wengi Tz. Benki ya KCB iko hapa, kuna viwanda, magari na biashara nyingi za wakenya. Lazma tujifunze kuvumiliana.

  • @reubenfavour
    @reubenfavour 5 ปีที่แล้ว +1

    That Was A Reckless Statement From JAGUAH.....
    KWENDA KABISA

  • @hassantnikweliameir1233
    @hassantnikweliameir1233 5 ปีที่แล้ว +1

    wakenya wamechukua ajira zetu katika sekta utalii hapa Zanzibar je huyu Jaguar anasemaje?

  • @shirowdestinys5775
    @shirowdestinys5775 5 ปีที่แล้ว

    Hapo sawa

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 5 ปีที่แล้ว +1

    Sio wote watu wa nje ni wabaya kuna wenghine wanatakia Kenya mafanikiyo na mtu kama huyu Jaguar ni adui wa uhusiano zakuleta maendeleo katika inchi wacha akakule sembhe ya bure

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 ปีที่แล้ว +6

    wakati mataifa makubwa wakiungana kumpiga mnyonge mataifa fukara wanabaguana waafrika tunanongwa kweli kweli

    • @franga7870
      @franga7870 5 ปีที่แล้ว

      Sasa mtu mmoja amekuwa taifa?duh!

  • @janenana9579
    @janenana9579 5 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni kufungwa macho kwa raia maskini, Ole wenu amepelekwa 5 Star Hotel.Sisi raia wanyonge jela imejengewa wanyonge. 5 Star PAP.

  • @reginakaloki6590
    @reginakaloki6590 5 ปีที่แล้ว +1

    The singer kigeugeu. Ndani sasa may be he never knew about kigeugeu

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 5 ปีที่แล้ว

    Yule Ambassador wa China hapa Kenya hivi majuzi alizunghumza vizuri na kutengheneza uhusiano kati ya nchi mbhili so kwani huyu Jaguar angheminghilia huyu Ambassador pia?

  • @francisjkidua8303
    @francisjkidua8303 5 ปีที่แล้ว

    Well done

  • @abdyaly2413
    @abdyaly2413 5 ปีที่แล้ว +1

    Matiangi ameifanya kazi nzuri..
    Manake huyu jaguar anatuebisha sana, chuki si kitu kizuri, maneno zake za jana zilikua na ujinga mengi..

  • @robertomae2341
    @robertomae2341 5 ปีที่แล้ว

    Matiangi good job

  • @joethige
    @joethige 5 ปีที่แล้ว +2

    No one is above the law. Let him pay for his sins

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo anampango wakuvuruga amani yawakenya mkemeeni hafai ikibidi na Ubunge avuliwe hanasifa yauongozi

  • @oduorevans3493
    @oduorevans3493 5 ปีที่แล้ว +3

    Mad leader

  • @simonmburu3029
    @simonmburu3029 5 ปีที่แล้ว +1

    Akamatwe twe twe twe....he is so reckless

  • @repmydxxx8054
    @repmydxxx8054 5 ปีที่แล้ว

    Someone correct me...did I see the security car used to whisk of jaguar to be bearing a south Sudanese number plate.

    • @mowlidpirlo9480
      @mowlidpirlo9480 5 ปีที่แล้ว

      Ndio pia mimi naona ni SSD south sudanese number plate😁😁

  • @kelvinmbugua3502
    @kelvinmbugua3502 5 ปีที่แล้ว +11

    its okey, but I think he was saying that some foreigners are taking Kenyan jobs and yet people are jobless, he could have given the message in a good way not deportation of foreigners

    • @mosesnyamhanga449
      @mosesnyamhanga449 5 ปีที่แล้ว +1

      Umewai kufika Tanzania ? Fika kwanza afu utembee mikoa yote especially arusha ,dar,Mara utapata jibu LA maswali yako Tanzania ndio nchi pekee ambayo wakenya wengi wanajipatia ridhiki yao yakimaisha na tukisema tuwafukuze wako wengi sana na mtasota kabisa ndug yangu!

    • @SA-xj8hc
      @SA-xj8hc 5 ปีที่แล้ว +1

      So many Kenyans work in tourism industry in Zanzibar .

    • @exvariensolmon9511
      @exvariensolmon9511 5 ปีที่แล้ว

      And what about beating them?

    • @isayamwidete6420
      @isayamwidete6420 5 ปีที่แล้ว +1

      dont you know how many kenyans works in tourism industries and educational wise as well????say stop to such stupid legacy!!

    • @abdallahabdallahmkaona9611
      @abdallahabdallahmkaona9611 5 ปีที่แล้ว

      @@isayamwidete6420 we?sifara njoo tz uond

  • @damarqueendq132
    @damarqueendq132 5 ปีที่แล้ว

    Hmmmm juzi persalis talked about him

  • @timelessbeauty5677
    @timelessbeauty5677 5 ปีที่แล้ว

    Juzi tu mwanamke alikuwa analia jinai ambavyo jagua amemu abandon na watoi ...we asked him to pray God to take over from her ...now look at machozi ya mwanamke what it does, this is the beginning....

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 5 ปีที่แล้ว +1

    MUSI PUMNAZE WATU AKILI WASIO KUWA NA PESA NDIO HUKAMATWA NA WAOZEE JELA WENYE HELA NI KUTUFUNGA MACHO TU JU ATATOKA HAKUNA KITU HAPO

  • @jumahili8121
    @jumahili8121 5 ปีที่แล้ว +2

    We must learn on how to compete. Not sleeping and complaining. Rais Uhuru mwenyewe alisema anaalika wageni waje ku invest kenya.

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 ปีที่แล้ว +11

    What a shame to the so called "youths" who are always complaining over being left out of national leadership ! Huyo baradhuli awekwe ndani hadi aelewe umuhimu wa ujirani mwema kati ya Kenya na Tanzania...MSHENZI MKUBWA!!!

    • @unclemusaa6188
      @unclemusaa6188 5 ปีที่แล้ว

      Peleka vitina mbali c umutafute umutusi ye mwenyewe c unatuambia tufanye nini

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 ปีที่แล้ว

      @@unclemusaa6188 vitina ni munyama gani BURUKENGE wewe!!!

    • @unclemusaa6188
      @unclemusaa6188 5 ปีที่แล้ว

      @@lenniefei6710 we ni matako Sana and if you offered jilambe I thought that all grown ups wakona akili mafi ww

    • @saidadam9644
      @saidadam9644 5 ปีที่แล้ว

      :l

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 5 ปีที่แล้ว

      @@unclemusaa6188 Find something useful to do lizard!

  • @bonnybonny8337
    @bonnybonny8337 5 ปีที่แล้ว +2

    How about Kenyans who get harassed by Tanzanian authorities everyday? What is Uhuru's PR govt doing about that?

    • @ssamamc3465
      @ssamamc3465 5 ปีที่แล้ว +1

      Jaguar's remarks are Xenophobic but I remember Tanzania burnt our live chiks and took cattle yet it wasn't such a big deal to them.

  • @sarahhamisi2070
    @sarahhamisi2070 5 ปีที่แล้ว +1

    tz Kenya mbona ni ndugu

  • @ezekielikuboja1413
    @ezekielikuboja1413 5 ปีที่แล้ว +27

    Tz mbn tunapenda kila m2 sisi ni one blood mbn jagwar anakua mjinga akija tz avae nguo za chuma

    • @simonmwangi1057
      @simonmwangi1057 5 ปีที่แล้ว

      Huko atakujia nini

    • @girlbantu5804
      @girlbantu5804 5 ปีที่แล้ว +1

      Sasa wewe unamtisha kwanini .shame on you you are not different from him

    • @banshbansh2329
      @banshbansh2329 5 ปีที่แล้ว +1

      @@girlbantu5804 Siameanza yy kutisha wenzie

    • @banshbansh2329
      @banshbansh2329 5 ปีที่แล้ว +1

      @@simonmwangi1057 Mbona juzi tuu alikuwa Tz

    • @kabiru6861
      @kabiru6861 5 ปีที่แล้ว +2

      Jaguar amesema ukweli lakini kwa njia isio ya kupendeza, juzi magufuli alichoma vifaranga na kuuza ngombe za WA Kenya kwa hivio hili swala lazima lijadiliwe hapa Kenya...

  • @denyoshfitness4394
    @denyoshfitness4394 5 ปีที่แล้ว

    Team Jaguar

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 5 ปีที่แล้ว +3

    Matiang'i raised this isue no one touched him...there is somthing behind..wot goes around comes around

    • @unclemusaa6188
      @unclemusaa6188 5 ปีที่แล้ว +2

      @@evelynokoth1246 but the point is the same

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว

      Waitangi was talking of gambling machines etc & the ppl behind them

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว

      Not Tanzanians & Ugandans feeding us

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaguar amesahau kuwa yeye Kazi yake kubwa ni music, ubunge unapita. Atafanyeje music wake kwenye nchi zingine kama mbaguzi hivyo? Kachemka sana huyo mbwa

  • @matthiask2087
    @matthiask2087 5 ปีที่แล้ว

    Finally

  • @johnstonendegwa4332
    @johnstonendegwa4332 5 ปีที่แล้ว +3

    TUMEZOEA POLITICS....SAA HIII ANAKULA KWAKE

  • @nimky1422
    @nimky1422 5 ปีที่แล้ว

    Enyewe vle Aliongea sio poa lakini Kenyans we must wake up and protect our small business men and women

    • @sospeteranyango6274
      @sospeteranyango6274 5 ปีที่แล้ว +1

      Protect what has any of them hindered u 4m putting up your mahindi choma jiko.Hawa watu wanajituma.Wao sio serikali saidia.

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 5 ปีที่แล้ว +2

    Sukuma ndani huyu NGURUWE

  • @Prisca.W
    @Prisca.W 5 ปีที่แล้ว

    "Anafululizwa sijui anapelekwa wapi"😂😂😂😂😂

  • @mumblessed001
    @mumblessed001 5 ปีที่แล้ว +1

    Jaguar umefudishwa kuongea matope na kina kuria acheni za ovyo hio ckazi yako mehemehe majirani wetu wameishi kufanya biashara na pia wakenya hufanya biashara Tz acheni upuzi mumekula mkajza matumbo sasa mtukosanishe na majirani bure kabisa

  • @marionmuthoni6461
    @marionmuthoni6461 5 ปีที่แล้ว +3

    Kenya tulizoea pesa ndizio huongea ata hatakaa 3days prison atatoka 2 ....

  • @innocentjohn5037
    @innocentjohn5037 5 ปีที่แล้ว

    From Tanzania ni bangi alikuwa ataacha ndugu zangu