Hakuna binadam aliye mkamilifu kila mtu anamapungufu yake. Hussen umesema ukweli kias kwamba umenitoa kwenye giza la usuper star. Nilikua nafkri kua msanii akishakua star bas ameya win maisha kumbe sivo. Big up Hussein
Hussein Machozi, umetoa somo kubwa sana kwetu vijana wa Kitanzania, kuwa "REAL". Ni kitu ambacho ni tatizo kubwa sana kwenye jamii yetu ya Kitanzania tukiofia kesho zetu kimaslahi tukishindwa kutambua breakdown kubwa tunayoitengeneza future-wise. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayetaka kua benet na mtu double-standard. Much respect brother.
Da toka niangalie interview zoooote yani hii ni the best,, nanimeinjoy Sana nanimejifunza ving saana inaoneka Hussein anayopesa safi mungu akubaliki ndugu
Hili interview kali sana sana,Tena interview kiboko iliyowahi kufanywa SnS,big up Hussein Machozi kwa interview kali na kuongea ukweli wa wazi kabisa bila ya unafik wowote,na bila ya kuogopa lolote au kuhofia lolote,hivyo ndo anavyotakiwa mwenye kujiamini,na hongereni pia SnS kwa mambo mazuri.
So true, i admire this gentleman whit his honesty opinion. Money ain't everything. Kwa wale kama mimi ambo wamefuatilia Bongo flavor toka kitambo kiba, machozi kina 20%,watu kama fedi Q will always be the biggest and finest bong flavor generation. Positive attitude is life.
Huyu si kwamba ni walipishana na na mondi kwenye iyo show tuu,inaonekana ni moja kati ya wasiompenda jamaa tangia hapo yeye ni timu kiba,kwa sababu kuna maneno mengine anaongea ni tofauti kabisa yani ni nje ya anayoyazungumza,anajifanya ameweka wazi kuwa ye ni team kiba ila ameshindwa kuweka wazi kwamba hampendi mond mazima,lkn kwenye maneno yake unaona wazi hampendi,hasa kwenye issue ya baba levo aina uhusiano hapa kabisa,ila ni chuki tuu,yule ni msanii ni mtu wa kamera na kuongea ongea kila wakati,ana uwezo mkubwa wa kubadili mwelekeo wa sanaa,hata yeye kwa jinsi anazungumza unaweza kuwa mtangazaji,wakina swebe,dulla wambua,lil ommy,zembwela,mboto wote wametoa njia kama hizi then baadae wakajiongeza jwa kujifunza zaidi kwa upande huo.
Na soma comment 😄😄watu mapovu kma yote hussen kasema kweli wasanii wengi ukiwaita hapo kwenye interview wachague kati ya ali na mond utasikia wote wana kumbe unafki bora yy alivojisemea ukweli umuweka mtu huru
Hoseni machozi huyu ndo msanii wangu bora sana..yn hata usipoyoa nyimbo nyimbo zile za promise Kafia geto ..album ya Kafia geto ndo nilpoanza kukuelewa mwana hoseniiiiiiii
Mashabiki wengi mna low thinking capacity usijifanye shabiki tu kuponda anachoongea kwa sababu unampenda flani huyu mtu kaongea vitu ambayo vipo na ni serious,,, GUD Machozi
Huyu jamaa hachukii mtu ila Anavyo ongea kama sio kuelewa utachukulia Ana beef lakini hapa ni fact tu naku kubali hussein nafkiria pia ulaya imekufunza kitu ila dini pia watching you from Sweden🇸🇪grace Mia frateli Hussein vieni venuti Sverige

Kiba ana roho nzuri Sana asante brother husen sema ukweli ila king kiba wamuache tu nampenda Sana Alikiba,,, asante Bro husen much love kwako bro
hauna chuki hussein one love you are talking the truth bro
Meno meupe na roho nyeupe...unafiki ni sumu ya maendeleo...big up kwa huyu kaka...mungu aendelee kumjaalia
Pa1 sana tash
Mimi Ni shabiki wa diamond but Hussein is kind of real...🙏✊🙌🙌🙌
Nakukubali machozi upo real
That's for real
Hiyo Wasafi inaua vipaji sana.
Ndo halie binya ngoma ya hussen isigongwe
Interview no 1 nilioikubali tangu nifatilie SNS big up Hussein
Tupo pa1 snura
Da toka niangalie interview zoooote yani hii ni the best,, nanimeinjoy Sana nanimejifunza ving saana inaoneka Hussein anayopesa safi mungu akubaliki ndugu
Hapana bro diamond plutnumz is a very creative artist hauna chakutuambia Hussein nyimbo nzuri video nzuri haiwezi kubaniwa
Asanten SnS kwa kumleta huyu jamaa namkubali sana anaongea fact kabsa
Yani yuko really siyo medioca
@@nsanzabahizirahma7104 kwel kabsa much love to him
th-cam.com/video/Ny8_jLIzw8g/w-d-xo.html
Conscious Kaka,namekulewa Sana.
Hili interview kali sana sana,Tena interview kiboko iliyowahi kufanywa SnS,big up Hussein Machozi kwa interview kali na kuongea ukweli wa wazi kabisa bila ya unafik wowote,na bila ya kuogopa lolote au kuhofia lolote,hivyo ndo anavyotakiwa mwenye kujiamini,na hongereni pia SnS kwa mambo mazuri.
Hussein machozi nimekupenda bure👏👏👏👏👏
Mimi jee hunipendi??
@@yahyakasunga186 nakupenda pia wangu mtu😁😁😁😁
Mariam nahisi asinge owa ungefanya mpango uwe mkewe
@@phabianpiter3877 sharia yetu ni wa 4 na yeye ndo kwanza Ana mmoja😁😁😁😁😁
Alhamdulillah kaka tumekuelewa Sana mungu akuweke Sana na akuongoze kwenye kila hatua moja ya maisha yako
dah uwezo ni kitu muhimu umejuaje Kama husein anaongea ukweli yeye ameshindwa ni kutafuta mafanikio kama Diamond
Hussen ni moto nakubar sana kaka ..wanafiki inabidi mchukue darasa ...
Nimekukubali mkuu wangu ila mimi team simba, bt you really on talk our legend so hats off bruh
Dah Jamaa Yuko Real Sana Nmependa mzee Unafk sio poa🙌
Akuna mtu anaependa mafanikioya mto
Msingida mweeeeee
Sns mko vizuri i like the way mnafanya Interview mko real and professional 👍
Good presenters. Very professional in this interview.
Wooooooh I used to love Hussein na hiz since I was young 😊😊😊🤗 jamoni
Nilicho kukubali Machozi sio mnafki big up mwanaume unatakiwa uishi ivo
Nakupenda sana Kaka Hussein,kujiweka kawaida tuu you are so humble😘😘😘
Welcome back broo uko real kiba the king yeahhhhh
Wow Asante sana Hussein kwa Heshima Zako, Na Pia kuwa mkweli 👍✌️
Diamond anawatoto wazuri sana Tiffah,Nillan, Dylan na Nasseb Junior. Inaonekaya una ubinafsi Machozi. Diamond plantumz for everyone. 🌍🌍🌍. Nahashuki ngo. Allah Atazidi kumpata riski. Keep going Simba.
Usipaniki
Kwan lazma kila lazima awe na mtazamo wako
Nafurahi sana kuona Hussein tena..nakumbuka Hussein kwenye wimbo wake amewahi kufanya uku Rwanda,...napenda sauti yako.. nakupenda sana kaka...
Umeongea point bro HUSSEIN
YOUR THE REALEST 💛, MUCH LOVE HUSSEIN. UNAONGEA KWELI 🙏🏾
Ni kweli kabisa..Chid Benz ana roho nzur sana
Mi kiba ni mtu wangu😘Hussein hoyee💪💪
Akakufire saaa
Namkubari sana
th-cam.com/video/Ny8_jLIzw8g/w-d-xo.html
@@revocatuspaulo6716 mgeni wa mtandao ww matusi yann mjinga mkubwa ww
Wewe unafaa kuhojiwa
You are soo real bro machozi nimependa interview
Diamond ana wivu na roho mbaya kichini chini...sema hujionesha mwema mbele za watu...nampenda diamond sana ila penye ukweli lazma tuseme...
katombweee
True
@@mu-crzymahez9229 dah 😂😂😂
Humpendi pita kushoto mbwa mla mayai
Nikweli kabisa kwenye macho ya watu anajionyesha ni mwema lakini kwenye panzia ni mtu mbaya sana
This guy has to write a book about music industry!!
Leo nimecheka mbavu zangu kaka sky hongera hussein machozi😘😘😘😘
Pole mbavu
😃😃😃😃😃😃
sipend kumkomesha mtu asiye nacho nimeipenda sana
Sanaaa
From today ww ni mwanangu sana hussen uko real sana
At 4:41 I can feel your PAIN brother. That's a deep message 🙌 "...mziki sio wa kwako na mama ako !..."
Sema huyu kaka anaongea point sana
Musema ukweli ni mpenzi wa mungu nakupenda brother hussen machozi natani nikuone tena kwenye music.
Kig falume
Kwel mi mwenyewe napenda sana husein
th-cam.com/video/Ny8_jLIzw8g/w-d-xo.html
@@jacklinemwanga1691 sauti yake tu inanimalizaga
Nakukarisha manyoni kwa watu wenye ukarim wa hali ya juu
So true, i admire this gentleman whit his honesty opinion. Money ain't everything. Kwa wale kama mimi ambo wamefuatilia Bongo flavor toka kitambo kiba, machozi kina 20%,watu kama fedi Q will always be the biggest and finest bong flavor generation. Positive attitude is life.
Yani interview kumzungumzia Diamond tu aaah hamtowezaaa, WCB for life 🔥🔥🔥🔥
Bila kumzunguzmzia Mond hakuna akae view
🐸🐸🐸
Roho mbaya inamsumbua huyu
Hussein amekuwa mkweli sana
Dahhhhhh Hussein Hussein Hussein nakuita Mara 3 popote agiza soda ntalipa
Hahahaha sawa kaka mwambie anywe hata bia tutalipa
Aangize biriyani nitalipa
@@asinatjuma8088 😂😂😂
Hahahaaa kaka pa1 sana
Daaaah diamond platinumz anamaadui sana kweli bongo ukifanikiwa unachukiwa waziwazi duuu
Kweli bora Ommy Dimpos apewe ukweli!! Ni mnafiki sana huyo jamaa anafigisu sana na wivu kwa Diamond!! Hussein yupo real!!
Mnaosema ameolewa na mwanamke Italy kama nirahic na nyinyi kaolewwni basi
Kama rahisi waende kuolewa
😀😀😀😀 ni wivu 2
🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa
Kbs na wao wakaolewe mamaeeee zao km n rahis kiivyo gfyuuuu wamuache kk angu wa manyoni kwetu fuyuuuu aishi maisha hana ubaya aishi tyuuu😆😆😉
Nakubali hussein simama kwenye ukweli siku zote mzee
Hongera kw vipaji vingi,inshala utakuwa mshindi kw uwezo w mwenyezi mungu🥰🥰
Hussen Machozi nimemuelewa vizur sana...sio mtu wa mauzo na mbwembwe sana ...in short amekaza sana.
Very nice guy open minded like him and thanks you love you SnS
Hussein anasema sio mtu wa kukomesha lakini anakomesha kiaina mbele ya 📷 😁😁😁
Yy kinamuuma nn km babarevo kuenda wasafi huyu anaroho mbaya tena ya kichawi
🤣🤣🤣🤣
Lina roho mbaya hili
Alafu kweli
Huyu si kwamba ni walipishana na na mondi kwenye iyo show tuu,inaonekana ni moja kati ya wasiompenda jamaa tangia hapo yeye ni timu kiba,kwa sababu kuna maneno mengine anaongea ni tofauti kabisa yani ni nje ya anayoyazungumza,anajifanya ameweka wazi kuwa ye ni team kiba ila ameshindwa kuweka wazi kwamba hampendi mond mazima,lkn kwenye maneno yake unaona wazi hampendi,hasa kwenye issue ya baba levo aina uhusiano hapa kabisa,ila ni chuki tuu,yule ni msanii ni mtu wa kamera na kuongea ongea kila wakati,ana uwezo mkubwa wa kubadili mwelekeo wa sanaa,hata yeye kwa jinsi anazungumza unaweza kuwa mtangazaji,wakina swebe,dulla wambua,lil ommy,zembwela,mboto wote wametoa njia kama hizi then baadae wakajiongeza jwa kujifunza zaidi kwa upande huo.
Jamaa anaongea point sana
Kweli kiba anaroho nzuri Sana Hussein amekuapo kwenye game kitambo hvo anamjua Sana kiba na wasanii wengne wote walivyo
Ommy bonge la snitch kumbe
Machozi mkweli Sana mungu akujalie maisha marefu Kaka nakukubali Sana ndugu yangu
Na soma comment 😄😄watu mapovu kma yote hussen kasema kweli wasanii wengi ukiwaita hapo kwenye interview wachague kati ya ali na mond utasikia wote wana kumbe unafki bora yy alivojisemea ukweli umuweka mtu huru
Kabisa
😂😂😂😂😂😂naomba isiwe kweli jamani hussein nimekupenda sanaa sanaaa ndugu yangu😍😍😍😍
Upo real sana hussen machozi nimekupenda bure unaongea ukweliii
Safi sana umeongea vzr sana
Jamaa Anaongea ukweli ishi maisha ya kawaida usimdharau. Mtu dunia tunapita maisha. Yenyewe mafupi
Kabisa yani
Ukipata tumia ukikosa jutia acha atumie
Kweli
Interview bora toka mwaka huuuu umeana Kama unakubaliana na Hussein machoz gonga like
Msanii wangu ww naupenda wimbo wako bora nirudi jera😘😘
Nakupenda sana machozi
Hussein wewe ni nomaa nakukubali umeongea u kweli kabisa haupindishi
Piga kelelee kwa husen yake we we weweee💓
Weeeeeeee
Wewee
Weeeuuuweee👌👌👌
th-cam.com/video/Ny8_jLIzw8g/w-d-xo.html
Mia mia juliet
Hussein kaongea kweli❤️❤️💖💖👌 point blank
Jamani housein umenicekesha umeongea point umundani ❤❤❤
Nikweli kabisa umeongea point sana
Hussein upo vzur bro 👏👏
Napenda sana interview open, bigup sns kama za wasanii wa mbele..
Nimejifunza Vingi Kupitia Hili pindi Machoz Mungu Akubariki Sana
Yan uko Sawa sana Hussein machoz I mss your songs
Ma brother I like you talking cause you open big up
Total ni chuki na ameanza kitambo , HBaba, machozi, KIBA, na Tunda hawa ni group mmoja na ni mabest so kuwa against na mtu yupo juu kimuziki jealous
Interview kubwa kwang ya mwaka 2020 #hussein machoz love much blo wew ni jayant
Hussein nime enjoy show yako na SnS
Hussain twakupenda bro ur so real #kenya
Pole,kila MTU ana namna yake ya kuishi.diamond keep it up
Hoseni machozi huyu ndo msanii wangu bora sana..yn hata usipoyoa nyimbo nyimbo zile za promise Kafia geto ..album ya Kafia geto ndo nilpoanza kukuelewa mwana hoseniiiiiiii
Appreciate bro
Na mkubali Hussein sana kutoka DRCongo. Yani Kaka ni king of interviews. Kaongeya kitoko makasi!!!!
Babalevo kafanya interview zaidi ya 300 kaingiza kiac gan!! Saiv angalau anapata japo lak2
Mashabiki wengi mna low thinking capacity usijifanye shabiki tu kuponda anachoongea kwa sababu unampenda flani huyu mtu kaongea vitu ambayo vipo na ni serious,,, GUD Machozi
Unafiki tu
@Ochieng Odugu wewe ni Mkenya tulia,
@Ochieng Odugu Umesema ukweli bro mtu kama hujulikani unatulia sio kucloutchase na majina ya watu
Wakubali wakatae ukweli uku weka huruu umeongea ukweli ndugu
Ukwel uko wap hapo yy kamsaport nan
Augustino Kambenga kaka yeye ameongelea anavyojua pia ameongelea yeye na management
@@augustinokambenga3437 weee nae una kiherehere
Upo vzr nimeipenda hiyo kuwa muwazi barikiwa sana
Hosei mjinga sana mond amewasaidia wengi sana atasaidiwa wote amekuwa mungu ata mungu lazima awangalie wenye nia
Nice interview
Sky bhna 🤣😀😅
Hussein machozi
Nimekumiss sanaaaaaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Eti watu Wana mbawa huruki zaidi yao, ukitaka kuruka uanarudishwa chini😀😅🤣😀😅
Hujambo
@@ashaamour8708 sijambo
Mambo vipi
Upo wap
@@ashaamour8708 nipo kenya
Naomba namba zako plz
Safi kabisaa hussein machozi binafc nakukubali sana
Kongele Hussein n kweli maneno uyasemayo wabak kueka masheria y urongo kw usaidiz wao
Useni machozi nimekuelewa my brother umekuwa mkweli one love brother
Huyu jamaa hachukii mtu ila Anavyo ongea kama sio kuelewa utachukulia Ana beef lakini hapa ni fact tu naku kubali hussein nafkiria pia ulaya imekufunza kitu ila dini pia watching you from Sweden🇸🇪grace Mia frateli Hussein vieni venuti Sverige
Hajji uko Sweden wapi,,Mimi Niko Stockholm
@@tinashesved1598 nipo Halmstad
@@adijaniyonkuru9731 nambie chuki ipo wapi hapo
Mimi nimemuelewa hussen
Tatizo Hussein anaongea ukweli mtupu...sky na creez leo wamepatikana🤣🤣🤣call white white en black black
Nimecheka sana
Wonderful 👏🏾
Machoz kama machoz, umeua mzee baba duhhh!!!!!!!
A boy from Manyon🔥🔥❤️
Nyumban kwetu
Kizazi husen
I like it 😘Mungu amtunze Hussein na familiar yake 🙏
🙌🙌🙌💥💥❤❤❤ kizazi Sana husen
Rwanda tunakupenda sana...ubalikiwe kaka..💓💓💓💓💓
Hilo kweli sasa Hivi Baba levo hatreni Tena Kama Mwazo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahahahah
Hatreni😂😂😂😂😂
Kaka umeongea point sana big up