Maelezo zaidi ya Fulbright Scholarships kwa Masters na PhD kusoma USA (Part 1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @EBMSWAHILI
    @EBMSWAHILI  ปีที่แล้ว

    Fulbright JSD ni fursa ya kupata udhamini 100% kusoma USA kwa masters na PhD. Udhamini huu unatolewa na serikali ya Marekani kupitia ubalozi wa nchi husika kufanya application
    Link ya application ni tz.usembassy.gov/education/fulbright-jsd/ na Deadline ni March 31, 2023

  • @thomasmusani7948
    @thomasmusani7948 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri baba.

  • @domydr8983
    @domydr8983 ปีที่แล้ว

    Brother your doing a great think

  • @ericknjowoka4245
    @ericknjowoka4245 ปีที่แล้ว +1

    Chagua sehemu ambayo unatamani tuweke sanamu lako, huu ni zaidi ya uzalendo......nitashinda green card nitakuja marekan nitafany interview na wewe one day,.....

  • @andersonjamal7523
    @andersonjamal7523 ปีที่แล้ว

    Hongera Ndugu Kwa yote unayoyafanya ,naomba kuuliza nje ya topic Ya Leo,je
    Swali Langu ,je inawezeka mwanafunzi wa secondary kuhamia huko na kuendelea na masomo ?ikiwa Kuna ndugu yake huko?? Process zikoje? Akhsante..

  • @elishajustine28
    @elishajustine28 ปีที่แล้ว

    Mkuu Scholarship za masters of medicine znapatkanaaa maana n ngumu kuzpataa

  • @peterlugomoka3605
    @peterlugomoka3605 ปีที่แล้ว

    Sasa jamaa anaehojiwa anapiga zake kiswahili ila muuliza maswali miksa vingereza

  • @christopherrobert1948
    @christopherrobert1948 ปีที่แล้ว

    1st to watch and comment