Ngari gũcinwo Ruiru thutha wa kũgũtha nduthi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @jamesgichuru-r9e
    @jamesgichuru-r9e 2 หลายเดือนก่อน +8

    Wenye walichoma gari washikwe walipe gari, accident ni kitu Huwa inafanyika , if burning the vehicle is the solution no need of insurance companies in kenya, hii tabia ya wanaboda ikomeshwe kabisa ata wengi hawana driving licence na insurance,,, so walipe gari.

  • @georgengugi5197
    @georgengugi5197 2 หลายเดือนก่อน +7

    Aki nyinyi mtaishi bila magari if you can dare to burn vehicle....Hawa watu wakamatwe na walipe gari la wenywe

    • @bonfacekaranja5782
      @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani gari ni Nini lazima mtu akue nayo we ni mjinga bwana

  • @marionmuthoni822
    @marionmuthoni822 2 หลายเดือนก่อน

    Hao watu wa nduthi wanakaa wamelewa wote😢😢😢 wakwende na huko kwanini wachome gari na hii iconomi walai

  • @danielkimeu
    @danielkimeu 2 หลายเดือนก่อน +3

    Just arrest them Wacha story

  • @AnnKimani-ci5cy
    @AnnKimani-ci5cy 2 หลายเดือนก่อน +3

    This is insane,

  • @wilsonmuriuki3292
    @wilsonmuriuki3292 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sasa kuchoma gali ilisaidia nini hata wangempeleka police hii ni wifu dio maana watu wataishi kuwa maskini miaka yao yote na wengine hata hawatawai nunua hata pikipiki zao wataishi kuajiliwa

  • @borntowinborntoshine698
    @borntowinborntoshine698 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hii ni ujinga Wa hali juu mnachoma gari kwani ajari haina kinga majority of these motorbikes are fools

    • @bonfacekaranja5782
      @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

      Fool ni wewe na watu wa kwenu una overtake aje kwa daraja tumia akili mtu wangu ama motorbike zinastahili zipitie wapi

    • @borntowinborntoshine698
      @borntowinborntoshine698 2 หลายเดือนก่อน

      @@bonfacekaranja5782 you're the big fool kwani ajari haina kinga just shout your mouth kuchoma iliwasaidia???two wrong can't be right Tena ata Adabu huna unajua watu Wangu ikili kidogo

    • @bonfacekaranja5782
      @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

      @@borntowinborntoshine698 so nyamazisha mdomo we unajua Bei ya nduthi usipende gari sana bro

  • @Nicholas-yr2sq
    @Nicholas-yr2sq 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo ndiyo Dawa, mkifika station MTU wa nduthi hugeukwa, this is the way forward👏

  • @peterngangahsc9945
    @peterngangahsc9945 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye gari atalipwa ingine na insurance yake alaf mwenye nduthi atabaki KU hospital akilipa bill, police amesema vizuri no evidence, at all, watu wa nduthi ni kama wanatumia matako kufikiria, si waede basi wakamlipie iyo bill ya hosi

    • @bonfacekaranja5782
      @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

      Mjinga wewe mtu wa gari ana overtake aje kwa daraja what about ni siz yako alikua amebebwa na boda gari iwagongee side ya lane yao bro tumia akili

  • @ericsart8
    @ericsart8 2 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana mtaishi kwa pikipiki.

  • @snjau7613
    @snjau7613 2 หลายเดือนก่อน

    Ni muthukitie ritwa rianyu biu andu a nduthi na wira uria murutaga wi bata muno

  • @samuelmacharia5506
    @samuelmacharia5506 2 หลายเดือนก่อน

    *No wonder madere wakigonga nduthi huwa hawasimami*

  • @douglaskiragu8878
    @douglaskiragu8878 2 หลายเดือนก่อน

    Akili ya watu wa duthi

  • @puritywanjiru5588
    @puritywanjiru5588 2 หลายเดือนก่อน

    kenya hakuna justice

  • @MeinParis-fp5wr
    @MeinParis-fp5wr 2 หลายเดือนก่อน

    Accident is inevitable sio kupenda Kwa mtu.i don't see the reason ya kuchoma gari.

  • @julietmungai9844
    @julietmungai9844 2 หลายเดือนก่อน

    So sad

  • @bonfacekaranja5782
    @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa watu wengy waki comment ety watu wa nduthi hawana akili na wenye wanaongea hua wanazitumia kila siku ...what about ni wewe ulikua umebebwa then gari iovertake kwa daraja na iwagonge ama nduthi inastahili ikiona gari iki overtake upepee juu ... kila mtu kwa barabara ako na right ya kua pale bila kudharauliwa mtu wenu akikufa juu ya ajali ya nduthi hua mnalaumu gari but juu si nyinyi mko hapo mnalaumu nduthi na mnaskia aliovertake kwa daraja😢

  • @peterwaweru2723
    @peterwaweru2723 2 หลายเดือนก่อน +3

    Watu wa nduthi mkue na akili , u behave so illiterate

    • @bonfacekaranja5782
      @bonfacekaranja5782 2 หลายเดือนก่อน

      We mwerevu unajua ata Bei ya nduthi ile day mtu wenu atagongwa akiwa kwa nduthi na gari iwagongee kwa lane yao sijui utalaumu nduthi ama gari then nani anaruhusiwa ku overtake kwa daraja

  • @ceciliahmwangi497
    @ceciliahmwangi497 2 หลายเดือนก่อน

    Baadala mngetokeeea twende demonstration hii unjinga mngepabana na police twende state hse

    • @Peterkabiru-n1r
      @Peterkabiru-n1r 2 หลายเดือนก่อน

      walai sai sakayo ange kuwa Uganda

  • @SamuelKimani-xk5fl
    @SamuelKimani-xk5fl 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wanjinga sana