@rosedzuya6869 amen 🙏🙏🙏 lakini ninayo pitia mm nimengi sana dada umefika wakati nime choka coz Kila mahali utakapo enda fanya kazi humalizi miezi miwili mwakosana na boss ama watoto wa boss
@@MarionKadzomy dear aurabuni kama huna roho ya kuvumilia utatembea hadi urudi kwenu hivyo mimi nilitembea nyumba tatu nikaona warabu wote ni same nikaona nimechoka kuzunguka nilikwama kwa hiyo ya tatu matusi, chakula ni shida sai nimebakisha miezi 5 niende
@harrietajiambo229 afadhali wewe mm shida zangu ni nyingi sana dada nulikemboi mm nasikumbena kwangu Wala simulaumu boss wangu niota ndoto kuwa narudi kenya ikatumiza hivyo walipo kata ticket niliwakimbia nikiwa earport nikamwambia mungu nitie nguvu lakini weee Kila nikienda Kwa mwarabu sida nihio dada
Ameeen pastor💓💗 🙏🙏
🙏🙏🙏🙏mungu nikumbuke ninapozidi kukutafuta
Mungu nipe tamaniyo lamoyo wangu
Wafungue ndugu zangu pastor waombee roho ya umaskini itoke kwao na mm nifanikiwe kikazi
Ubarikikiwe sana by pastor erick
Yesterday was fire i thank god for allowing me to reach there
usifiwe.bwana naombanifugulie.huduma niweze kumtumikia MUNGU wangu wakweli amina
Nabarikiwa na woship
Amen 🙏🙏🙏🙏
Niko hapo nyuma 🙏🙏
Asifiwe Bwana 🎉🎉🎉
Usifiwe Bwana, Usifiwe Yesu. Mungu niondolee maumivu tumboni mwangu nisiyoyajua yatokako
Usifiwe bwanaaa
Hallelujah hallelujah hallelujah pastor Ezekiel for that touching worship napendaaaaaaa
Usifiwe bwana
Nifungulie huduma yangu nisaidie watu roho yangu yatamani niombee watu wanao teseka
Asifiye bwana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ABOVE ONLY
Above only ❤❤❤
Tintintinti...
Hooo yesu wangu onekana katika maisha yangu
Nadai hiki kibali chako pastor kwa jina la yesu kristo
Nifungulie nyota yangu nateseka mm 😢😢hukuplz pastor
Nitoe katika minyororo ya shetani
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤ we thank God for his Servant
Powerful amazing worship
Usiwe bwana usifiwe bwana Emanuel
🙏🙏🙏❤❤❤❤
Usifiwe milele
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
Amen
Pastor niobee tumbo uclers nipone
pastor niombee ndoa yangu
Pastor niombee hapa nilipo napitia shida nyingi na Niko mbali na nyumbani Niko saudi nikumbuke mm mwanao 🙏🙏🙏🙏😢
Mungu atakusaidia dada weka imani kwake atakutendea makuu.
@rosedzuya6869 amen 🙏🙏🙏 lakini ninayo pitia mm nimengi sana dada umefika wakati nime choka coz Kila mahali utakapo enda fanya kazi humalizi miezi miwili mwakosana na boss ama watoto wa boss
@@MarionKadzomy dear aurabuni kama huna roho ya kuvumilia utatembea hadi urudi kwenu hivyo mimi nilitembea nyumba tatu nikaona warabu wote ni same nikaona nimechoka kuzunguka nilikwama kwa hiyo ya tatu matusi, chakula ni shida sai nimebakisha miezi 5 niende
@harrietajiambo229 afadhali wewe mm shida zangu ni nyingi sana dada nulikemboi mm nasikumbena kwangu Wala simulaumu boss wangu niota ndoto kuwa narudi kenya ikatumiza hivyo walipo kata ticket niliwakimbia nikiwa earport nikamwambia mungu nitie nguvu lakini weee Kila nikienda Kwa mwarabu sida nihio dada
Afadhali nirudi home nimutumikie mungu wangu kilicho Baki nilikataa kufanya huduma nikasema acha nisafiri
❤❤❤
Amen ubarikiwe mtumishi
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤