SHUHUDIA BALAA LA MWIMBAJI HUYU WA GOSPEL KATORO GEITA,KIDOGO AVUNJE SHINGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 4 ปีที่แล้ว +1

    Ijaribuni kila roho Kama yatokana na MUNGU

  • @eveeric173
    @eveeric173 4 ปีที่แล้ว +1

    Nibora ujihunge na Diamond

  • @faithmongarenyasakanyasaka8018
    @faithmongarenyasakanyasaka8018 4 ปีที่แล้ว

    What is this surely God have mercy

  • @estermshomi6139
    @estermshomi6139 4 ปีที่แล้ว +1

    Ck za nwisho, hata sishangai yalisha tabiriwa

  • @success-ly9ik
    @success-ly9ik 4 ปีที่แล้ว

    Acha kurusharusha biblia mavumbini. Heshim neno la Mungu kaka. Anayekupenda hukuonya. Kwa kutumbuiza napo uko sawa

  • @abigaellcharless8271
    @abigaellcharless8271 4 ปีที่แล้ว

    Wala Mungu hayumo ndani yako kaka Mungu hazitakiwi katika smichezo hii utapigwa vibaya biblia uweka chini unachezea hakika umetoka kuzimu mzee

  • @marthagolani1597
    @marthagolani1597 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo utukufu haupo kucueza gani huko

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani dunia......dunia

  • @muinjilistdamas7054
    @muinjilistdamas7054 4 ปีที่แล้ว

    Inaitwa shoo ya Daimond

  • @catherinefabian2310
    @catherinefabian2310 4 ปีที่แล้ว +1

    Wote mliomhukumu mjue Kuna wengine mnafanya mazmbi makubwa bola ht huyu anaejichafua😁😁

  • @malaikawatatutv.ufunuo14.84
    @malaikawatatutv.ufunuo14.84 4 ปีที่แล้ว +1

    Zaburi 89:7..."Mungu huogopwa na huhofiwa na wote wanaomzunguka Mbinguni " sasa hzo sarakasi zako zinakudanganya

  • @olevinamoses4211
    @olevinamoses4211 4 ปีที่แล้ว

    Mathias Mwanyamaki ni Jembe la Yesu

    • @azizaz1628
      @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว

      Yesu yupi unamsema

  • @georgevicent6849
    @georgevicent6849 4 ปีที่แล้ว +4

    Hii sasa ndio ule ushuhuda wa malkia wa pwani ambapo alisema wacheze anyonge kiuno Kama Michael Jackson, hamna Mungu hapo.

    • @hassankombo4475
      @hassankombo4475 4 ปีที่แล้ว +1

      Katika mkutano huo alikuwepo na nyimbo nzuri ila stile ya kucheza labda ndo inabidi ajjjitaidi amuulize mungu wake kama anafurahishwa na uchezajji wake au shetani ndo anaefurahishwa zaidi

    • @azizaz1628
      @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu wetu ni wa utaratibu na si mungu wa machafuko

  • @carolynadhiambo2543
    @carolynadhiambo2543 4 ปีที่แล้ว +2

    apana apana apana watu upenda tu mahali pa raha lakini mahalipa unyenyekevu hawataki sasa hizi nini

  • @rosewairimu1217
    @rosewairimu1217 4 ปีที่แล้ว +1

    Hili dunia kweli!!!limekosa muelekeo😦😦😡

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว

    1Timotheo 4:1-2

  • @lilyrose7983
    @lilyrose7983 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwann hiyo shingo haikuvunjika?Mnafanya masikhara na dini.Utasema unacheza ukoboka

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 4 ปีที่แล้ว +2

    I hope those books is not really Bible, God have mercy upon this world 🙏😇

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 4 ปีที่แล้ว +3

    This style dance no

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 4 ปีที่แล้ว

    Labda kama umekwenda kuonyesha mbwembwe,ila nyimbo za dini nazo humtukuza Mungu,hivyo inapaswa kumtukuza Muumba wetu katika kweli,heshima nidhamu,utii na unyenyekevu.
    Bwana Jacktan nakusihi uwe unaturushia watu wanyenyekevu mbele ya Mungu,kwa stahili hizo nini tofauti kati ya mambo ya dunia na Neno la Mungu? Je,watoto wamejifunza nini hapo?

  • @faithmongarenyasakanyasaka8018
    @faithmongarenyasakanyasaka8018 4 ปีที่แล้ว +1

    this is too much

  • @catherinekakusa8157
    @catherinekakusa8157 4 ปีที่แล้ว

    Njopakupata ugali apo njameni

  • @azizaz1628
    @azizaz1628 4 ปีที่แล้ว

    Huyu muimbaji amechanganya mambo ya kidunia na kimbingu huu uchezaji siyo wa mtu anaye mcha mungu biblia inatwambia mambo yote yafanyike kwa utaratibu lkn hizo ni fujo za pepo wachafu wakati wa Eliya manabii wa mungu baali nao walifanya fujo km hizo warusha mavumbi juu wakijikata na viwembe

  • @goaikamisa5367
    @goaikamisa5367 4 ปีที่แล้ว

    🙄🙄😜😜