Nimesikiliza nyimbo zote zilizotoka jana na leo, kusema ukweli kuna watu wanabebwa na maji yao lakini nyimbo zao ni za kawaida sana. Ila hii ni nyimbo bora sana kuliko zote zilizotoka jana na leo. Ongereni sana kwa mziki mzuri
Nimesikiliza vzuri kabisa Audio❤❤❤❤ wow thank you Zee Cute 🥰 umefanya kitu kikubwa kwenye Mziki wako kazia hapo hapo tunakuona kwenye borders za ncho zingine mziki unaitaji business language inayo connect na watu wengi zaidi, pia ubunifu wa Vanillah kwenye Kiswahili umezidisha nyimbo kuwa nzuri sanaa, ulifanya chagua sahihi #Boyfrend is one of the biggest 🎯 Hit 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kinachoenda kutokea uko TH-cam leo ni balaaaaa kabisa, najua Zee Cute this time amekuja na comeback kubwa sana lazima kuna mtu amekalishwa umoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I'm sure hii ngoma itakua kali sana kuna mtu kakojolewa tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I'm excited to see what happens 💥💥💥💥
Nimesikiliza nyimbo zote zilizotoka jana na leo, kusema ukweli kuna watu wanabebwa na maji yao lakini nyimbo zao ni za kawaida sana. Ila hii ni nyimbo bora sana kuliko zote zilizotoka jana na leo. Ongereni sana kwa mziki mzuri
Nimeunga mkono hoja💪
Aswaaaaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Ndo Vanillah Huyo sasa, jamaa anapatia sana
Fact Nyingine Katoa King Kiba Na Kaka Yake Dury Wameuwa 🔥🔥🔥
uyo demu hana nyimbo aliyoimba mwenyewe tangu nimjue,haitoboi ana nyimbo christian bela,amadai na zngne
Tulio fika kwajili ya #spana vanilah naesabu LIKE
Tulio kujaa Baada yakumuona vanilla ❤
Kanileta vanillah hapa embu nipeni like zanguuu khaa😂😂😂
Demuu atakwambe,ukupige,sm,wakati,kabla,yake,unaokibao,kakose😂,wengi,wanatmalize,MB, Internet,😂bureeeeeeeeeeeeeeekwenda,likes,vanillaaaaa!!!!
Nimependaa zee cute ana like comment zetuu ❤❤❤
Hahahahahaa
kanyimbo kanafaaa
@kodyyiko aya nichekee😂😂
Here we gooooo🎉FUNDI SPANA WA HIZI KAZI @SPANA INAYOFUNGUA BORITI YA KILA MZIKI MZURI🔥🔥🔥🔥🔥
Nyimbo yoyote aliyopo vanillah kwangu ni nyimbo bora sanaaa 😊😊
Vanilla wape vitu man 🔥🔥🔥🔥🔥
Vanilla always on top....Some love from +254❤ 🔥
Vanillah mtu mbaya
Kutoka Congo ici 💥💥💥💥
Ma fans wa vanillah toka Congo tujuwane
Vanilla anaimba sana next time apewe tuzo chipukizi
Mbna alishapewa tayar
Nimesikiliza vzuri kabisa Audio❤❤❤❤ wow thank you Zee Cute 🥰 umefanya kitu kikubwa kwenye Mziki wako kazia hapo hapo tunakuona kwenye borders za ncho zingine mziki unaitaji business language inayo connect na watu wengi zaidi, pia ubunifu wa Vanillah kwenye Kiswahili umezidisha nyimbo kuwa nzuri sanaa, ulifanya chagua sahihi #Boyfrend is one of the biggest 🎯 Hit 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
WATU WA KINGS MUSIC 🎵
Huwa sipendi kurudi wimbo mara2 Ili hii imenibidi,salute to vanillah
SPANAAAAAAAA 🔥🔥🔥🔥🔥🙏
Nyimbo kali sana vanilla🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Vèxboytz hapa msanii under ground
Balaaa tupu🎉🎉🎉🎉🎉
Huyu Vanilla azingatiwe ana kitu cha ziada ambacho wasanii wengi hawana.
Umeona eeh❤❤
Hivi hauoni yuwajiita vanillah🎉😂
I love the first producer who starts the music is very good that brings you to the level of Tyla
Maanina Vanillah umeupiga mwingi
Yani anajua mpaka anakela kwakwel vanillah 🙌🔥
Anakera sa anakela ndo nn
Vanillah umetisha kaka from Mz🎉🎉🎉
Huyu vanillah mamae 🔧💪👑👑👑👑👑👑
Spana Yey Kaz Ni Kutow Vitu🔥🔥🔥🔥✅
Mr Hit song vanilla ♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥
Kinachoenda kutokea uko TH-cam leo ni balaaaaa kabisa, najua Zee Cute this time amekuja na comeback kubwa sana lazima kuna mtu amekalishwa umoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 I'm sure hii ngoma itakua kali sana kuna mtu kakojolewa tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 I'm excited to see what happens 💥💥💥💥
😂😂😂😅
Dada Zee hii sound mbona balaaaa 🥰🙌
Wht a Song 🎉🎉🎉🎉 wht a vocal 🎉🎉🎉 wht a Blessing 🎉🎉🔥🔥🔥🔥 Wht A Talent 🔥🔥🔥🔥🫶🫶🫶
Like za vanillah hapa ivi
Nikama namsikia maua sama ila bas vanilla umeua kaka pia dada zee
kaliii sana vanilla umeua
Vanilla niwa moto sana.
Ngoma kali mno niko kwa gari nakula vibe tu
Vanillah voice is such an amazing 🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯💯💯💯
Nyimbo Kali sanaa SEMA watu Bado hawaja isikiliza ukitoa ushabiki wao watu hii Kali nabidi ifike mbali
Spana is another level
CONGO 🇨🇩 tupo nyuma yako
💥💥💥 #Boyfriend to the world 🌎 can you be my boyfriend 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Keep shining 🌟 zee cute
Management iko safi amna baya @@geohmakerseven
Mtu na nusu vanillah
Kaka we hakuna wa kukuweza mwaka huu🔥🔥🔥
Hatarrr
Unajuaa
Kinoma
Fire
Amizng
Nyimbo yangu pendwa ukitoa Ile album ya the godson, hichi kichupa hakiniishi ham
Nyimbo nzuri sana
@@tourguidertanzania5143
Huu ndio muziki wa kusikiliza✅
Best song,,sio❤❤❤ ya kawaida tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Vanilla kwajisi navyo ona kalibia ujipat pate vile mana sikwasauti ilo walahi tukupe mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Vanilla h congratulations
Kawimbo fulani amazing sana mumeua kinomanoma nyote kwa pamoja🫡🔥 🔥 🔥
Spana umeua sana 🔧
jamaa anajuwa sana simpingi ata kidogo.😍😍
Vanillah anazid kutish yn
Yani spana huruma hata na mtoto wa kika moto moto tu nakubali jeshi langu 🔥🔥🔥🔥
Yani vanilla kama mwaka Huu hawajakupea tuzo ya mtunzi bora Tanzania mimi nakupa Mungu akuzidishie utunzi Bora zaidi kaka unajua snaaa ❤❤
Vanilla wa🔥
Spanaaaaaaaaaa
Best song of the year for Female artists 🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥🔥🔥 #topsongs📉
Nice song hakika mmeshuka vyema kila mmoja ametendea haki nafasi yake the best song ya kufunga mwaka 2024 2:33
SPANA 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩
Nice song ❤
🎉🎉🎉💪
Ila vanilla❤❤❤😢
2:19 🌠🌠🌠🔥🔥🔥
Definition of Good music❤
Kings music nko hapa ju colabo na kijana wetu I😢bra
Vanilla 👑
Oya WANANGU vanilla anaandika aise mungu katupa kama zawad big talent brod
🦅
Vanillah 🎉🎉
Vanilla anafanya sana kazi big up☀️
🔥🔥🔥🔥🔥 Globally sounds approved
LIKE BARAKA THE PRINCE... LIKE VANILLA 🤗😎
Ngoma ya moyo ❤️
spabaaa
Vanilla chukuwa hii mauwa kwza🎉 nimependa hii sana kwa zote umeto kwa musimu huu 254 kenya nimeikumbali🎉❤🔥✈️💥
Vannilah Spanaa anajitumaa sanaaa na kuimbaaa anajuaaa sanaaa ngomaaa kalii sanaaa
❤❤❤😅vanila mnyama kama mnyama
Who's this girl she's so talented ❤
Vanillah🎉
Ila vanillah 👑 mwaka huu umekalisha sanaaaa 🔥🔥🔥
Nyie vanilla 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Royal vocal❤ mziki mzur let's go challenge tiktok🎉🎉🎉
Tatizo ni alama niliyoachiwa na watu kama wewe..
Aisee vanillah
Vanillah twende taratibu baba😅🎉🎉
Basi mi sina chakusema kwa huyu vanilla jamaa anajua mpaka anakera
Vanillah 🔥🔥🙌
🔥🔥🔥
This is an international song
Vanillah vc es ceak ❤❤
Vanilla you killed the soung
Ngoma kali kinoma mmeua kinoma noma yani
Kali sanaaaaaaa 🔥🔥🔥
❤❤❤❤
Cute kawimbo kako cute 😊❤
Vanilla mashahil yako yanathaman Kama zao lenyewe
❤❤❤❤
Vanilla unatisha 🎉
Kig mwamba v
Cutee jamani, nakuaga nimekuaminia sana kwenye mziki💯🔥🔥😊upo vizuri kabisa #ZeeCute
Hit song love from burundi
Good song 🎉🎉
Ila vanillah noma Sana ❤❤❤❤
Vanilla...is a walking art...❤❤❤❤
#spana🔥🔥🔥
Mauwa nmber 2 jaman zee