jamani eee mamlaka husika umefika wakati wa kukusanya na kuhifadhi historia ya mkumbuu na ile historical site ihifadhiwe.....earliest history in zanzibar.
Bwana Mohammed Samahani kidogo,usipate ukakasi inawezekana sana kwani hapo uarabuni na pemba kuna umbali gani?na pia ni wapemba wangapi baba zao wamezaliwa huko arabuni?basi si ajabu wafuasi wa Nabii Isa walkuja kufanya biashara au kuishi.lakini pia kuna wafuasi wengine waliishi Ethiopia hadi Mtukufu MUHAMMAD aliridhia Maswahaba wake Wakatafute Nusra huko.
Masikini pemba imetawazwa kidini kumbe
jamani eee mamlaka husika umefika wakati wa kukusanya na kuhifadhi historia ya mkumbuu na ile historical site ihifadhiwe.....earliest history in zanzibar.
Daah kitambo sana 2008 nilikuja kutembea kishule
wewe mtangazaji hata hujuw unaitikia nini sasa kila dakika ahaa ahhhhaa ahhhhha
Huyo sio mtangazaji ni mtaalii Tu kaamua kuchukuwa record Tu ujue kutofautisha Kati ya mwanahabar na mtalii usichanganye mafaili😂😂😂😂
Ninyumbani yuko kabisa
nice
Kaka Ali huyu mzee ni nani hapo ndagoni?
Huko mkumbuu ninyumbani kabisa
Vp
hahaha hizi historia wakati mwengine zinanipa ukakasi wafuasi wa nabii Issa
Bwana Mohammed Samahani kidogo,usipate ukakasi inawezekana sana kwani hapo uarabuni na pemba kuna umbali gani?na pia ni wapemba wangapi baba zao wamezaliwa huko arabuni?basi si ajabu wafuasi wa Nabii Isa walkuja kufanya biashara au kuishi.lakini pia kuna wafuasi wengine waliishi Ethiopia hadi Mtukufu MUHAMMAD aliridhia Maswahaba wake Wakatafute Nusra huko.
@@suleimansharjy9890 wasiwasi wann