Afisa wa magereza wa Malindi akamatwa kwa kumuua mpenziwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Afisa mmoja wa gereza la Malindi anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mpeziwe wa miaka 26 baada ya kutofautiana naye. Tairus mwangi anadaiwa kumuua kwa kumpiga kwa nyundo mpenziwe purity karwirwa mara kadhaa kichwani hadi kufa nyumbani kwa dadake kabla ya kukamatwa jijini Nairobi.

ความคิดเห็น • 12

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 4 ปีที่แล้ว +3

    Mapenzi XXX bora tuu ukishindwa n mwenzako muachane tuu wacha mm n husle gulf

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 4 ปีที่แล้ว +1

    Facebook my feet, may God rest her soul in perfect peace

  • @marionoletipis2873
    @marionoletipis2873 4 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilikuwa na chapwa hivo hadi nikaamua nimwachie Nyumba na kila kitu.

    • @ibrahimwerejuma4816
      @ibrahimwerejuma4816 4 ปีที่แล้ว +1

      Pole sana. Asante Sana kujipa shuguli mapema kabila hujakutua na umauti, kwa kweli ata mimi ni mwanaume ila wanaume wanaogopesha sana.

    • @marionoletipis2873
      @marionoletipis2873 4 ปีที่แล้ว

      Kuna watu wako na roho ya ushetani hii kenya yetu.

    • @ibrahimwerejuma4816
      @ibrahimwerejuma4816 4 ปีที่แล้ว +1

      @@marionoletipis2873 Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia 💯 kabisa yakuwa kuna wanadamu ni wanyama pori.

  • @kevinkipruto1075
    @kevinkipruto1075 4 ปีที่แล้ว

    Most women are born stubborn .shida tupu especially those of age 21 - 32.Sijui huwa wanataka nini jameni

  • @jaredmutego6884
    @jaredmutego6884 4 ปีที่แล้ว

    akuna maana kumshambulia mtu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 ปีที่แล้ว

    Uchunguzi gani tena na Kesha Ua huyo,

  • @davybuteyo
    @davybuteyo 4 ปีที่แล้ว

    How can u hammer your wife to death. Let him rot in jail.

  • @lilianjuliusjulius4092
    @lilianjuliusjulius4092 4 ปีที่แล้ว

    Wacha nifanye kazi gulf mambo ya wanaume nimetoka ndani waaah mungu mapenzi imegeuka kuwa kifo😢😢😢

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 4 ปีที่แล้ว

    Uchunguzi gani afungwe tu