Ongezeni muda kidogo hakikisheni mwisho tuwe tunapata ujumbe unaoeleweka.Tujue mkwere na mke wake wamesameheana au wameachana na maringo kachukua hatua gani kuhusu kulipwa pesa zake
Kaz zenu uwa zinafundisha Lait kama ingelikuwa Munauza CD collection zenu Master CD ningelinunua Iwe hata Tsh.shiling elfu 50 Ingelikuw poa Nimeuz king'amuz cha zuku Kisa amuonekan I TV Ampo kwenye zuku sasa nimenunu startime now
Aliesikia "this is my family"msiingilie agonge like hapa...
mkwere umenishinda,tabia mkwele mwenzangu khaa😂😂
Nikopoa sana
Hahaha hatari mbavu zangu kazi nzuri
nawapenda sanaaaaa mizengwe ila saut inapanda inashuka
Aseeeeee napenda mizengwe japo kwa DStv Amna itv Ila kila jpl nahamia you tube
Duuh. Eti rafiki yake rafiki yangu jamani wanawake Mungu anatuona 🙆🙄
Saf sana
😂😂😂😂 mumekama mume
Mkwere jitahidi ufanye mazoezi,we bado kijana usiharibu afya mapema hii,anyway kazi nzuri
Ha haa haaaa, Mdee Boy ntamuambiaaaaa au njoo inbox nikupe namba yake ha haa haaaaa
safina nampenda mpaka nazimia mim
mko juu mnoooo
😂😂😂😂😂 ujue haya mambo yapo kweli
Kama wanawake wote wapo ivooo nitaishi mwenyewe tu...
@ Muddy Hamza 😁😁😁😁😁
Mizengweee...mizengweee mwanipa raha miyeeeee😁😁😁
Mko vizuri sema tatizo sauti iko chini sana
simu yako iko na shida
Ongezeni muda kidogo hakikisheni mwisho tuwe tunapata ujumbe unaoeleweka.Tujue mkwere na mke wake wamesameheana au wameachana na maringo kachukua hatua gani kuhusu kulipwa pesa zake
Mchukueni na ebitoke itakua poa zaidi, ila yule mwenye minywele ya rangi na nguo ya njano kila cku. Anajifanya beyonce chefuu
Wametoka nae mbali
Mko vzur, naipenda sana kazi yenu
Father umebwaga😂😂😂
Duh kweli hawa jama hawakosei Ila kwa wake zetu mhhh mbona tuta koma
Wanawake wanazingua live.
😂😂😂jmn wanawake tupunguze hd mwanaume analia,anapiga,kelele kama,chz kisa laki ya shereh
Kaz zenu uwa zinafundisha
Lait kama ingelikuwa
Munauza CD collection zenu
Master CD ningelinunua
Iwe hata Tsh.shiling elfu 50
Ingelikuw poa
Nimeuz king'amuz cha zuku
Kisa amuonekan I TV
Ampo kwenye zuku sasa nimenunu startime now
Big up!! Kazi nzuri.
Nawa penda sana❤❤❤
sijawah kuwachoka
Jamani mbavu zangu
Fadha umebwaga😂
🤣🤣🤣🤣🤣nawapendaga
Mpo vzr sana
Nawapenda sana
Mkovizuli
Wepa katuma kwenye vijola
Safina kawa mrembo
Asma Nicolaus kweli aise
Umekuwa mtumwa kwa mkeo
tutaowana uzeeni
😂😂😂😂😂dah
Zeituna mohamed
"Eti unataka kunifanya nijutie kuolewa na wew" Hv ni sahihi???.
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hiii hatari jamani
@@zuusaidibushiri5556 hahahaaaaa umeonaee hakuna kingine pesa tu
@@gracealexander5309 mpaka kugombana hivi noo
Shukran Sana Mizengwe munatufanya tuwe stress free na kutuongezea siku za kuishi kwa furaha😂😃👌👍
😂😂
😂😂😂😂😂😂
Hahahaaaa 📯
Aseeeeee napenda mizengwe japo kwa DStv Amna itv Ila kila jpl nahamia you tube
itv tanzania
Mizengweee...mizengweee mwanipa raha miyeeeee😁😁😁