Yaani sisi WATANZANIA tuko hivi:...Tunaweza kutumia Pesa nyingi kutengeneza miradi, lkn KUIHUDUMIA hiyo miradi ni tatizo kubwa....hapo Kuna MITARO lkn ukiangalia CHEMBA zimeziba Kwa uchafu, maana yake manispaa hazina usimamizi kukagua na kusafisha, Sasa ikitokea MVUA ndio utaona stori...!...Jamani miradi IKIJENGWA inabidi IHUDUMIWE , ndio maana NCHI za wenzetu Kila siku unaona MJI kama Umepigwa POLISH unazidi kung'aa, Kwa sababu wanahudumia, BARABARA zao...MADARAJA yao ...BUSTANI zao.......MIFEREJI Yao....!...HAWAITELEKEZI..!
HAli ya maisha imekuwa mbaya hizzo taka kwenye mitaro ni kwawale wabebataka wanao jitafutia maisha wanabeba taka walipwe hata 1000 sasa kwenye kuzitupa wanazitelekeza mitaroni
Kinacho tusumbua wabongo ni kuwa wakweli hili suara la mafuliko wapeni wenye akili mbona wataweka mazingira kuweka mifereji ya ujanja ujanja haiwezeka mifereji huwa mifefu sanaa kwenda chini na kufunikwa na kuwa wasafi maji mbona yanaenda kkkujifsnya tunajia lakini hamna kitu.
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Tumepita hapo hiyo gari imezama hapo, poleni sana
Tatizo siyo mitaro, tatizo uchafu unatupwa kwenye njia za kupitisha maji.
Yaani sisi WATANZANIA tuko hivi:...Tunaweza kutumia Pesa nyingi kutengeneza miradi, lkn KUIHUDUMIA hiyo miradi ni tatizo kubwa....hapo Kuna MITARO lkn ukiangalia CHEMBA zimeziba Kwa uchafu, maana yake manispaa hazina usimamizi kukagua na kusafisha, Sasa ikitokea MVUA ndio utaona stori...!...Jamani miradi IKIJENGWA inabidi IHUDUMIWE , ndio maana NCHI za wenzetu Kila siku unaona MJI kama Umepigwa POLISH unazidi kung'aa, Kwa sababu wanahudumia, BARABARA zao...MADARAJA yao ...BUSTANI zao.......MIFEREJI Yao....!...HAWAITELEKEZI..!
kabisa mbongo pasua kichwa
Mmezidi Uchafu mnatupa makopo, na Uchafu kwenye mtaro, Serikali Iwasaidie nini, Fanyeni Usafi, Watu wa Dar ni Wachafu snow.
Sisi wa mbeya ni wa wasafi
Poleni na mvua
Dah mtihani kwakweli allah awanusulu
Makopo kwenye chemba, mkikatazwa kutupa uchafu ovyo hamuelewi.
🤣
HAli ya maisha imekuwa mbaya hizzo taka kwenye mitaro ni kwawale wabebataka wanao jitafutia maisha wanabeba taka walipwe hata 1000 sasa kwenye kuzitupa wanazitelekeza mitaroni
Tbc camera zao ni Km wanatumia Tecno
Ni wakati kuomba Sana mungu atusamehe na janga hili la mvua za ernino kwa akili za kibinadam tunasema mitaloimeziba kumbukeni hapo Pana bahari
Waache kutupa taka kwenye mitaro
Mafuliko mengine ni kujitakia tu .....Sasa mvua gani hiyo.? Mvua kidogo tu teyari shida je tukipigwa na mvua kubwa kama zile wanazokutana Nazo wenzetu
Kinacho tusumbua wabongo ni kuwa wakweli hili suara la mafuliko wapeni wenye akili mbona wataweka mazingira kuweka mifereji ya ujanja ujanja haiwezeka mifereji huwa mifefu sanaa kwenda chini na kufunikwa na kuwa wasafi maji mbona yanaenda kkkujifsnya tunajia lakini hamna kitu.
Tatizo ni uchafu
Uchafu,kutupa taka kwenye mitaro
acha nyeshe tuuu il umeme sikatike watupe sababu zao zakijinga na maji
Baarini kondo