||MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU|| UHUSIANO WA MAJI, AMRI NA NENO LA MUNGU. SEHEMU YA 3

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Ubatizo ni alama ya kiimani ya kuingizwa kwenye Agano Jipya, kama vile tohara katika Agano la Kale(Green 1987). Katika Agano la Kale, tohara ilikuwa ni ishara ya Agano kati ya Mungu na Waisraeli(Mwanzo 17:10-13). Bali katika Agano Jipya, ubatizo ni tendo la kiimani la kumkaribisha mtu katika maisha ya utakatifu baada ya kuoshwa dhambi kwa njia ya maji na neno la Mungu
    # • JE WAIJUA SACRAMENTI Y...
    #ibadayajumapili #motivation #voiceeffects

ความคิดเห็น •