Salaam Aleikum warahmatullah. Shukraaan sheikh kwa kutuelimisha. Binafsi nilikua na suala hili: Mjamzito alipimwa na kuonekana kuwa kiumbe ni kigonjwa na hvyo alishauriwa kutoa mimba. Lakini hakuwa tayari kutoa na ikafika kuzaa kiumbe akawa ni mgonjwa kama walivyogundua madaktari. Jee zile hali atazopitia mtoto za ugonjwa maumivu na mengineyo Mama anakuwa na dhima kwa vle tayari alishajua kuwa ni mgonjwa?
Salaam Aleikum warahmatullah.
Shukraaan sheikh kwa kutuelimisha.
Binafsi nilikua na suala hili:
Mjamzito alipimwa na kuonekana kuwa kiumbe ni kigonjwa na hvyo alishauriwa kutoa mimba. Lakini hakuwa tayari kutoa na ikafika kuzaa kiumbe akawa ni mgonjwa kama walivyogundua madaktari. Jee zile hali atazopitia mtoto za ugonjwa maumivu na mengineyo Mama anakuwa na dhima kwa vle tayari alishajua kuwa ni mgonjwa?