Mashaallah kati yavitu tulivyo navyo kondoa niwasomi waQurian wapo wengi allihamdulillah wanavipaji Ancle iddi allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye matendo mema namwisho mema
WAPAKISTAN NA WAHINDI AL-LAAH KAWASOMESHA KUWAHESHIMU WATU WA QUR-ANI (SIRI YA VIFUA VYAO HATUIJUI TWAANGALIA DHAHIRI YAO) SISI TUNA VISOKORO KWINYO ! HATUPENDANI HATUHESHIMIANI ! MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU 🤲🏼
Yani kishki haeleweki ni mtu wa sunnah, sufi, hizbi au khurafi au ni dude gani. Ye mpk mahibadhi yupo nao, mwusho tutamuona na mashia kina hemed jalala
Wewe unamtakia nini kwa amali yako iko juu ya mikono ya kishki acha husda zako uislam ni mmoja hayo madhehebu yako kwako tu na quraan ni hiyohiyo moja.
@@salmashahbal9306 Kipindi cha mtume ndugu uislam ulikua safi, haukuingiliwa na uzushi lkn baada yake mambo yalikua tofauti. Na haya makundi ukiyapinga unakua unamkanusha mtume maana mtume alishasema kua umma wake utagawanyika makundi 73 ila yote yataingia motoni isipokua kundi moja, na alipo ulizwa ni kundi gani hilo litasalimika na moto akajibu ni lile ambalo litashikamana niliyo nayo mimi na maswahaba wangu, au kama alivyosema. Ila hii hadithi inahitaji uielewe kwa maelezo ya wana chuoni usiibebe km ilivyo. Cha msingi ni kwamba umma huu una vikundi vingi. Sasa ukisema mimi ni muislam tu, Shia Athnasharia wanao itakidi kua Abuubakar, Umar, Uthman, mama Aisha walikua makafiri, pia hii qur'an imetiwa mikono, utume alistahili kupewa Ali na itikadi zingine kibao za kikafiri na wao pia wanajiita waislam. Pia Ahmadiyya wao wanaamini utume unaendelea na walikua na mtume wao Ahmad Mirza ghuram nao wanajiita waislam. Cha msingi tushikamane na uislam aliokua nao mtume na maswahaba wake ambao tutaupata hivi, tufuate qur'an, sunnah za mtume lkn kwa ufahamu wa wema waliotangulia ambao ni maswahaba na waliowafuatia maswahaba. Mfano km kuna ibada hakuifanya mtume wala maswahaba achana nayo.
@@vagusnerve8797 ...shukran kwa elimu hiyo ...nataman watu tuwe na uelewa...tufate quraan inatuusia nini tuwe waislam kwa maelekezo ya quraan na mtume wetu tufanye kwa nia thabit ya uislam sio kubaguana ...yan kuna waislam anaweza kuona yey kua dhehebu flan bas pepo yake na wengine moto uko kwao...tusihukumiane ila tuusiane mema
Mashaallah kati yavitu tulivyo navyo kondoa niwasomi waQurian wapo wengi allihamdulillah wanavipaji Ancle iddi allah akuhifadhi akupe umri mrefu wenye matendo mema namwisho mema
WAPAKISTAN NA WAHINDI AL-LAAH KAWASOMESHA KUWAHESHIMU WATU WA QUR-ANI (SIRI YA VIFUA VYAO HATUIJUI TWAANGALIA DHAHIRI YAO)
SISI TUNA VISOKORO KWINYO !
HATUPENDANI HATUHESHIMIANI !
MWENYEZI MUNGU ATUNUSURU 🤲🏼
আপনার এই কথা গুলো আমি বারবার শুনি ইদি সাবান আমার ভালো লাগে।
maa shaa Allah Allah akuhifadhi duniani na kesho akhera
Allah Akbar kondoa yetu oyeeeeeeeeee Alhamdulilah
Subuhanllah
@@saay4273 subhnaallah yanin ss unafikir niwawap
@@busnaoman9981 hahahahaha pole sana iddi namfaham ni wakondoa na shule nimesoma naye ila wew hujaelewa tu
MashaAllah subhanaallah qari iddy shaban MashaAllah
MashaAllaah MashaAllaah tabaraAllaah
Allaah akutangulie kwa Neema zake
MashaAllah 3:37
Mashaallah tabarakka Allah Allah akujalie kheri Dunia na akhera akupe afya njema na umri mrefu wenye khery
Mashaallah yahabibi twayibu Allah akuzidishie umri mrefu na mwisho mwem kiongoz wet nasi pia
Amiin
Amiin
ماشاء الله تبارك الرحمٰن
Allah Akbarrrrrrrrrrr
Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah Ma Shaa Allah
Allah ambarikie Qary amlipe kheri
Маша Алла алхамдулилла Аллаху Акбар
Mashaalllah
Mashaallah tabarakaallah Nakupenda kwajili Allah Anko IDi shabani 💕
Mashaallah
Mashallah Quran tamu wala haifanani na chochote
Maashaallah
Anko jitahidi makhaariji hurufu hazitoki vzr niukumbusho tu
Jazakallahu khairi
MashaAllah mashaAllah mashaAllah
Mashaallah 🤝
MashaAllah walhamdulih ❤❤
Mashaallah Qari Iddi Shabani
Yaarabbi muongoze huyu mja wako katik kheri dunian na akhera
Masha-allah 💓💓💓💓
MashaALLAH
Mashaa Allah tabaraqllah
MashaAllah🕋📖
Mashallah mashallah mash Allah tabarakallah
Allahu Akbr
Mashaa Allah
الحمدلله رب العالمين
Walillah Alihamdu ALLAH analeta vitu
Masha Allah Tabaraka Allah
Mashallah mashaallah
Maa shaa Allah. Jamaa ana pumzi balaa dah si mchezo
MaashaAllah
MashaAllah
MashAllah
Супер 👍 голос и таланг
MashaaAllah
Allahu Akbar
ماشاءالله
Maashaallah
Amiiiiiiiin
Mashallah kondoa
Siyo Kondoa , ni Tz.
Mashaallah kondoa tupo juu
Mashallah
😨مشاءالله
👏👏👏👏
Maasha allah
Jamn mungu amuongoz kondoo moja hiyoooooooo
Ikhlasw muhimu , rejea mlango wa kwanza , kwenye:
رياض الصالحين
Kweli kaka
Eidi Shaban Mashaalla
Mashaalla kondoa yetu
Tupo vizuri mpaka tunakera Allah amrehem kakangu Sheikh Ramadhan Sungu matunda yake haya
MashaaAllah
Amini
huyu Uncle Iddy kiboko yao
Qur an tamu jamn...
Mashaallah, ijuva akuvike nkaasu 🤝
amina nipe namb yko ya wasap
@@amanimatokeo4591 , nipe yako nikutafut
Amina jole we
@@saay4273 saf tuu
VIP n ww ? U Hali gan?
Kwa idhni yake Ramani inawezekana
Acheni uubahili au mnashabiki mpaka kuwambia mambo ya maulid n
😂
Kama nawe umesikia rakhmaan badala ya rahmaan nijuzen
Me nimeskia
ولله الخمد .
Badali ya
ولله الحمد.
Kama inafaa Naombeni faida jmn au nimeskia vby
yupo sahihi
yuposahohi
Kwa huko kubusu kwenyewe sio bidaa au???? Au kwa kua Ni nyinyi inakua suna sio.
Karbu kondowa
Yani kishki haeleweki ni mtu wa sunnah, sufi, hizbi au khurafi au ni dude gani.
Ye mpk mahibadhi yupo nao, mwusho tutamuona na mashia kina hemed jalala
Mtume alikua muislam na hakua yote hayo...tufate uislam mengine mwenyez mungu anajua zaid
Wewe unamtakia nini kwa amali yako iko juu ya mikono ya kishki acha husda zako uislam ni mmoja hayo madhehebu yako kwako tu na quraan ni hiyohiyo moja.
@@ashuashu3843 hakika Ashu Ashu
@@salmashahbal9306 Kipindi cha mtume ndugu uislam ulikua safi, haukuingiliwa na uzushi lkn baada yake mambo yalikua tofauti. Na haya makundi ukiyapinga unakua unamkanusha mtume maana mtume alishasema kua umma wake utagawanyika makundi 73 ila yote yataingia motoni isipokua kundi moja, na alipo ulizwa ni kundi gani hilo litasalimika na moto akajibu ni lile ambalo litashikamana niliyo nayo mimi na maswahaba wangu, au kama alivyosema. Ila hii hadithi inahitaji uielewe kwa maelezo ya wana chuoni usiibebe km ilivyo.
Cha msingi ni kwamba umma huu una vikundi vingi.
Sasa ukisema mimi ni muislam tu, Shia Athnasharia wanao itakidi kua Abuubakar, Umar, Uthman, mama Aisha walikua makafiri, pia hii qur'an imetiwa mikono, utume alistahili kupewa Ali na itikadi zingine kibao za kikafiri na wao pia wanajiita waislam.
Pia Ahmadiyya wao wanaamini utume unaendelea na walikua na mtume wao Ahmad Mirza ghuram nao wanajiita waislam.
Cha msingi tushikamane na uislam aliokua nao mtume na maswahaba wake ambao tutaupata hivi, tufuate qur'an, sunnah za mtume lkn kwa ufahamu wa wema waliotangulia ambao ni maswahaba na waliowafuatia maswahaba.
Mfano km kuna ibada hakuifanya mtume wala maswahaba achana nayo.
@@vagusnerve8797 ...shukran kwa elimu hiyo ...nataman watu tuwe na uelewa...tufate quraan inatuusia nini tuwe waislam kwa maelekezo ya quraan na mtume wetu tufanye kwa nia thabit ya uislam sio kubaguana ...yan kuna waislam anaweza kuona yey kua dhehebu flan bas pepo yake na wengine moto uko kwao...tusihukumiane ila tuusiane mema
Mashaallah
Maasha Allah
MashaAllah
MashaaAllah
Mashaa Allah
Mashallah
Kwa huko kubusu kwenyewe sio bidaa au???? Au kwa kua Ni nyinyi inakua suna sio.
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashallaah
Mashaallah