Ukweli ungeuzwa, mi ningenunua nikupe unipende, ivi kwa Nini unashindwa ku amini kama mimi nakupenda, wewe Aya nikupe Nini iliujuwe nakupenda, OK BABY NIFANYE NINI ILI UNIAMINI AMA NIKUPE NINI ZAIDI YA AYA MANENO NINAYO YATEMA MDOMO MAMA, yani ao kisa yanatoka moyoni auyaoni njo maana auniamini, ukweli njo uwo kuwa, naomba unipe Amani, Uwe wangu wa ndani, penzi Ai chenge kwa money, ai chenge kwa bahati, ai chenge kwa rangi,upendo nisamaani,naomba uamini ninayo ya sema Inatoka ndani ya ntima, mimi ni mtu mzima kwani naitaji heshima,usione noma na wala usiogope kusema,uziuzunike naiyo mistari najuwe siko wakwanza,wapo walioanza kukueleza aya maneno sio mageni lakini autatambua, atani nine azifanani,naomba unipende atakama sina madini , matapeli wanadanganya kama vile mashini, nipende mimi masikini
Nashukuru 😊
Bien
Ilitisha ngoma enzi izo big up Sana ulitisha ludi kwenye gemu tunakumis sana
Nyimbo itaishi sana hii kaka💪🫀👏
Those deizzz
Ado alitisha.
Belle alitisha.
2023 still hot
Ulituwakilisha vyema Wana Kantalamba
Ukweli ungeuzwa, mi ningenunua nikupe unipende, ivi kwa Nini unashindwa ku amini kama mimi nakupenda, wewe Aya nikupe Nini iliujuwe nakupenda, OK BABY NIFANYE NINI ILI UNIAMINI AMA NIKUPE NINI ZAIDI YA AYA MANENO NINAYO YATEMA MDOMO MAMA, yani ao kisa yanatoka moyoni auyaoni njo maana auniamini, ukweli njo uwo kuwa, naomba unipe Amani, Uwe wangu wa ndani, penzi Ai chenge kwa money, ai chenge kwa bahati, ai chenge kwa rangi,upendo nisamaani,naomba uamini ninayo ya sema Inatoka ndani ya ntima, mimi ni mtu mzima kwani naitaji heshima,usione noma na wala usiogope kusema,uziuzunike naiyo mistari najuwe siko wakwanza,wapo walioanza kukueleza aya maneno sio mageni lakini autatambua, atani nine azifanani,naomba unipende atakama sina madini , matapeli wanadanganya kama vile mashini, nipende mimi masikini
Mwamba za siku mtu wa swax
2023 nipe like
2024❤❤❤
Bro hii ngoma uliimba sana noma sana
Pamoja xna
Mwaka 2010-2011 hii au nakosea?
Hii ngoma huwa nasikiliza pindi napo zinguliwa na wife material
ADO hizi flow umemwachia Young Killer
Ahh nashukuru bro
Ngoma kali
Gud
thanx tupo pamoja
Belle umetsha sanh
Ado gado umepotelea wp wewe
Nipo mkuu
@@adogado1870 pamoja sana mkali🔥🔥🔥
Jama kaenda wapi?Burundi tulikua tunamkubali
Nipo sana brother
Mpaka Sasa huwa naikubali hii nyimbo love u bro 😘😘