Sijui kuhusu tiwa , ila mond na wizkid wametokea chin xana kimaisha na kimuzik i think that is what has sharpened their humility.....nakubaal xn despite kuwa wasanii wakubwa ila wanajishusha nakubal xn....keep it upo lads
Tiwa savage amekulia USA, amesomea bachelor of accountancy na aliajiriwa Bank ila kwakua alikua anapenda mziki aliacha kaz akaenda Nigieria (Kwao walikoyoka wazazi wake) akasigniwa label ya Donjazz ambayo wamo akina Korede bero, rekado bank, na wengine, Apo ndipo alipotokea man ayo ndo machache nayojua kumhusu uyo dada
@@mpokejekibegwa5058 Sure pia anamasters ya utawala wa biashara Pia amewahi kuwa back vocal wa marry j bridge kwahiyo kushinda na watasha ni jambo la kawaida
Diamond nakukubali sana kwa juhudi zako unazofanya ktk jamii yetu, umeweza kurejesha tabasamu kwa watoto wenye shida ya moyo kwa upendo wako 👏👏👏. nakukubali ile mbaya nyimbo za wasafi ndo nasikiliza mpaka basi kwa utamu...
Yn ww km mm yn cjakuelewa kbs jmn tamko Lina somwa kwenye karatasi a muangalie mwenzie hapo adomi anatowa kichwani ilo ndo tamko yy anasoma alafu ajui uko Soma yn yule kasha zeeka hakili kwa kili ya hamina kumwacha
May God bless,help and guied you to grow up more,your helping so many people,representing the country well.I hope your also going to be a good DAD to all of your kids dispite the drama's surrounds you.
Baba laooooooooo....🦁king of the jungles....I like how you mind your bussiness....👑💪keep rocking prove them wrong...wizzkid & Tiwa savage we love you madly....😘😘🇰🇪🇰🇪
Sofia Asukuku 100%correct umeongea ukweli kabisa wengine waoga sana hawajiamini ndio maana Marinda FM inawanyonya kisa promo wanapiga show lakini hawakui kimaendeleo.
Wasani walioanzisha muziki huu wa bongo flavour waheshimiwe sana kwa sababu diomond asingeyafanya haya,kila kitu kina mwanzilishi imagine in USA everybody now is talking about Tailer perry studion(MTU mweusi kuwa na studio kubwa kwa eneo na ubora ndani ya marekani it shows how hard work pays always)
Sometimes the negative people in life give you more motivation to get far in life, so to prove them wrong. What Diamond does he changes the claims from critics into positive. Only few people are able to do that.
i love this comfrees its shows us wasafi is big brand love to u diamond wasafi wizkido savage and all artist good job to wasafi festivo nice and big show congrat to all this abuu from kariakoo jangwani nyamwezi/twiga street u can cll ally bigbrother
Tatizo ujeur na hataki kuambiwa..angekuwa mpole akajifunza kuwa creative katika kazi zake na pia hata angejua kuongea vzr kwa mpangilio..Ataamini ujinga wa pensel wakati ujeuri wake ndo unamponza. Simba Baba lao
Dangot baba alao simba baba lao chibu baba lao mondi baba loa sema simbaaa a kz kaka wataacha wenyewe bila shida washa Anza kuachia ndo mana wanariaria
Jahbless mond umeongea vizur na umefanya kitu kikubwa broo pindua meli sio mda wa kugawa watu huu mashabik media na wasanii wote tunategemeana watu wasijione wamefika safar bado maunyama km yote na mwanao starboy🔥
@@dicksonjohnbosco6477 ITV ni part ya EATV vituo vyote hivi viko Chini ya IPP media na sijaona kupigwa nyimbo yoyote kutokea wasafi kwa muda sasa. Kama wameanza basi ni hivi sasa
Congratulations to Diamond to do wasafa Festival and congrats to all the artists that performed including you Diamond well done and all good audience that support you and I saw you give the truth to wizkid and Tiwa savage what about InnosB we didn't see any truth from them why they came from dr Congo to support you why did he not say the truth and he did a very good job as well
Umeonq ehee nakwambiaje km itakuwa km alivyo sema Makonda wallah iyo tunzo Ata chukuwa simba na ht bak kuwa baba lao uyo kikimba alisema tamko tamko lenyewe la kuchangia mgonjwa lkn kasoma kwenye karatasi ahaaaa
Sijui kuhusu tiwa , ila mond na wizkid wametokea chin xana kimaisha na kimuzik i think that is what has sharpened their humility.....nakubaal xn despite kuwa wasanii wakubwa ila wanajishusha nakubal xn....keep it upo lads
Tiwasavage mboga saba kakulia marekani
Tiwa savage amekulia USA, amesomea bachelor of accountancy na aliajiriwa Bank ila kwakua alikua anapenda mziki aliacha kaz akaenda Nigieria (Kwao walikoyoka wazazi wake) akasigniwa label ya Donjazz ambayo wamo akina Korede bero, rekado bank, na wengine, Apo ndipo alipotokea man ayo ndo machache nayojua kumhusu uyo dada
Kweli Diamond na Wizkid wanajua kujishusha sana!
@@mpokejekibegwa5058 Sure pia anamasters ya utawala wa biashara
Pia amewahi kuwa back vocal wa marry j bridge kwahiyo kushinda na watasha ni jambo la kawaida
Diamond nakukubali sana kwa juhudi zako unazofanya ktk jamii yetu, umeweza kurejesha tabasamu kwa watoto wenye shida ya moyo kwa upendo wako 👏👏👏. nakukubali ile mbaya nyimbo za wasafi ndo nasikiliza mpaka basi kwa utamu...
Daimond platinum na wasafi fm!?Mungu awabariki na awazidishie sana. ❤ wizkid na Tiwa Saveg pia. Afrika United's. 💕💕🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴
Kama uliona show ya wasafi festvl diamond kaweka historia gonga like
👇simba baba lao 👏
Simba baba lao👍
Istolia ipi tumeliwa ela zetu saa 9 imeisha c ukuma
@@rajabubojo5306 sasa ww ulitaka itike adi saa ngapi wakati tz mziki mwisho saa sita lkn muliongezewa mda
Umelogwa wewe
Simba baba lao
Baba lao adi ITV wamekubali kama umeona gonga like
Linda Julius kweli bwana nimeona balaaa zitooooooooooooooooo
Nimeonaaaaaaaaa babaaake
Wamekubalii👏👏
Thank you diamond for treating our starboy Wizkid well,we Wizkidfc love you
Nani kaona media kubwa adimu adimu mbele ya simba , gonga like kama umeziona
dj bashi
ITV nmeiona Leo😂😂😂 yani maajabu
@@veylogeorge5427 na tbc na digital wapo kama umeangalia kwa makini
Yeah
dj bashi ITV
Nimeshangaa ata mimi
Kama unamkubali mond gonga like hapa
Oliva Daimon nakubal
Oliva Daimon kali kinoma
Juzi ilikua noma noma
hakika mzkii waa africa umee kuaa kubal xnaa wizkid kam wew ni team wiz kid like
simbaaaaaaaaaaa unatupa heshima sana sisi ambao tupo nje ya tz na ndan pia big up piga kaz wenye majungu wabaki ivo ivo na chuk zao baba laooooo
Diamond hajaenda shule ila anaspeaking skills in front of mass in front of media
Sio yule wa tamko mm skumuelewa kwa kweli sio unafki
Anakenyuaga tu meno😁😁
Yani yule hajuagi kabisa kujieleza
Love u so much tiwa soooo much
Simba
Yn ww km mm yn cjakuelewa kbs jmn tamko Lina somwa kwenye karatasi a muangalie mwenzie hapo adomi anatowa kichwani ilo ndo tamko yy anasoma alafu ajui uko Soma yn yule kasha zeeka hakili kwa kili ya hamina kumwacha
wasafi ni baba lao
kma ana ww ulielewa show ya jana gonga like twende sawa
Xxaffdaawgaafxaswfaaaaawwwwfswfddgfgxxdxafaawaaaaadwawwwawcffffdgxwsaggaaawsdaadsaddwdgaaawwadsafddffdxccfawdfefwwaawagfcdedxagwxfwaxwdxadcdddaxdaaaddadafaacddxdaxfxxxxaaafdsddaaddsaaaassadddddsaddaxcxwxfdcafcwgadwgcaaaaaawwaaadaaadaaadddfxddaaaaxwcfaaaaaaaarrdaddacrsdwawdacddaaceaaasawassaadfdddaaddaaadawgaddaddgwaadsadaadadaddadwdaaaadadaaadaddddadddaadasaadaeddadaddadaaaaaaadaddddfcfaddddaaaasfddfdcdaddaacadddadaddadadaedadadaewdadddaddfadddaadddsddefasddsaaedeaaaaaaaaddddaaadddsdaseddeaacassdsaaaddedddassdsdsaddddaddddadcaaaefddddddadadarsadddddaaadcaasdddddddddrdddcdddrcasddfdddadddwfsadedddddddedadaddddddasdaddaaddedddadddedddcddddaadeddddaaddsaaaerddddeddddfaaaacaddaarddddddddddddrdddrdddddadadddddaardddddffddrdrddaadddcddfddddddfdrdddrddddddedddddddrrdddcrrdddrrrdrrrdrddddrdraaddrddrdrddddrdrrddddddrdddddddddddfrdrddddddcdddddrdddddddddddddfddddfddrcdddrcdddddcddrrfdrcfddvgdgdcddddddggggdddddcddcdgccggccddcdddcgcggccgdddgcddcdgdfdgddgdcfcgdcdgccgggcgddceeggddrcedggfdcddcdceesdedescseesseddeevdsseddvdseegdedeedeeesdcdxddesseegddgvdseecdsddfceesevdreeeeedeeeeeeeeedscsgcdddcvsgddgdcegcedeceesveddgeredddddcddcderrereecefcsdddsdddcceerecdfeddddfeddddfdddedsdfddgsrceddcdsecgcdeceeesdeccddvdgcddgeddedcsddccdfdffseeceedeeeedgcedddecdeedddddddgedcddgdcgdgseggeggdeeddegdsgdddgsggsfcfssecfcegdddfdesfdfdssseccdgdgddexseeegscggccrdfdfcdsseddsesgdeedsdfdgdegddedceddedgcedeegcecsdfdeeefeeededddddsgdefffddcdedfdfdddfdddgeddggegsgrdfecgsscefdscececdsgeedeecedssceddesgdgsedgdgfdegeddfsdceceeceggsvgvseexddcgegscedeeedfscedgfdccdgdceedfeffsceeddsfdgsegeceeeedgffddfgdfdgeegdedcdggecegsgceceeedgsgddsgecesdeddsdcgfesgeeecdsesesssefgsccegdgsgecegevssvegscsgegdgcsgscdddgdseecsceeecesvggeecdsceesfesegeecevvssecevsecevsecdgssfeseececeeessevsceseceesssecescceeeceessgsdssssesssesevevseseedceescegegceegsegscdeedcfseseceesgessceevsessseceeeeesessseeeeecevseseecceesecexcseceesessecdsseceseeceeeceeeeesveesveeeceeccedeseevdseedgveceveeesececsvecesveesegcceseeedsecevseescevecvsvscsvsvescsecdvssssesceeeesesecssececsscecsdssseevecescesssseeeeeeveceeeeceeevdcvssssecgssvsssssssssdgsgeseesecsesecseeeecegevsdescesvesessescdesseceserdceeedeeceeeeeceeseeseseeeevseeeececscseedeseccceeceseseecegceeeeccessgddfffffddtzddd!! ! ! ! ! @ DUH fffhrhidtiraAA
Kama unakubaliana mm kua jamaa ana shukrani gonga like apa
Km naww unazitaman zile chupa za peps 3 mkono wa kulia kwa diamond gonga like twende
Duuuuh atali
Kagile Man hahahaha😂😂😂
😀😀😀😀😀😀
Kama umeiona pepsi mkubwa wao gonga like hapo
Iyo part ya tiwa am so happy to be hosted by my fellow artist I like that. Na wengine wanatumia pensili.
🤣🤣🤣nkbli baba
😂😂😂
May God bless,help and guied you to grow up more,your helping so many people,representing the country well.I hope your also going to be a good DAD to all of your kids dispite the drama's surrounds you.
Baba laooooooooo....🦁king of the jungles....I like how you mind your bussiness....👑💪keep rocking prove them wrong...wizzkid & Tiwa savage we love you madly....😘😘🇰🇪🇰🇪
Namuona harmonize kwa mbali kama alitamani na yeye angekuwepo vile
🙄🙄🙄🧐🧐🧐😂😂😂
France Vany Boy 😂😂😂😂😂
Yn so Kutamani ana juta uko alipo
😀😀😀😀aende zake uko mamae hatumtaki
Show zako nzuri saana saana na you dance very nice
Mungu akubariki Nasbu simba endelea hivyo hivyo bro Mungu atakuzidishia
Platinumz, tiwa savage and wizkid 👏👏👏👏 wasafi 👍
Very humble guy diamond Platinumz 🙏
Ivi tiwa saveng anaelewa anacho kiongea baba laoo
Sidhani I wish kuna translation. Most of Nigerians don't understand English
kakodoa kodo Maśìkin
Mbona anaimbaga kiswahili anaelewa huyoo
Ni anatamani kusikia juu diamond anajua kujieleza
hivi wewe Mond ungekuwa/ elimu ya juu inge kuwaje? nahis uwo ubongo unge basti/ ongera wazazi walokuzaa
Dah jamaa very smart aisee umaskini sana Mungu akuongezee Mzee
Ni nomaaa
Ni 🔥🔥🔥🔥
Aiseee wasafi festival ni nomaaa
Mond ndo msani pekeye Tanzania Ila wengine wataishiya kariako tu
Kkkkkkkk
Hahahaaa aaaaaa nacheka kwa sauti kabisaaaa watalia sana
Hahaahahaha! kabisaaaaa
Sofia Asukuku 100%correct umeongea ukweli kabisa wengine waoga sana hawajiamini ndio maana Marinda FM inawanyonya kisa promo wanapiga show lakini hawakui kimaendeleo.
hahhahhahha we jamaa nyoko kwe
Wasani walioanzisha muziki huu wa bongo flavour waheshimiwe sana kwa sababu diomond asingeyafanya haya,kila kitu kina mwanzilishi imagine in USA everybody now is talking about Tailer perry studion(MTU mweusi kuwa na studio kubwa kwa eneo na ubora ndani ya marekani it shows how hard work pays always)
The more wanamchukia the more anabarikiwa.
Very True. God will keep blessing him moreee
@@dianajiana6804 this guy is going far, bcoz mwenyezi mungu hubariki kazi ya mikono yetu, na kusema ukweli huyu jamaa huchapa kazi.
ann kinyanjui baba lao
Sometimes the negative people in life give you more motivation to get far in life, so to prove them wrong. What Diamond does he changes the claims from critics into positive. Only few people are able to do that.
@@kagoggoalfred2730 Nakwambia
Mmmh mnyama m2 mbaya chbu anaendelea kuwanyoosha waloungana na kuamua kum2kana.....
Afidhi Mpiko 😂😂😂😂😂
Bro wewe ni wajuuuuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpuuzi unaongea FACT sana salute kwako
Watu wanapenda kuchukua zaifu moja kuchafua mazuri yotee
Jamani nimeiyona ITV
Kwan walikuwaga na ugomvi
Mondi kila akizungumza na waandishi maiki siioni ya ITV
@@ngangamtheboss9242 ndyo na hawajawai kutoa taarifa wala kuhudhuri mikutano ya wasafi ndo Leo wamejitokeza..
Kuna watu wanaumia. kuendekeza roho mbaya
Simba baba laooooo Kama unakubali hloo gonga like
Well done 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻Simbaaaaaa Baba Laoooo
🌟 boy Wiz kid, Tiwasavage,Chibu 🔥
You are doing a great job simbaa
i love this comfrees its shows us wasafi is big brand love to u diamond wasafi wizkido savage and all artist good job to wasafi festivo nice and big show congrat to all this abuu from kariakoo jangwani nyamwezi/twiga street u can cll ally bigbrother
Kama umekubali wasaf fesitv gonga like apa
Tiwa anafanana sana na tanasha kasoro rangi,sijui ndugu hawaaa!!!!?
Hongera mondi kwa bidii zako 👏👏
Alikiba jifunze kuongea mbele ya waandishi😂😂
Ukorofi huo😂😂😂
Wizkid km hataki vile hatumii nguvu nyingi👏👏👏
Mnyama Starboy anatafuna bigijii tu..Hatariii
Kiba njoo ujifunze kuongea na media..
Felician Kazimoto hahahah yeye ni kusoma
Tatizo ujeur na hataki kuambiwa..angekuwa mpole akajifunza kuwa creative katika kazi zake na pia hata angejua kuongea vzr kwa mpangilio..Ataamini ujinga wa pensel wakati ujeuri wake ndo unamponza. Simba Baba lao
Bro simba we ni noma acha kabisa 🔥🔥🔥
Big up to you WCB in general
alikiba aje aone watu wanavyoongea kwenye press conference kama hizi ajifunze kuongea kama simbaa😂😂WCB4LIFE
😅😂😂😂wizkid... Mambo vip... Yeah men
😀😀😀😀😀
Dangot baba alao simba baba lao chibu baba lao mondi baba loa sema simbaaa a kz kaka wataacha wenyewe bila shida washa Anza kuachia ndo mana wanariaria
Afadhali hata Babu Tale kaongea kiswahili kwa hilo nampongeza hongera sana
Diamond umeonesha love
Simbaa baba lao WCB for life balaaa nzitooo.
Let's support everyone for doing this one love Africa
Alafu mnafananisha vijipu uchungu na tezi dume diamond baba laoooo ..tezi dume
😂😂😂😂😂😂
emmy amoury 😂😂😂😂
Jahbless mond umeongea vizur na umefanya kitu kikubwa broo pindua meli sio mda wa kugawa watu huu mashabik media na wasanii wote tunategemeana watu wasijione wamefika safar bado maunyama km yote na mwanao starboy🔥
Naiona Microphone ya ITV, Does it mean ugomvi umeisha baina ya Regina Mengi na Wasafi
Abdillahi Mohamed Said 💤💤💤💤💤
☁☁☁💤☁
☁☁💤☁☁
☁💤☁☁☁
💤💤💤💤💤
☁ wasafi ☁
itabaki kuwa juu
Am also wondering😂
ITV awanaga shida na wasaf ata nyimbo mbna wanapigaga, ishu n upande wa eatv but one day watakubali tyu
@@dicksonjohnbosco6477 ITV ni part ya EATV vituo vyote hivi viko Chini ya IPP media na sijaona kupigwa nyimbo yoyote kutokea wasafi kwa muda sasa. Kama wameanza basi ni hivi sasa
Diamond is kind keep it
Diamond mungu amuongezee
Babu Tale big up kuwapa nafasi wasanii wetu wakongwe nao kusema chochote
Diamond kwenye Kila speech take lazima atumie neno 'tofauti tofauti' it sounds too monotonous
Mameneja wake wamrekebishe
Simba u a creativity man I will follow up way
Mond baba laoo Chibu baba laoo🔥🔥🔥
naona Inspecta Haroun ameamua alete applications ku be enrolled wasafi kabisa.Hivi babu kwani ujana ulikula na nani?
Nawakubali sana Wanamziki wote
Daimond mungu akupe umri mrefu
Asante kwa hatua hiyo.
Yaaap like kwa mond
mond upo nao mpaka leo du
@@peterandrea2935 sio mpaka Leo mpaka tarehe 14 kkkk baba lao
Safi sana mond mungu akuzidishie
Simba baba lao💪🔥🔥🔥🔥
Daaaaah babu tale kama bodygad
Issac Mwamba hahaha💥💥💥💥😂😂
It’s dopest😍
DOGO UMEKUWA KWELIKWELI
UMEONGEA MANENO KUNTU SANA
SO MUCH
Very very nice👏👏👏
Kitu ambacho hakijawah kufanyaka Tanzania wasanii wakubwa waje wapige show halafu waondoke kwakutuaga kishikajo
Mondi ni baba lao hakuna kipingamizi
tuned from Zanzibar big gup guys
I need only likes coz everything has been spoken
Nakuona StarBoy unaenjoy tz.
Much love
Congratulations to Diamond to do wasafa Festival and congrats to all the artists that performed including you Diamond well done and all good audience that support you and I saw you give the truth to wizkid and Tiwa savage what about InnosB we didn't see any truth from them why they came from dr Congo to support you why did he not say the truth and he did a very good job as well
Aiseee kitu cha tofauti sana kkk
Nakukubari sana simba
Nice speech dangote I like that
Diamond keep shocking them Mawingu, I see them sweating I swear..
They definitely crying rightnow
😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Huyu mnyama anajua sana kuongea ndo mana kila siku anapata ubalozi
Umeonq ehee nakwambiaje km itakuwa km alivyo sema Makonda wallah iyo tunzo Ata chukuwa simba na ht bak kuwa baba lao uyo kikimba alisema tamko tamko lenyewe la kuchangia mgonjwa lkn kasoma kwenye karatasi ahaaaa
ni kweli kabisa
Unanyosha point brother Diamond najua Alikiba yy mwenyewe anakili hilo
😂😂😂😂
huyu jamaaaa mbali na kuimba ni kichwa sana ktk kuongea. hapo hakuna karatasi wala nini..
Wasafi hawalazi damu 🙏🙏🙏
Inspecta Kumbe Unaongea PointHivyo,Big Up
Km umeeona maiki ya ITV gonga laiki na kuanzia leo umkubali mondi
huyu jamaa anajua kuongea bwana... such a smart boy aisee @mocsworeva
Me najiuliza kitu kimoja hao wagen kutoka Nigeria wanaelewa Kiswahili kweli???
Salam anawatafsiria hapo kam umeangalia vizur..
well spoken gal...karibu tena oooooo
Njema sana👏👏👏
Where are the artists from kenya and uganda
Ali Ndurya 😂😂🗑🗑🗑
Kenya kuna wasanii?
Wizkid 16:47
Huyo mwenye kipara haijulikani kama anaongea kiingereza ama anaongea kigunya dah si afadhali angeongea kiswahili tu ijulikane.