LIVE🔴 : RIPOTI YA LEO - JAN 17, 2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 28

  • @florakomba5522
    @florakomba5522 14 วันที่ผ่านมา

    Inauma sana nyinyi wakaka Mungu anawaona.

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 15 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani wewe kaka mungu anakuona kumuumiza dada wawatu utalipwa na mungh hapa hapa duniani utapitis maisha magumu zaidi ya huyo dada anayo yapitia naona uchungu sana kwaanayo yapitia huyo dada aron mungu anakuona

  • @عايشةتنزانيا
    @عايشةتنزانيا 15 วันที่ผ่านมา +2

    Yarab tuonyeshe watu sahihi kwenye Maisha yetu insha'Allah na utuepushe na Madhwaalim kama Aron 😢

  • @GraceCrispin
    @GraceCrispin 15 วันที่ผ่านมา

    Mmmh hii Dunia 😢

  • @JuliusChacha-xz6eq
    @JuliusChacha-xz6eq 13 วันที่ผ่านมา

    Bahati kama hizo mbona hatuzipati ss jamani,😅

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 15 วันที่ผ่านมา +1

    Dada vero tokea jana mitambo haipo sawa unakwama kwama

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 15 วันที่ผ่านมา +2

    Aivofanya huyu mkaka sio haki kabisa ht mungu atamrudi

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 15 วันที่ผ่านมา

    Hii Simulizi ni ya siku 5 tu but imempata msiimuliaji mtoa ushauri nasaha

  • @LilianTitus-t8t
    @LilianTitus-t8t 14 วันที่ผ่านมา

    Ila Aron una roho ngumu

  • @ZahraOman-f4m
    @ZahraOman-f4m 14 วันที่ผ่านมา

    Aron hasira siyo kwako kwakizazi chako waka umesahau uta wafanya watoto au wajukuu waishi kwa shida

  • @saraphinamtegwa9128
    @saraphinamtegwa9128 15 วันที่ผ่านมา

    Morohampatikani mna miezi sasa kwenye masafa ya 95.5

    • @neemammbaga227
      @neemammbaga227 15 วันที่ผ่านมา

      Mi pia nipo morogoro ila naangalia youtube

  • @LoveAron
    @LoveAron 15 วันที่ผ่านมา +10

    Mimi nahisi yule kaka alite mshirikisha siri yk na akamwambia asimfanyie unya,Atamwambia yule madam kuhusu hiyo mishen,na mali atazirudisha mikononi mwake,na Aron atabaki hana kitu tena😂 mie nipo hapa

    • @عايشةتنزانيا
      @عايشةتنزانيا 15 วันที่ผ่านมา

      Hata me nilihisi hivyo kipenz hebu wacha tusubirie picha litaisha vipi😂

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 15 วันที่ผ่านมา

      Mm natamani iwe hivo ampokonye mali zote abaki hana kitu yaani azibiwe ridhiki zote akose hata pesa ya kula mshenzi huyo Aron jaman

    • @SaraphinaMichael-x9u
      @SaraphinaMichael-x9u 15 วันที่ผ่านมา

      Naiwe ivyo jamani uwezi mfanyia mwanamke

    • @MakkaSaidi
      @MakkaSaidi 15 วันที่ผ่านมา +1

      Huyu Aron ni mwizi, atapokonywa Mali zote, kutokana na upuuzi wake,na iwe hivyo, hivi anafananaje,? Waweza kuta hats sura Hana ila anajisikia Tu, sasa kama hakumpenda Mali zake ulichukua za nini?

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 15 วันที่ผ่านมา +1

      @@MakkaSaidi ndio hapo sasa kama hakumpenda tokea mwanzo angekataa kabisa kwamba madam mm moyo wangu haujalizika kuwa nawewe bas kuliko kumuumiza hivo dada wawatu ila kuna kilicho mkuta mbaka kaamua kutoa histolia bas yamemkuta mambo ngoja tuendele kusikiliza mwisho ilikuwaje

  • @marthakitinusa9696
    @marthakitinusa9696 15 วันที่ผ่านมา

    Mmmh

  • @PaulinaMhoja
    @PaulinaMhoja 15 วันที่ผ่านมา

    Natamani kujua adhabu na mateso atayoipata aron ajute maisha yake yote,,,huyu mwanamke asije akafa kwaajili ya magum haya jmn

  • @hasnakingu4593
    @hasnakingu4593 15 วันที่ผ่านมา +1

    Binadamu inabidi tuache hii upuuzi wa “siwezi kuishi bila wewe”. Kuumia kupo ila sio hivi jamani.

  • @mariamwashokera1088
    @mariamwashokera1088 15 วันที่ผ่านมา

    Yaan wewe kaka kama unasoma hizi coment hiii dhambiii haito kutokaaa wewe n mnyama sana

    • @WilliamAnna-m9v
      @WilliamAnna-m9v 14 วันที่ผ่านมา

      We nawe mpk unaona kaleta huu tayari yameisha kheee laana zako zikupate mwenyewe

  • @ZenaUsangi
    @ZenaUsangi 13 วันที่ผ่านมา

    ARON CHOZI LA HUYO USIEMPENDA LITAKUTESA SANA,USINGERUHUSU MAHUSIANO UKAMUOMBA AKUWEZESHA KISHA AWE KAMA DADA NA MALI YAKE UTARUDISHA.TATIZO UMEMWAMINISHA KUWA NA WW SHAURI YAKO

  • @teddymassawe2834
    @teddymassawe2834 15 วันที่ผ่านมา

    We dada mwache lakini hizo mali ulizompa zintaisha na abaki maskini kabisa

  • @NeemaKilawe-u4o
    @NeemaKilawe-u4o 13 วันที่ผ่านมา +1

    Yani Mimi nipate mtu anaenipenda ivyo alafu moyo ugome!!! ningeenda kujiloga mwenyewe mpk nimpende😂😂😂 hapana chezea pesa wewe. Watu wanaenda kuua family ili wapate pesa alafu moyo unagoma kijinga jinga ivo😂😂😂😂