WAZO LA LEO. Anza na Kidogo kwa ubora mkubwa, Matokeo yatakushangaza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ส.ค. 2021
  • WAZO LA LEO.
    Kama Hauwezi kufanya mambo makubwa, Fanya mambo madogo kwa ubora mkubwa.
    watu wengi tunaishia kwenye mikono ya matajili na kutumikishwa kwa sababu tunaangukia katika tamaa ya mambo makubwa ambayo hatujui yalitengenezwa vipi na kwa mda gani.
    kuna faida kubwa na safari huwa ya faida unapoamua kuanza kufanya kitu chako mwenyewe licha ya kuwa kitu kidogo awari.
    watu waliofanikiwa hawakuibuka kama upepo, unapotamani mafanikio yao tambua kuna mchakato kubwa sana waliufanya.
    Hivyo anza maisha yako sasa, Anza na kipaji chako, anza na ulichonacho ila kifanye kwa ubora na kwa viwango vya juu.
    webste/blog: www.goalhall.com
    instagram: / goalhall_official
    #anzakidogo #Tanzania #goalhall
  • แนวปฏิบัติและการใช้ชีวิต

ความคิดเห็น • 2