Hongera kaka mwenyezi Mungu akuzidishie mema pia akufanyie wepes katika kila jambo jema ulifanyalo pia nakuombea upate zaidi ya ulivyopoteza kwenye ajali Amen
Huyu ndugu ana Roho ya Mungu ndani yake. Hana makuu wala hajajikweza kuwa alikuwa na utalaam wa kuogelea na kuokoa wenzake. Anamtukuza Mungu kuwa ndiye kamuokoa. Jina la Mungu litukuzwe
Mungu akubariki sana kaka,umefanya kitendo cha ujasiri,lakini ni wema wa Mungu umekushikilia,usiache kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kukujalia ubaki salama katika hali ngumu na janga kama hili
Mungu ambariki sana huyu kaka. Pamoja na kuwa hatarini, kapoteza na ndugu masikini...moyo wako kaka... Hakika wewe ni tajiri japo Mara nyingi tunahusisha utajiri na Mali au pesa. Utajiri umo ndani ya moyo wa mtu, naam huonekana vipindi kama hivi wanaotuzunguka wanapotuhitaji zaidi.
Serikali iwaangalie jamani watu Kama Hawa plz kaka Millard tufanye kitu kwaniaba ya Huyu muokozi Hakika amefanya kazi nzuuri saana M/Mungu Ampe nguvu na Afya tele amin
huyu Kaka anastaili pongezi Na Zawadi kutoka kwa fungu letu laserekali kaokoa maishayawatu kwaajili yamoyowake wahuruma Na ujasiri.mungu akuzidishie ujemedari
Mtangazi uko vizuri,ombi langu kwa serikali wekeni ukaguzi kwa vyombo vyote vya usafiri hasa vya majini jamani na ulinzi makini maana watu wanafanya kazi kienyeji mno. Kwa mjibu huyo aliyenusurika watu walikuwa wengi kama anavyoeleza,pia ajali hizi sio mpango wa Mungu bali ni mpango wa shetani na wanadamu wasiotimiza wajibu wao . Mungu tunusuru na majanga haya hapa Tanzania .
Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu zaidi kaka, na akubariki kwa kuwa na moyo wa kuwasaidia wengine, ila usisahau kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu.
Mungu azidi kukutia nguvu kaka mshukuru sana Mungu aliyekuokoa, mpe maisha yako atawale wambie na wengine wampe Yesu maisha yao kwani Yesu ndiye kila kitu. Mungu awaongezee miaka mingi ya kuishi.
Asante saana Mungu kwa upendo wako, hongera saana kaka ila ni mda umepewa uutumie kwa ajili ya kumtumikia Mungu.. Oh, inauma, tuanze kujifunza kujali utu wetu ndugu zangu, tuwe tunathamini watu wetu yaani watanzania wenzetu..
Said Mamadou ndugu yangu serikali ni sisi wenyewe kwa hiyo Jamaa alitimiza wajibu wake anastahili sifa na utukufu kwa Mwenyezimungu kwa kumwezesha Jamaa kutimiza alichokifanya
Vizuri bi subira, kuna chombo ambacho tumekikabizi utajiri na rasilimali zote nchi, pamoja na kodi zetu zote, hicho chombo inabidi mimi na wewe, tupige kelele kuhakikisha inachukua hatua muhimu, ili kulinda maisha yetu, wao ndio wanashikilia mali zetu, inabidi wazitumia kwa maslai yetu, ukijiita wewe serikali inawezekana kuwa kweli, lakini unajidanganya, inabidi tushirikiane tufikie viwango vya kawaida ktk kupambana na hizi ajali, hata zikitokea akili ya kawaida iwe imejiridhisha kuwa juhudi zimefanywa na tahadhari zimechukuliwa.
Ndugu Uga, sijui unakusudia nini kwa hilo neno Shshidi, sema mimi siamini kuwa atakuja kiongozi, kama yeye akaweza kuiendeleza nchi, ktk maendeleo ambayo tunayataka, bali naamini mpaka pale sisi wenyewe wananchi tujue majukumu na wajibu wa serikali ambayo tunaipa madaraka, kuiunga mkono pale inapotekeleza majukumu yake sawa, na kutokuiunga mkono pale itakaposhindwa kutekeleza wajibu wake, kama taifa tuipende nchi yetu tushirikiane kwa maslahi ya taifa, lazima viongozi wajue, kwamba ktk masuala ya taifa, watanzania huwa kitu kimoja.
Serikali ya Magufuli naamini itachukua hatua, tuache kulaumiana tutengeneze mikakati na kushauri serikali, majanga yanatokea popote. Mungu awarehemu Ndugu na jamaa zetu, Amen.
Mwenyezmungu akuingezee umri mrefu, huruma , ujasir na busara wewe ni zaidi ya shijaa umeokoa watuwengi mno. Watu3 si wachache tena mmoja ni mjamzito sina chakufanya tu ningekua nauwezo ningekuzawadia kitu chochote kakaangu. Yani daah, roho inaniuma kiukweli hii ajar imeua vibaya.
Bint Salim Al Bimany ukristo upo hata kabla ya Muhammad kuja duniani na kuuleta uislamu Kwahiyo hilo lisikupe shida ukristo upo kuanzia kuwapo kwa ulimwengu na utaendelea kuwepo hivyo uingie wewe kwenye ukristo usiingie haupunguzi wala hauongezi chochote kwenye ukristo, uwe na amani mpendwa
Mmmmmhu Mungu wetu ni mkuu yeye ndio awezaye kuponya na kuokoa na yeye huyohuyo ndiye anayepanga kitu kitokee tunamshukuru Mungu kwa yote.R.I.P ndg zetu Mungu mahali pema mbinguni amen.
Dah unastahili kila pongezi Wewe ni moja ya majasiri wa Tanzania 🇹🇿 Umeonyesha upendo, kutokata tamaa na ukakamavu . Mungu akutunze akupe maisha mema marefu ya furaha . Amen
duh Bichompa pole sana uliowasaidia watakukumbuka daima lakini yote uliyafanya kwa uweza wa Mungu. nina marafiki wengi hapo bwisya akiwemo bichompa sijui kama wapo hai lakini nimefurahi kuona mshikaji huyu amenusurika.
Kweli bongo bahati mbaya....!Kuna kijana wa kiafrica aliokoa mtoto asidondoke toka gorofani nchini ufaransa,baadae kijana aliitwa na rais akapewa kazi kwenye kitengo cha zimamoto nchini humo...lakini huyu jamaa wa Tanzania serikali wala haina habari nae...!
Ndo hapo, kana kwamba raisi ndo alikuwa anaendesha hilo panton! Shida ya watz ni kulaumu kwa kuwa hatujafanya ila likitukuta midomo hufunga kama gundi!
Naomba tumchangie milioni mbili na sim zilizopotea ikiwezekana zaidi ya hivo, mungu amemuwekea lulu kwa roho take kaka big up sanaaaa
Ni uzembe wa watendaji wamejaza watu wengi wakamatwe wote
Hongera kaka mwenyezi Mungu akuzidishie mema pia akufanyie wepes katika kila jambo jema ulifanyalo pia nakuombea upate zaidi ya ulivyopoteza kwenye ajali Amen
Hongera brother unastahili kupongezwa kwa ujasiri wako
ERICK TESHA ongera ww nijasiri
Kwerikabisa mungu anatupenda hawezi kututendeya isivyohaki hatahivyo anamupango wakuondoa matatizo yote
Mungu akubariki sana Ndugu kwa kazi nzuri uliyofanya,umeokoa maisha ya watu,umeokoa roho za watu, Hakika Mungu atakulipa.
Huyu ndugu ana Roho ya Mungu ndani yake. Hana makuu wala hajajikweza kuwa alikuwa na utalaam wa kuogelea na kuokoa wenzake. Anamtukuza Mungu kuwa ndiye kamuokoa. Jina la Mungu litukuzwe
Amen
Mungu akubariki sana kaka,umefanya kitendo cha ujasiri,lakini ni wema wa Mungu umekushikilia,usiache kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu kwa kukujalia ubaki salama katika hali ngumu na janga kama hili
Wengi hufa Majini Kwa Hofu na Kukosa Uwezo wa kuogelea
Pole Brodher Mungu Awape Subra
Hongera kaka mungu akupe imani zaidi na ujasiri ulio mfanyia huyo dada mungu atakulipa fadhila zako kaka.
Mungu ambariki sana huyu kaka. Pamoja na kuwa hatarini, kapoteza na ndugu masikini...moyo wako kaka... Hakika wewe ni tajiri japo Mara nyingi tunahusisha utajiri na Mali au pesa. Utajiri umo ndani ya moyo wa mtu, naam huonekana vipindi kama hivi wanaotuzunguka wanapotuhitaji zaidi.
Mungu ni mwema.
Kama umemkubal jamaa kwa kujieleza gonga like
Patrick Mussa aisee huyu jamaa alitakiwa apewe posho kidogo coz amepoteza milioni2 zake humo ndani pili ameokoa baazi ya watu
Limo Kisuda "baaDHi"
Jamaa kaeleza ukweli
Super Hero
Rebecca Nnko heroine
Serikali iwaangalie jamani watu Kama Hawa
plz kaka Millard tufanye kitu kwaniaba ya Huyu muokozi Hakika amefanya kazi nzuuri saana
M/Mungu Ampe nguvu na Afya tele amin
Mau Zagaaa
Afidiwe pesa alizopoteza na zaidi apewe tuzo
twatazama kodi tu, hizi tazameni nyie
Ni kweli kwani kaokoa na pia kapoteza pesa zake
Mau Zagaaa ,in awaangalie
Pole sana
huyu Kaka anastaili pongezi Na Zawadi kutoka kwa fungu letu laserekali kaokoa maishayawatu kwaajili yamoyowake wahuruma Na ujasiri.mungu akuzidishie ujemedari
Mtangazi uko vizuri,ombi langu kwa serikali wekeni ukaguzi kwa vyombo vyote vya usafiri hasa vya majini jamani na ulinzi makini maana watu wanafanya kazi kienyeji mno. Kwa mjibu huyo aliyenusurika watu walikuwa wengi kama anavyoeleza,pia ajali hizi sio mpango wa Mungu bali ni mpango wa shetani na wanadamu wasiotimiza wajibu wao . Mungu tunusuru na majanga haya hapa Tanzania .
Mwenyezi Mungu akuzidishie maisha marefu zaidi kaka, na akubariki kwa kuwa na moyo wa kuwasaidia wengine, ila usisahau kutoa sadaka ya shukrani kwa Mungu.
Mungu azidi kukutia nguvu kaka mshukuru sana Mungu aliyekuokoa, mpe maisha yako atawale wambie na wengine wampe Yesu maisha yao kwani Yesu ndiye kila kitu. Mungu awaongezee miaka mingi ya kuishi.
Daaaah nimeumia Sanaa Jamaa Walivyo Mkataza Asirudi Kuokoa Watu Huenda Angeokoa Hata Watu 15 Yeye Mwenyewe Daaaah
RIP
Hongera sana broo kwa kwa msaaada ulioutoa kwa hauo ndugu hizo pesa ulizopoteza utazpata tu uhai kwanza ndo kila kitu.
Da Allah atakulipa heri, Kwa kuhangaikia nafsi za wenzio, pole sana
Dunia ina itaji wanaume kama wewe majasiri. Wenye upendo. Usisahau shukuran kumtolea MUNGU
ALLAH akuzidishie nguvu na upendo ndugu yangu, umefanya kaxi kubwa
Ninakupongeza sana kwa ujasiri huo, pole kwa kupoteza mali zako, lakini hongera kwa uliyoyatenda, Nimependezwa sana na wewe.
.
Mungu akubarik kak unaogea vizur sn pia unamoy Wa huruma dhaa utalipwa na mungu
pole kaka angu na hongera kwa kujali uhai wa watu wengine Allah akujaalie umri mrefu na mwisho wa uhai wako akujaalie husnal hatima
Asante saana Mungu kwa upendo wako, hongera saana kaka ila ni mda umepewa uutumie kwa ajili ya kumtumikia Mungu.. Oh, inauma, tuanze kujifunza kujali utu wetu ndugu zangu, tuwe tunathamini watu wetu yaani watanzania wenzetu..
Katoe sadaka kakangu.mungu akubariki kwakazi nzuri
Kwa kweli kaka angu kwa ulichokifanya Mwenyezi Mungu tu ndo atakulipia, Hongera sana shujaa wa Mv Nyerere.
Moja kati ya watangazaji wanaokuja vizur bro hana papara ya kuuliza na yuko makini sio kama wale wengine.
Kombo Omar
Maswali ya kikanta big up
Umeoona
Haswaaa, ht mm namkubali saana saut yake, maiki yake,camera yake, vyote viko poa kabisaaa, Millard ayo woyooooo🔥
Kabisa mtangazaj yuko vzuri sana
kweli ndugu yangu kwanza poleni sana wewe kweli ni mtu anaye jari kwa ulicho kiona na ukajitaidi na ukawaokoa mwenyezi mungu akupe maisha marefu
Hongera Sana bro. Mungu akubariki.
Shukran kk napoleni sana
Mungu akubarik sana. Kuna kitu Mungu amewekeza kwako.
Jaman pole baba mungu akupe maisha marefu da inasikitisha sana mungu tu mweza ya yote hela sio uhai eh mola
Video kamili ipo hapa,,,tumpe pole kwa Ku like
TIBUA Tv hongera sana kaka yn nijambo la ajabu kwan waliokufa wamekosa kwamungu nineematuu
Wewe unastahili sifa kubwa, umeishinda serikali ambayo imeokoa mtu mmoja tu,
Said Mamadou ndugu yangu serikali ni sisi wenyewe kwa hiyo Jamaa alitimiza wajibu wake anastahili sifa na utukufu kwa Mwenyezimungu kwa kumwezesha Jamaa kutimiza alichokifanya
Vizuri bi subira, kuna chombo ambacho tumekikabizi utajiri na rasilimali zote nchi, pamoja na kodi zetu zote, hicho chombo inabidi mimi na wewe, tupige kelele kuhakikisha inachukua hatua muhimu, ili kulinda maisha yetu, wao ndio wanashikilia mali zetu, inabidi wazitumia kwa maslai yetu, ukijiita wewe serikali inawezekana kuwa kweli, lakini unajidanganya, inabidi tushirikiane tufikie viwango vya kawaida ktk kupambana na hizi ajali, hata zikitokea akili ya kawaida iwe imejiridhisha kuwa juhudi zimefanywa na tahadhari zimechukuliwa.
anafaa kuwa shshidi
Ndugu Uga, sijui unakusudia nini kwa hilo neno Shshidi, sema mimi siamini kuwa atakuja kiongozi, kama yeye akaweza kuiendeleza nchi, ktk maendeleo ambayo tunayataka, bali naamini mpaka pale sisi wenyewe wananchi tujue majukumu na wajibu wa serikali ambayo tunaipa madaraka, kuiunga mkono pale inapotekeleza majukumu yake sawa, na kutokuiunga mkono pale itakaposhindwa kutekeleza wajibu wake, kama taifa tuipende nchi yetu tushirikiane kwa maslahi ya taifa, lazima viongozi wajue, kwamba ktk masuala ya taifa, watanzania huwa kitu kimoja.
Serikali ya Magufuli naamini itachukua hatua, tuache kulaumiana tutengeneze mikakati na kushauri serikali, majanga yanatokea popote. Mungu awarehemu Ndugu na jamaa zetu, Amen.
Ubarikiwe kaka unamoyo wa pekee sana tangu siku ya kwanza nilipoangalia nilikukubali.natamani serikal ingemtazama kwa alichokifanya
Hongera pia mshukuru mungu sikuyako haijafika.usiseme kuwa ulijua kuwa hufi tena....
Mwenyezmungu akuingezee umri mrefu, huruma , ujasir na busara wewe ni zaidi ya shijaa umeokoa watuwengi mno. Watu3 si wachache tena mmoja ni mjamzito sina chakufanya tu ningekua nauwezo ningekuzawadia kitu chochote kakaangu. Yani daah, roho inaniuma kiukweli hii ajar imeua vibaya.
Kaka mungu akutie nguvu pole Sanaa na hongeraa kwa ujasiri wako
Raha ya milele uwape Eeh Bwana na mwanga wa mbinguni uwaangazie wapumzike kwa amani Amina
Mwanga wambingun ndio nani???🤔🤔🤔
Bint Salim Al Bimany ni nuru ambae ndie Kristo Yesu Bwana mfufuka ➕
@@christmasmachele5589 loh!!!Allah asiniingize kwenye dini hio maishan mwangu(Ammin
Bint Salim Al Bimany ukristo upo hata kabla ya Muhammad kuja duniani na kuuleta uislamu Kwahiyo hilo lisikupe shida ukristo upo kuanzia kuwapo kwa ulimwengu na utaendelea kuwepo hivyo uingie wewe kwenye ukristo usiingie haupunguzi wala hauongezi chochote kwenye ukristo, uwe na amani mpendwa
@@christmasmachele5589 sawa kesho aumulkiama tutakwenda kuijua din ya haki kama ni yakikristo au yakiislam
Hongera Allah akulipe kheri INSHALLAH
Hongera sana kaka Mwenyez Mungu azidi kukupigania
Mmmmmhu Mungu wetu ni mkuu yeye ndio awezaye kuponya na kuokoa na yeye huyohuyo ndiye anayepanga kitu kitokee tunamshukuru Mungu kwa yote.R.I.P ndg zetu Mungu mahali pema mbinguni amen.
Yaani kaka pole sana.yaani nimekupenda kwa huduma uliyotoa barikiwa sana mpaka Shetani ashindwe
Dah unastahili kila pongezi
Wewe ni moja ya majasiri wa Tanzania 🇹🇿
Umeonyesha upendo, kutokata tamaa na ukakamavu . Mungu akutunze akupe maisha mema marefu ya furaha . Amen
Mungu akupe Afya njema kaka angu lakn mwisho wa cku tunamrudishia sifa na utukufu mungu
Eee mwenyezi Mungu naomba mkumbuke kaka huyu na baraka zako zkafuatane nae katika ck zote za uhai wake,,Amen
Mungu akubariki kwa tendo hilo haswa kumwokoa mama mwenye ujazito
Ongera..umeonyesha ujasili...kijana...mungu kakupa ujasili..nguvu. Sali ...BS
mungu akuzidishie kaka
we kaka Mungu akupe Maisha marefu, Mungu akutunze. barikiwa sana
Alhamdullah allah kareem
Haitham Zuberi namba za nini hizo?
Asia Zuberi amn
Asia Zuberi asia vip
Kakangu mtumikie Mungu kwa maisha yako yote hiyo ni Neema yake tu hata leo unashuhudia huo ni ukuu wake
Dah! hongera zako bro ,ww jembe aise
mungu ni mwema aendelee kukupa huruma hizo hizo biblia inasema heri wenye huruma maana watamwona mungu
Jamni pole sana mpendwa najiuliza vp nahoza alifanikiwa kuruka R.I.P walio tangulia mbele ya haki
Team wasoma comment oyeee
Woyooooo
Bro we ni jasiri sana Safi..... but pole sana kwa hili janga lililotokea
Mungu anakupenda sana. Na azilaze roho zao marehemu mahali pema peponi
Hongera sana kwa ujasiri wa kuwaokoa wangine
Mungu asinyamaze juu ya maisha yako
Anastahili Zawad ya pongezi kwakweli,, hongera Sana mwaya,, serikali isikae kimya kwahili
Wote wako vzur muhojaji na muhojiwa nimependa utulivu wao wauongeaji ktk hii interview. Hongera kwenu lakin pole sana kwa ww muhanga
Naamini mungu atakulipa kwa kuokoa uhai wa wengine, pole sana kaka
Mungu wa mbinguni akubariki kaka kwa moyo wa upendo
ALLAH azidi kukupa moyo wa imani na akuzidishie khery
Mungu akubalikhi kwakupata ujasili wakuwaokoa nawazio.
Mungu akubariki sana kwa ukarimu uliotenda.
mungu akulinde na ujasiri wako tubu sana umenusurika zote izo ni uwezo wa mungu
Pole Sana kaka yetu lakini mshukuru mungu na umuombe zaidi
we baba mungu akupe maisha marefu jmn 🙏
loyce julius ubarikiwe
hongera sana Mungu akupe long life
Pole sanakaka mungu ana kusudi nawewe ndio maana hujafa.
Sasa wenye hawakupatikana maskini inaumiza💔R.I.P.Mashala alisave watu 👍🙏💪That guy gonna have a lot of memories Mungu ampe nguvu🙏
Hongera sana,Kazi Nzr Brow......
Hongera kwa ujasiri na msaada ulioutoa kuwaokoa wengine umkumbuke sana Mungu
Daah! Kaka Mungu akulinde daima na uendelee na moyo huo huo!! hakika ww ni Shujaa!!
Mungu akubariki kijana,endelea kumtumikia Mungu.
Mungu akubiriki sana kaka 🙏🙏🙏🙏 Yesu akurundisha hela yako ulio poteza
hongera sana Kwa kuokoa maisha ya mama mjamzito Na wengine
Daah! Mungu akubariki kaka kwa ujasiri huo
Mungu akubariki sana kaka kwa kuwa na moyo huo
duh Bichompa pole sana uliowasaidia watakukumbuka daima lakini yote uliyafanya kwa uweza wa Mungu. nina marafiki wengi hapo bwisya akiwemo bichompa sijui kama wapo hai lakini nimefurahi kuona mshikaji huyu amenusurika.
Nauli hivi ni bei gani?Maana ninachowaza kilichopelekea wahusika wa kukata tiketi kujaza kupita kiasi.
Poleee my
Safi Sana Brother Mushukulu MUNGU
Jamani watu wengine walizaliwa na vipaji vya ukomandoo ila basi tuu bradha respect to you maana hata elezea yako tu inaonyesha unakaria frani.
pole sana
Mungu akubariki sana
Kunusurika kifo ktk Ajari Kama ile ni jambo kubwa Sana ktk maisha
Ni Sawa Na kuzaliwa upya
Daaa barikiwa sana kaka maana una moyo wa ushujaa kwa kuokoa wenzako
Hongerasana kaka mungu atakulipa kwa yote nauongoz u waone watu kama hawa
hakika unastahili pongezi ndugu yngu Mungu akubariki kwa ushujaa wako wa kuwasaidia wenzako.
Dah.....
Daaaaaaaaaah! mungu awe pamoja nawe kaka umejieleza vzr mpaka nmeumia.
mungu akuzidishie nguvu na maisha marrfu kwa kuokoa maish ya wenzako
Jamani! 🙉 kifo cha maji, 😇Eeh mungu 🙏 walaze mahali pema peponi. Amiin 🙏 🙏
Hongerah sana.
Funzo kwa sisi tunaojua kuongelea maji ya kwenye ndoo
Ebwana wee hatar muhim kujifunza
kwenye ndoo unakoga huogelei ww
😄😄😄😄😄
Rajabu Pangala ahaha
Hahahahahaha
Njia za Mungu hazichunguziki, Mungu akubariki kaka kwa kuwa na moyo mzuri wa kuwaokoa wenzio.
Kweli bongo bahati mbaya....!Kuna kijana wa kiafrica aliokoa mtoto asidondoke toka gorofani nchini ufaransa,baadae kijana aliitwa na rais akapewa kazi kwenye kitengo cha zimamoto nchini humo...lakini huyu jamaa wa Tanzania serikali wala haina habari nae...!
Poleni mungu awalaze mahari pema peponi
Pole sana kaka dhaaaa mungu akubariki San pesa sikitu ndg yangu mungu akupe maisha marefu uishi miaka elfu moja x10000
Pole sana kila kitu kina ahadi mungu anajua kwann amekuvusha slama
Kaka Mungu akupe maisha maredu
Maisha maredu sijawahi kuyasikia aisee
Bro mashallah mungu akulipe heri
Pole, na ubarikiwe sn
Huyu Jamaa yan amenifanya niwe nalia muda wote hapa kusema watoto walikua ni wengi yan ,nimejukuta nalia tu
Nyinyi ndio watu wa kuzawadiwa lakini wenye pesa na mamlaka hawaoni waona madanguro
Nimelia, kaka hongera sana
Mungu akulinde shujaa wetu!
Mungu awe nawe ndugu uliewakoa watu hao na mungu akuzidishie
Mungu ni mkubwa jaman hongera sana na ushukuru kwa kuwa unajua kuogelea
Hili ndiyo tatizo la watu kutokuwajibika. Unabeba maisha watu huku unachezea simu???? Sasa tutamlaunu Rais kwa nini?
Ndo hapo, kana kwamba raisi ndo alikuwa anaendesha hilo panton! Shida ya watz ni kulaumu kwa kuwa hatujafanya ila likitukuta midomo hufunga kama gundi!
Chege
DAAAH MUNGU AMEKUPIGANIA WE KAKA....NA ULIVYOMWEMA UKAOKOA WENZIO...DAH MUNGU AKUBARIKI SANAAAA KAKA NA AKUPE UMRI MREFU