Shija Aelezea faida ya Ukimbizi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Try the free video editor CapCut to create videos! www.capcut.com...

ความคิดเห็น • 22

  • @jocelyneedward
    @jocelyneedward 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hata Mimi nimetoka kwenye live ya Devota🎉🎉🎉 acha nifuatilie video zako🎉

  • @MUSSABROWNMARCEL-vj9qn
    @MUSSABROWNMARCEL-vj9qn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana brother... from TEGETA dsm

  • @ByaombeRamaMfaume
    @ByaombeRamaMfaume 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jambo kaka Mimi ni mkimbizi naitaji sana namba Yako kaka nataka unijuze mambo kidogo kaka yungu mungu akubariki sana kaka

  • @user-dx6xy5ib4t
    @user-dx6xy5ib4t 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekupata sana nilikuona kwenye live ya Devote acha nianze mwanzo video zote❤

  • @FabiDthree-ro1ms
    @FabiDthree-ro1ms 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pamoja sana kiongozi

  • @sambemaulid2544
    @sambemaulid2544 2 หลายเดือนก่อน

    Shija nakutafuta

  • @SamiaRashid-up6cg
    @SamiaRashid-up6cg 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona mnaangaika sana kutafuta makazi kwenye nchi za watu kwani kwenu mmeua au ndo kukata tamaa ya maisha

    • @shijamoviestv288
      @shijamoviestv288  4 หลายเดือนก่อน +1

      Nyumbani Kuna mafutiko na Hakuna Umeme na gharama za maisha zimepanda

    • @gracejimmy741
      @gracejimmy741 4 หลายเดือนก่อน +1

      Unatoboa Kwa shida sana hapa home

  • @shijamahona4491
    @shijamahona4491 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana atakuponya

  • @FabiDthree-ro1ms
    @FabiDthree-ro1ms 4 หลายเดือนก่อน

    Ule msemo wako wa katka filam nimetoka mara moja ulaya leo hii kweli upo ulaya mdomo una umba ongela sana bro

  • @cyclinetit_solution9913
    @cyclinetit_solution9913 3 หลายเดือนก่อน

    ulisoma TOSA?

  • @godwinaxwesso8726
    @godwinaxwesso8726 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Deo , tumia tangawizi kwa mafua. Naomba nishauri natamani nisafiri kwenda kufanya kazi New Zealand au Australia kwa job offer ya delivery driver vehicle. Hiyo claim ya kuomba ukimbizi imekaaje?

  • @aifaally
    @aifaally 3 หลายเดือนก่อน

    Faza nitakucheki kwenye namba ako

  • @salumufabien1786
    @salumufabien1786 หลายเดือนก่อน

    Kaka naomba kuliza ..unapojitambulisha pale airport je unaificha passport au unakuwa nayo tu ...naitaj kufaham hapo

    • @merycianachangarawe8979
      @merycianachangarawe8979 20 วันที่ผ่านมา

      Ficha passport yaani ficha au kama kuna unayemuamini mpe ,wengine wanafrash chooni kabisa😂

  • @user-is9jp8vm4q
    @user-is9jp8vm4q 4 หลายเดือนก่อน

    Shija mm asha wa umoja club nakutafuta sana shija

    • @shijamoviestv288
      @shijamoviestv288  4 หลายเดือนก่อน

      0756661333

    • @PeaceFamily-if8lv
      @PeaceFamily-if8lv 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@shijamoviestv288tupo wengi sana ambao tunahitaji kujikwamua kimaisha kupitia ninyi ambao mmesha fanikisha badhi ya ndoto hizi je! Mnatusaidiaje kuja?

  • @GMonster-ge7zb
    @GMonster-ge7zb 4 หลายเดือนก่อน

    Brother ninashida na namba yako naweza kupata