150,000,000 MIL👈🏻TANGAZO NYUMBA HIHAPA INA UZWA IPO DAR ES SALAAM KIGAMBON WILAY MPYA YA KIGAMBONI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 75

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 ปีที่แล้ว +6

    Mara nyingi hizi nyumba nzuri zinakuaga na matatizo, Unaweza kuinunua afu usiifrahie, Mara unakuta kuna mizimu aidha mapepo au maagano magumu, Maana mpaka mtu kujenga nyumba nzuri hivo na kahamia hajakaa muda anaondoka gafla! Inatisha, Ila kwa uzuri, That's the best house! Any way! Siwezi jua kwa hio!

    • @dalalihakweahakweya6663
      @dalalihakweahakweya6663  ปีที่แล้ว +2

      Hapo mawazo yako ndipo ya ripo ishia na ufaham wako

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว +1

      Wewe mshirikina ndio maana unafikiria vyenginevyo. Lile liliopo kwenye akili yako ndio dhana ma vitendo vyako. Wacha kuharibu biashara za watu kwa fikra mbovu za kwako. Nenda kajenge yako pirini. Majini popote wapo na wanaishi wanapopenda kama viumbe wengine hiwezi kuwaepuka na hapo ulipo wapo.

    • @bashirbaruan3969
      @bashirbaruan3969 ปีที่แล้ว

      Hiyo bei na nyumba havifanani Kuta kuwa najambo halipo sawa hapo angalieni msije pigwa

    • @piusgadau6328
      @piusgadau6328 4 หลายเดือนก่อน

      acha kuharibu biashara za watu masikini mbwa mkubwa wewe

    • @chrisshonga
      @chrisshonga 2 หลายเดือนก่อน

      Mawazo ya kimaskini hayo hebu futa huo ujumbe wako ukiweza umetia aibu

  • @SimonaDancila-rv6uh
    @SimonaDancila-rv6uh 2 หลายเดือนก่อน +1

    Really nice!

  • @harunakaishozi
    @harunakaishozi หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du ปีที่แล้ว +1

    Nyumba nzuri but over the top decoration. A house should be a home, not an object of art!

  • @jumaabubakar7368
    @jumaabubakar7368 ปีที่แล้ว +1

    Dah nyumba mzuri

  • @sashaomary4982
    @sashaomary4982 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupataje number zako email yako haiko active.

  • @hemedkindau1045
    @hemedkindau1045 2 ปีที่แล้ว +3

    Boss bado ipo

  • @barakamsuya2403
    @barakamsuya2403 ปีที่แล้ว +1

    Dalali upo vizuri

  • @suleimanjumamaulid879
    @suleimanjumamaulid879 ปีที่แล้ว

    Nyumba nzuri sana kasoro yake vyumba vidogo sana

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว

    Fanyeni kazi vijana na hawa wenye husda watabaki kutisha wenzao wao hawawezi kujenga hata kibanda cha udongo. Wataishia kulala seating roon wasubirì watu waingoe kulala chumbani ndio wao watandike ukumbini kwenye sofa walale. Msiwe negative kwenye maendeleo ya wengine

  • @peninasnyamhanga4860
    @peninasnyamhanga4860 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nyumba nzuri sana

  • @sheikhalumbalambala2655
    @sheikhalumbalambala2655 5 หลายเดือนก่อน

    Bado ipo?

  • @BarreMushi-yz4wt
    @BarreMushi-yz4wt ปีที่แล้ว +1

    Nyumba nzuri. Ila, Rooms zingine hazina makabati.

  • @hamidahassan1282
    @hamidahassan1282 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyumba mashaalla

  • @milonmilestz4312
    @milonmilestz4312 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah 🔥❤️

  • @baseselarashidi5968
    @baseselarashidi5968 ปีที่แล้ว +2

    Wageni kutoka Marekani wanaweza kununua nyumba?

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 ปีที่แล้ว +2

    Shida mapepo ndio shida kubwa heri nijenge yangu kuliko ningie kwa bala maana maagano shida

  • @thomasgogomoka6404
    @thomasgogomoka6404 ปีที่แล้ว

    Bado ipo nyumba hii?

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 7 หลายเดือนก่อน

    Aiaeeee hii yenyewe kabisa ❤❤❤

  • @shaminaabdul8427
    @shaminaabdul8427 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah mzur

  • @towomayala1549
    @towomayala1549 ปีที่แล้ว

    nyumba fupi Sana, halafu tiles ndiyo Tena zile za low quality, kiwanja kidogo no sehemu hata ya garden ndogo tu thamani hiyo 150 Haifananii hata

  • @julianaswai7846
    @julianaswai7846 ปีที่แล้ว +2

    Eti benk kuu

    • @dalalihakweahakweya6663
      @dalalihakweahakweya6663  ปีที่แล้ว +2

      Benk ku boss siwajuwa mavi twaya penda nirazima yahifaziwe pazuri ndomana ya benk kuu

  • @hamidahassan1282
    @hamidahassan1282 2 ปีที่แล้ว

    Mtaa mzuri sanaa

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

    Mbona bei rahis ivyo. Alafu ninkigamboni

  • @reagieotieno3002
    @reagieotieno3002 ปีที่แล้ว +1

    Kwa dolla shillingi gapi tafathali

  • @hafidaabdul6831
    @hafidaabdul6831 ปีที่แล้ว

    Kuzuri bado opo

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 2 ปีที่แล้ว +1

    Parking ndio shida hapo

    • @shijaenock7638
      @shijaenock7638 ปีที่แล้ว

      Gari 3 unapak bro hapo hakuna tatzo parkn

    • @shijaenock7638
      @shijaenock7638 ปีที่แล้ว

      Nmeikubal raman hiyo naweza pata

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 2 ปีที่แล้ว

    Mtaa mtamu sana

  • @sheikhalumbalambala2655
    @sheikhalumbalambala2655 ปีที่แล้ว +1

    Je bado ipo?

  • @jumaabubakar7368
    @jumaabubakar7368 ปีที่แล้ว

    Je ishauzwa au bado ili nimtume mtu wangu aje kuiona live

  • @AshaAsha-w9v
    @AshaAsha-w9v ปีที่แล้ว +1

    Je munauza kwa mtu hasie mtanzania mm ni mkenya

  • @sabilibrahim2457
    @sabilibrahim2457 8 หลายเดือนก่อน

    Hizi jenga uza

    • @dalalihakweahakweya6663
      @dalalihakweahakweya6663  8 หลายเดือนก่อน

      JENGA NA WW UZE JENGA TUONE YAKO HAPO ULIPO MAISHA YAKO KWA SHEMEJI YAKO DADA AKO AKITWANGWA TALAKA NA WEWE HUNA PA KULALA, UME JILEGEZATU HAPO JENGA UZA ???

  • @hamidahassan1282
    @hamidahassan1282 2 ปีที่แล้ว +1

    Majirani nao wakovizuri

  • @josephmalisa2987
    @josephmalisa2987 ปีที่แล้ว +3

    Huko nasikia kuna majambazi , rafiki yangu keshashambuliwa mara 3 mbali na huo ulinzi ulioutaja

    • @dalalihakweahakweya6663
      @dalalihakweahakweya6663  ปีที่แล้ว +1

      Acha ujinga ndugu waeza nambia wap pasipo kuwa na uharifu hapa tz

    • @prettymasha2430
      @prettymasha2430 ปีที่แล้ว +1

      Kuharibu Biashara za watu tu 😮😮😮

  • @shijaenock7638
    @shijaenock7638 ปีที่แล้ว

    Vyumba vdgo vdgo sna

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว +1

      Kwani wewe unapolala unaenea chumba kizima? Sio vidogo hivyo vipi poa mbona

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      Mnafiki huyo hana jipya

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว

    Ukiwa mshirikina ndio mawazo yako ndio hayo tu kuharibia wenzio. Watu wanatafuta rizki zao kwa mikono yao wewe unaanza kuwaharibiwi watu kama nyie hamtatoboa maishani mwenu maana akili zenu zipo kwenye ushirikina na kuharibia waliokutangulieni kwa maendeleo.

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 ปีที่แล้ว

    Nanyumba nizuri jamani

  • @AboubakarSaid-l7o
    @AboubakarSaid-l7o 9 หลายเดือนก่อน +1

    Bado ipo?