BILLBOARD YA KWANZA YA UMEME KIGOMA, WANANCHI WASHANGAA "TULIJUA NI TV".

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni Sanaa Millard ayo na Ayo tv,,mmekuwa Kila mahali penye habari na matukio yakweli,,kwelii kidogoma inafungukaa maana hataa barabara za mijini zinajengwa kwa wingii.

  • @didamanyanya595
    @didamanyanya595 9 หลายเดือนก่อน

    Kigoma oyeeee

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 หลายเดือนก่อน

    Hao idara ya maji wanajua wanachofanya maji yapo mengi tu kuvuta inakuwa vigumu je hao kwa hiyo akili na wizi wa Bill tungetemea maji ya bahari kama nchi nyingi ingekuwaje .

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 ปีที่แล้ว +1

    Du waafrica alie turoga kashakufa sasa icho ndo chakushangaa c vitu vya miaka 47

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว

    Asante milard

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 ปีที่แล้ว +1

    Wanakigoma hapo hawakawii kuwaona wakishinda siku nzima wakiangalia sinema ya matangazo ya biashara 😅

  • @husseinally6726
    @husseinally6726 ปีที่แล้ว

    Kweli kigoma mnafurahiya matangazo badara mkadaii viwanda wahaaaa mmepooooaaaaaa

  • @user-gz9sn4qu5u
    @user-gz9sn4qu5u ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂kigomaaaa,icho si cha sebuleni??

  • @dennismongi8970
    @dennismongi8970 ปีที่แล้ว

    Jamani,mtafanya watu watagongwa,ajali zitazidi hapo

  • @paschalmanumbu572
    @paschalmanumbu572 ปีที่แล้ว

    Ila Millard acha utani, hv kweli hiyo ndo habari au umeamua kutumia MB zetu? But kigoma hongereni

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 ปีที่แล้ว

    Wacha weeeee!!!

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 ปีที่แล้ว

    Acha usenge Ayo