RC MAKONGORO NYERERE AVITAKA VIKUNDI VYA FEDHA KUJISAJILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Vikundi vidogo vya huduma za fedha Mkoani Rukwa Vimetakiwa kusajiliwa kwa mujibu wa sheria na kuweka wazi mikataba yao ili viweze kutambuliwa na kuepusha Utapeli kwa wananachi .
    Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Charles Makongoro Nyerere katika kikao kinachohusu masuala ya Huduma za Fedha kwenye jamii kilichoandaliwa na Idara ya Uendeshaji sekta ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha
    Afisa Mwandamizi Idara ya Uendeshaji Sekta ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha Bw.Salim Kimaro ameeleza kuwa wamebaini kuwa wananachi wengi hawana Elimu zaidi kuhusu Mikopo inayotolewa kwenye Vikundi hali inayosababisha wananchi kuingia katika Migogoro na Madeni hatua iliyofanya wafike Mkoani Rukwa na kutoa Elimu ya Fedha kwa vikundi vya kijamii.

ความคิดเห็น •