ATAFANYA NJIA - Ann Annie (Official Video). SKIZA CODE 9524333
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
- SIKILIZA NYIMBO ZANGU KUPITIA LINK HIZI : -
Boomplay
www.boomplay.c...
Mdundo
mdundo.com/a/1...
Spotify
open.spotify.c...
Hungama
www.hungama.co...
Amazon Music
www.amazon.com...
#AnnAnnie#AtafanyaNjia#
Who is still watching this song in 2024, still a blessing.
Mpaka leo 2024 bado huu wimbo unanibariki...
Hallelujah.. Bwana fanya njia kwa majaribu ninayoyapitia na familia yangu😢
Wimbo mzuri mnoooo
Nyimbo zako zinani bariki sana hakika ww ni chombo cha Bwana kilicho na dhamani kuu mbele zake milele. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ooh Mungu akutunze dada yangu kipenzi akupeleke mbali sana Nabarikiwa sana 😂😂❤❤
Wimbo mzuri 🎉🎉 nimefurahi kuuona
Mungu akutunze na akupake mafuta zaidi barikiwa Kwa uimbaji
Ameen nakumbuka ulipokuja Arusha viwanja vya reli mwaka jana huu wimbo uliimba hakika nilibarikiwa na nilimwona Mungu kwa viwango vingine, ubarikiwe sana na Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo,👏👏
Bwana fanya njia
Mungu akulinde sana aunty
Kaza mwendo bwana atakulipa uspozimia moyo
What a song? Barikiwa kabisa
Nyimbo ua tu maini kwa kristo be blessed 🇰🇪🇰🇪love
utakuja Kenya.......lini????????
Nimembarikiwa Sana na huu wimbo
Huu wimbo huu ni mzurii sana. Kwa maoni yangu step za uchezaji zingekuwa za taratibu ingependezea sana kwan unaingia mdogomdogo moyoni annie jmn
Amen barikiwe sana mtumishi kweli atafanya njia pasipo na njia
Wimbo mzuri unanitia nguvu ....hallelujah atafanya njia.
Dada Ann nyimbo zako ni nzuri sana. Barikiwa mtumishi wa Mungu!
*BWANA* atafanya njia pasipo na njia jangwani iiii
Ameen *Ann Annie* vipi umejipangaje na sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya ❓
powerful ministration. Praise be unto God
Sayuni kwaya kiranda
A nice song, a nice sounds it's give me more power..... I like it's
Ameen baraka tele
Amina mtumishi
In every problem God has a solution
Hellow shalom dada, Nimekuwa wa kwanza kuview
Mungu akubariki sana tena sana
Asante sana rafiki.Ubarikiwe
This is a nice song,for us who are waiting for the LORD,,inanipa tumaini kwamba kunaye Mungu mbinguni.
Nice music keep it up
What a powerful song 😢
naguswa na wimbo huu ubarikiwe mtumishi Mungu akuinue
This song! this song! i av gotten new energy and hope.
Dada unaimba aswa
So touching
Why does this song only have 6.4 views? It should be in the millions.
God bless you,Please help me to share a link
Napenda
Woke up to singing this song
Amen,Bwana atafanya njia pasipo na njia
Hallelujah amen
It's so encouraging by giving hope, such a beautiful song! Thank you 💕
Nampenda Sana huu wimbo Dada yangu
Indeed Jesus Christ is the Way Maker
Wonderful song , be blessed 🙌.
huyu mwambaji kapoteLea wapi jamani
Amen I trust that the Lord 🙏 shall do it for Amen
Kazi za mwanzo zina value sana
Tears run down my cheeks everytime I listen to this song. It reminds me the day my Dad died😭😭😭.
Hallelujah
Thank you Ann for great inspiration songs. They are hard to come by nowadays.
My favourite song ever & my favourite gospel singer ,Glory to God!
Amina
Kazi mzuri barikiwa👏
Powerfull songs, May God uplift dear
Hakika
ASANTE SANA
Endelea mbele kwa mbele dada.
Nyimbo hii inanibariki sana
Asante Ann Annie kwa wimbo mzuri, huwa unanibariki sana
Amen,Namtukuza Mungu
Ameen
Ameen
@@annanniemusicministry6263 AMEN UBARIKIWE mama
Amen
Powerful song there. Bwana atafanya. Ninaamini.
I love your song they Soo touching they give hopes more blessing
Amen Amen
AMEN,UBARIKIWE SANA
2021 Tena naiskiliza na inanibarik Mungu akubarik dadangu
Mungu akubariki
Barikiwa Sana kwa kipindi ambacho napitia Namini kupitia wimbo huu Mungu atanifanyia njia pasipo na njia
Very sweet song
Amen hakika atafanya njia na kufungua milango inayofungua