MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2019

ความคิดเห็น • 1K

  • @MohammedAli-wy2pb
    @MohammedAli-wy2pb 4 ปีที่แล้ว +25

    Kama Unamuona jamaa ni Bonge la Hodari gonga like hapa

  • @salumuhamissi3492
    @salumuhamissi3492 4 ปีที่แล้ว +56

    Wengine munajifanya kulaani hyo kaz lkn mukisia sauti ya mwizi munatoka majumbani kiberit na petrol kumchoma mwizi

    • @bukheribukheri798
      @bukheribukheri798 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeshasema mwizi

    • @khadijakassimu3710
      @khadijakassimu3710 4 ปีที่แล้ว

      Heri yeye anaechoma maiti kuliko raia wanaochoma mwizi(Mimi shemeji yangu ni Muingland lkn pia alipofariki alichomewa kwao England ,mdogo wangu ndio aloenda akarudi na jivu

    • @nellywizz9631
      @nellywizz9631 4 ปีที่แล้ว

      Tunaongea tu ila wote atuna akika km kizikwa chin ya udongo ndo njia sahihi

    • @lassonlwemaw9586
      @lassonlwemaw9586 4 ปีที่แล้ว

      Wewe akili auna mwiz alitumwa kuiba

    • @hadijamatola5230
      @hadijamatola5230 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kaka iyo ni kazi km kazi nyingine ila dahh km ni mpenzi wako mhhhhh anaweza kukumaliza ila ni hisisia zangu🤗🤗

  • @kelvinaudax8287
    @kelvinaudax8287 4 ปีที่แล้ว +235

    Duuuuh kama umeshangaa kama mimi like

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 4 ปีที่แล้ว +52

    Aiseee huyu kweli kazoea kuchoma choma mpaka miwani yake aliyotuvalia ni ya kuchomea watu

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 4 ปีที่แล้ว +56

    Halafu unasema eti we Unafanya KAZI ngumu, Sikia madini HAYO, halafu jamaa hawazi wala nini

  • @sellah4603
    @sellah4603 4 ปีที่แล้ว +85

    Kama unaona miwani ya muojiwa inakuzinguwa gonga like hap chin🤙

  • @minaziparasu3352
    @minaziparasu3352 4 ปีที่แล้ว +96

    Kama ww nimuislamu basi mshkuru Allah namuombe upatemwishomwemaa.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 ปีที่แล้ว

      Minazi Parasu amini amin amin

    • @mariamvicent7312
      @mariamvicent7312 4 ปีที่แล้ว

      Minazi Parasu Alhamdulillah
      Aameen inshaallah

    • @nassormussa4236
      @nassormussa4236 4 ปีที่แล้ว

      Amiin

    • @lawmaina78
      @lawmaina78 4 ปีที่แล้ว +2

      Uislamu wapi na wapi, kwani jamaa anachoma na kuwatafuna? Mtu akifa mwili wake kwisha unarudi kwenye majivu.

    • @hildababyabdullah5627
      @hildababyabdullah5627 4 ปีที่แล้ว

      Amiin Allahumma Amiin

  • @bensonmahenge889
    @bensonmahenge889 4 ปีที่แล้ว +57

    ALie sikia mtu anakithembe kama hamorpa agonge like hapa

    • @ashurasaburi8967
      @ashurasaburi8967 4 ปีที่แล้ว +1

      Na wewe ukifa uchomwe tu

    • @princess-uf5ux
      @princess-uf5ux 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ashurasaburi8967 kwel

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ashurasaburi8967 hahaaaaaa

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @lissagloo350
    @lissagloo350 4 ปีที่แล้ว +80

    The way he is speaking kama anachoma takataka😭😭

    • @michaelchiwalo8444
      @michaelchiwalo8444 4 ปีที่แล้ว +3

      Hahahhaha si ndo hapo ,
      Kwahiyoo anaombea wakufee wengiii

    • @jessebiseko330
      @jessebiseko330 4 ปีที่แล้ว +6

      Maiti ni takataka tu, tena angalau taka taka unaweza kurecycle. Vitabu vinasema binadamu ni udongo tu, ukishakufa huna thamani tena.

    • @reyham1722
      @reyham1722 4 ปีที่แล้ว

      Hahahah

    • @emmanuelandrew9941
      @emmanuelandrew9941 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa ana roho ngumu kama nn
      Atar sana ni kwel kabisa kama anachoma takataka an

    • @naamohamed9964
      @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelandrew9941 dahhh hatarii sana

  • @ipyanaibrahim4122
    @ipyanaibrahim4122 4 ปีที่แล้ว +16

    Alie sikia kifua chest weka like hapa

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa kifua chest

  • @salehsports6372
    @salehsports6372 4 ปีที่แล้ว +2

    Uislamu ni Neema kutoka kwa Muumba. Alhamdulillah. Nakushukuru Mola wangu nimezaliwa katika Uislamu na nife na kuzikwa Kiislamu. Allahuma Amiin.

  • @yusufmohamed7161
    @yusufmohamed7161 4 ปีที่แล้ว +51

    Uislamu ni neema Alhamdulilah Allah amekataza kiumbe kumchoma moto kiumbe mwenzake

  • @johnshigela9369
    @johnshigela9369 4 ปีที่แล้ว +38

    Nimeona Kama miladi Ayo umeishiwa pozi Leo kwa interview ya ajabu leo

  • @elishamwabalogile8775
    @elishamwabalogile8775 4 ปีที่แล้ว +40

    Kiuno nde kinachelewa 😀😀😀😀😀😀😀😀 nde kichwa kinalia pauuuuuuu kama umesikia gonga like

    • @sophiakitaly3227
      @sophiakitaly3227 4 ปีที่แล้ว +1

      duh umenishinda tabia imebid nirudie kumskiliza tena nmecheka mwenyew kma chiz

    • @elishamwabalogile8775
      @elishamwabalogile8775 4 ปีที่แล้ว

      @@sophiakitaly3227 nomaaa sana

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      @@sophiakitaly3227 kazi kazi

    • @elishamwabalogile8775
      @elishamwabalogile8775 4 ปีที่แล้ว

      @@tktvtz 😂😃😂😂😂 et pauuuuuuu nimecheka kinyama

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +19

    Aliyesikia lose report tujuane

  • @asiakheir6406
    @asiakheir6406 4 ปีที่แล้ว +96

    Alhamdulillah kuwa muislam

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +6

      Let's appreciate together we can in God we trust say alhamdullillah

    • @uislamutv2573
      @uislamutv2573 4 ปีที่แล้ว +15

      Allah atujalie tufe halikua tupo waislamu thabiti

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 4 ปีที่แล้ว +3

      Alhamdhulillah

    • @najmasalimsalim2741
      @najmasalimsalim2741 4 ปีที่แล้ว +1

      Alhamdhulillah

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +2

      Naam da Asia hakika tunafaraja kubwa kua waislamu

  • @atwityemkolla2971
    @atwityemkolla2971 4 ปีที่แล้ว +9

    Mmh inatisha aseeee. Mungu tusamee madhambi yetu,turehemu kwa rehema yako iliyo kuu

  • @onsportleo1965
    @onsportleo1965 4 ปีที่แล้ว +6

    Aliyesikia magogo mabichi atie like hapo

  • @lucasdismas4314
    @lucasdismas4314 4 ปีที่แล้ว +7

    “mtu mweusi anapokuwa na njaa ndio anakuwa na akili” 😂

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 4 ปีที่แล้ว +23

    Astaghafrullah Astaghafrullah Astaghafrullah kwa nini hamuwaziki muogope mungu kaka yangu tubu kabla nawe siku haijakufika

    • @adamjuma9847
      @adamjuma9847 4 ปีที่แล้ว +1

      Asa kosa lake ni nini wakt kila jamii ina utaratibu wake wa mazishi

    • @neemakawogo7153
      @neemakawogo7153 4 ปีที่แล้ว +2

      Ukifa huna thamani tu ni vumbi tu ww

    • @atukuzweluhanga7401
      @atukuzweluhanga7401 4 ปีที่แล้ว

      Kuzika ni utamaduni

    • @mariakayana9956
      @mariakayana9956 4 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni sheria ya China..kila nchi inasheria zake

    • @anitajames4394
      @anitajames4394 4 ปีที่แล้ว +1

      😀😀😀 nimesoma comment nimechekaa, jamani huyu baharia hana makosa,cose kila kabila wanautaratibu wao, sema inshu iliyopo hapa wote tuliosikiliza ni waogaa,maana yeye hapa ameangalia pesaa, uwoga akaweka pembeni😀😀😀

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 ปีที่แล้ว +29

    Dah Al hamdulillah Allah atustiri sisi na vizazi vyetu na waislamu wote kwa ujumla in sha Allah

  • @petermgombozi8098
    @petermgombozi8098 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa akukute na mkewake anakuchoma kama wachina😂😂😂

  • @merinaissulu9896
    @merinaissulu9896 4 ปีที่แล้ว

    Kama unaamini kwamba mtu hawezi fanya kazi hii bila ukatili gonga like hapa

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 4 ปีที่แล้ว +6

    Sio wachina tu hata wewe mtangazaji ukianguka tu hapo amekupiga moto

  • @eliyamalele.masindi4910
    @eliyamalele.masindi4910 4 ปีที่แล้ว +5

    siyo kuchoma bali ni mazishi maana kunaaina nyingi za mazishi.
    ukisikia wanaozika wanasema majivu kwa makivu ndiyo hii.

  • @thetwen2167
    @thetwen2167 4 ปีที่แล้ว +11

    Mtu mweusi akishiba hana hakiri 😂🤣😂🤣

    • @shaninaftary1693
      @shaninaftary1693 4 ปีที่แล้ว

      😆🤣🤣😆umefanya nicheke kwa sauti wallah

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว

      Ha ha ha ha ha ha katutukana hapa .

    • @carenmsafiri8498
      @carenmsafiri8498 4 ปีที่แล้ว

      the twen 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asyaibrahim1504
    @asyaibrahim1504 4 ปีที่แล้ว +17

    Mtangazaji nakuona umee vaa kofia juu.... Ndio ujuwe na mm pia nafanya utafiti wangu 🤣🤣🤣 kwenye miwani

  • @fursatanzania6040
    @fursatanzania6040 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa ni mtu safi sana, So cool...Big up Mmarekani...

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 4 ปีที่แล้ว +3

    SUBHANNALLAH...! Kweli raha kuwa Muislamu MashaAllah. Coz Uislamu faradhi/mambo muhimu ya kumfanyia maiti ni ma4; 1) kumuosha, 2) kumvisha Sanda, 3) kumsalia na 4/mwisho ni kumzika Kaburini kwa kuzingatia vigezo na cfa za Kaburi kwa mujibu wa Kaburi la Muislamu. Kuichelewesha maiti zaidi ya cku, Wks, miezi ni kuinyima/kuicheleweshea haki zake/malipo yake marehemu eg' kama marehemu ni wa Peponi mnamchelewesha kwenda ku2mia/kufurahia kheri zake na kinyume chake kama marehemu anashari/dhambi zake (m2 wa Motoni) kumchelewesha kumzika inaweza kupelekea kushea nae adhabu zake/ghadhabu za Allah zinaweza kukukuteni/kuuipateni nyote kwa kumchelewesha kumpeleka akahukumiewe. But inashangaza na kusikitisha kuona/kusikia ndg kuridhia ndg wenu/maiti wenu achomwe moto na kumuogopa hata kutorithi v2 vyake, bac hata c wange wapa Masikini hivyo via!. Jamani nyie msobahatika kuwa Waislamu hebu usomeni Uislamu muuelewe/ulizeni mueleweshwe msikubali kusikiliza na kuamini uzushi na propaganda za Wapagani/Makafiri (Wafuasi wa Shetani). Kuzika ni miongoni mwa ibada kama ibada zingine na image yeyote ili iitwe ibada lazima ibada hiyo iwe imekubalika/imerdhiwa na Mungu co kujibunia /kuji2ngia. But Wasokuwa Waislamu hawana dini balinwamenibunia mifumo ya kuabudu na kujifanya ndo mfumo/njia walofundishwa na Mungu kumbe ni Ushetani, Upagni na Ukafiri m2pu. So someni maana ukweli hamfanyi ibada za kweli ni kujifurahisha nafc zenu 2..! Hata ndoa means c ndoa bali ni kuhizinisha kuzini/zinaa kwa kurithi mila/dini (njia) iloaccwa na Wapagani/Makafiri kama msingi wa upatikanaji wa dini c sahihi means ibada zote zifanywazo c sahihi/ni batiri. So jiandaeni ya kumjibu Allah/Mola Muumba.

    • @betramraphael7219
      @betramraphael7219 2 ปีที่แล้ว

      waislam mna vikosi vingi sana vya kigaidi hapa duniani.
      hakuna raha yeyote hile

    • @boniphacelusato
      @boniphacelusato ปีที่แล้ว

      Huna haki ya kumuita Mtu Kafiri

    • @J_Jeromy
      @J_Jeromy 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@betramraphael7219kujitoa muhanga na kuvalishwa mabomu we huogop,

  • @selemanmohammed3523
    @selemanmohammed3523 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaaa nimekubali sana yani kumbe ni party time bt style ana kazi yake!

  • @florahburton9641
    @florahburton9641 4 ปีที่แล้ว +24

    Yan hata mkeo akizingua unaweza mchoma wew

  • @jogoolashamba3074
    @jogoolashamba3074 4 ปีที่แล้ว +6

    Ni kweli kuna mchina mmoja niliwahi shuhudia alikaa mochwari kama mwezi hv

  • @abdulfatahjuma5355
    @abdulfatahjuma5355 4 ปีที่แล้ว +10

    Duuh !! Kweli njaa lakini hizi nyengine si kazi

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 4 ปีที่แล้ว +7

    Hii ndiyo maana ya man at work daah

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 4 หลายเดือนก่อน

    No joke bro amechoma maiti mpaka ndevu zimeungua,,

  • @raphaelbruno2743
    @raphaelbruno2743 4 ปีที่แล้ว +5

    Creative man like u never die poor!!

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Obsolutely

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 4 ปีที่แล้ว +7

    Mnaobisha na nyie mtachomwa na mmarekan 😀😂

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai833 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhanallah

  • @onsportleo1965
    @onsportleo1965 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hamuwajui wahindi au no jambo LA ajabu

  • @mwana3887
    @mwana3887 4 ปีที่แล้ว +4

    👏everything can be bargained

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 ปีที่แล้ว +9

    Wanaita ku Burne ,kama simple ,sasa wewe mzee baba km huyu endelea kungua km hatoku Burne fasta

  • @zamirumayembe4385
    @zamirumayembe4385 4 ปีที่แล้ว +10

    Namjuwa huyo Mmarekani yuko mtwara

  • @bramwels2011
    @bramwels2011 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesikia kwamba mtu Mweusi akiwa na njaa anakuwa na akili gonga like tuwende pamoja!

  • @maryamjuma3799
    @maryamjuma3799 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani anavyosema Hilo neno Kuchoma utafikiri anachoma mishikaki kumbe watu

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 4 ปีที่แล้ว +20

    Kumbeeee ndio maana yulenwa Geza ULOLE NI MMAKONDE NDIO MAANA ALIMCHOMA.NAOMI MKEWE NI UJUZI WA.KIMAKONDE.

  • @lucymasuod41
    @lucymasuod41 4 ปีที่แล้ว +14

    Duuuu!!! Na wachina kumbe wanachoma maiti??

    • @mariamvicent7312
      @mariamvicent7312 4 ปีที่แล้ว

      Lucy Masuod na me ndo kwanza nasikia leo

    • @lucymasuod41
      @lucymasuod41 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamvicent7312 najionea maajabu ya dunia wenzetu sijui wana imani za aina gani kwa kweli

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Yeah

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      Waachoma ndio kwasababu ya maeneo ya mazikio kuwa machache huko kwao tofauti na miaka mingi iliyokwishapita

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 ปีที่แล้ว

    Sasa hujui kama binadamu Anachomwa kwa mafuta ya samli na ufuta .....hujatembelea hata wanapochoma bhaniani .....

  • @nmgradio
    @nmgradio 4 ปีที่แล้ว +1

    TUKARIBIE KUCHECK MECH KATI YA LIBYA VS TANZANIA SAA NNE USIKU LINK HII HAPA th-cam.com/video/kr9Xv3uEhdE/w-d-xo.html

  • @subiraomar4771
    @subiraomar4771 4 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah ndio leo naskia

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 4 ปีที่แล้ว +6

    Duh,,atari sana..UOGA WAKO NDO UMASIKINI WAKO!!!
    🙌🙌🙌 big up master

    • @user-po9yx5mu2b
      @user-po9yx5mu2b 8 หลายเดือนก่อน

      vp kuhusu msimamo wa imani yako?

  • @wazirihamisi6484
    @wazirihamisi6484 ปีที่แล้ว

    Nakushauri brother hiyo kazi ni haramu iache kabisa mara moja ya kuzika kwa kuunguza hatakama unalipwa pesa nyingi hili jambo ni haramu anae azibu kwa moto ni Allah pekee subhanallah wallahi ikiwa ww ni muislam sema alhamdulillah mshukuru sana Allah

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว +2

    Kazi kazi tu. Utakuta kajenga hapo, watoto wanasoma vzr, na anasaidia ndugu kwa kazi yake

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Kaz kazi

  • @dainagano3656
    @dainagano3656 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwani mkisikia makabila wanachoma maiti ,nyie mnahc wanawapeleka kwenye machine? Maana mnavoshangaa

  • @najmaabdul3836
    @najmaabdul3836 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh mungu akusamehe yallahbi dah mungu nisamehe na nipe iman

    • @debormtitu2720
      @debormtitu2720 4 ปีที่แล้ว

      Hongera baba Ila usiwe unachioma cm laptop

  • @frankmpembu
    @frankmpembu ปีที่แล้ว

    Hao Wakristo wanaochoma moto maiti wanakosea. Wakristo tumeambiwa na Mungu wetu ndani ya Biblia kuwa, mtu akifa sharti azikwe ardhini, kwasababu sisi binadamu ni mavumbi na mavumbi hurudi tena

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 3 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kuchoma na vitu vyake laptop simu itakuwa iPhone hizo turudie kidogo aiseee mmmh sema we Baba nenda kalime Mungu atakusaidia dhambi Sana tumeumbwa Kwa udongo na tutarud udongon sijaona sehem ilioandikwa tuchomane jmn Alhamdulilah kuzaliwa muislam

  • @zebdayleonard8599
    @zebdayleonard8599 4 ปีที่แล้ว +28

    Nilwachoma pale wa nne kule nilchoma watano hela iz ogopa

    • @greysonsimba5366
      @greysonsimba5366 4 ปีที่แล้ว

      Mmh kaazi kweli kweli

    • @walivyojuma7095
      @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว

      Iyo si dhambi ww ndo imani yao wachina nawazungu nawabaniani nikawaida niimani tu iyo mbona poa tu hakuna dhambi yoyote

    • @richardb.masika4375
      @richardb.masika4375 4 ปีที่แล้ว

      Hii dunia🤔

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +1

      @@walivyojuma7095 the devol is a liar only God knows about everything ☝️☝️☝️unatumika vibaya aisee

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Kazi kazi....

  • @allihabibu3509
    @allihabibu3509 4 ปีที่แล้ว +22

    Sura yake tu inaonyesha ana roho ngumu

    • @haimahaima9135
      @haimahaima9135 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว

      Kwani anachochea kama jiko la kuni

    • @samson_physioclinic
      @samson_physioclinic 4 ปีที่แล้ว +1

      Alli Habibu jamaa ni mshkaji sana ana roho nzuri huwez amini ni mshkaji wang anajiita jeshi

    • @patrickjohn9495
      @patrickjohn9495 4 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa yupo pic sana anakula bata hakuna mfano unajua kwa nn anajiita marekani sababu anavaa American but

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 4 ปีที่แล้ว +1

    haaaaa mungu wangu asa ndonasema ata mke anamoyo sana kwakweli kukakaa na mume uyo yataka moyo sana

  • @mamasswtkichuna8969
    @mamasswtkichuna8969 4 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh , wonders shall never end wallah🙄🙄🙄mmmh aiseeee mungu tunusuruuuu

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 4 ปีที่แล้ว +5

    Allhamdulllah yarabbi tupe mwisho mwema

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 4 ปีที่แล้ว +4

    😳😳😳😳😳😳 Heee tutaona mengi jaman 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

    • @nduwimanafazili58
      @nduwimanafazili58 4 ปีที่แล้ว

      Yani.nahela.zake zinachomwa.nakadizake yabenki.inacomwa

    • @jumaabeleu3720
      @jumaabeleu3720 4 ปีที่แล้ว

      One of the best interview Never seen b4, Safi Ayo

  • @Dasoor-tt3vf4dj8i
    @Dasoor-tt3vf4dj8i หลายเดือนก่อน

    Iyo niatari nimekumbuka jana kunamwizi wa bodaboda kachomwa moto uku kwetu adi kufa majira ya asubui saa 5 moshi njoro sokoni

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 ปีที่แล้ว

    Thawa thawa, thatha mbona unafanya kadhi ya ibilithi, akifika huko kama ana dhambi motoni watachoma nini? 😂😂😂

  • @Jomba-lao
    @Jomba-lao 4 ปีที่แล้ว +16

    Duhhh ama kweli "tonge tu lipatikane" kazi kazi tu

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Ndo jambo la msingi hilo

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว +5

    Watu wanasikia tuf tuf tuf wanadhani mchina anachomwa kumbe mm kudadadeki

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @babanaibabanai8193
      @babanaibabanai8193 4 ปีที่แล้ว +1

      Aliesikia mmalekani anatumia na ufuta kuongeza spidi ya moto alafu analusha ili na yeye asiungue tujuane hapa kumbe nalo linaogopa bhana daah moto mchezo

  • @abdallaabdulrahman8319
    @abdallaabdulrahman8319 4 ปีที่แล้ว +2

    Sio kuchoma, ni kuteketeza hiyo ipo world wide hata ww mtangazaj ukiandika usia wako kua unataka mwil wako uteketezwe bas utafanyiwa hivyo

  • @Raymond6497
    @Raymond6497 4 ปีที่แล้ว +2

    Sishangai sana..nilivokuwa mdogo kule kwetu upareni kulikuwa na mmakonde mkata mkonge alikuwa anasifika kwa kula watu, na tuliammini hivyo...so its more likely huyu bwana akawa na hiyo roho...

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      Kbsa

  • @aminahasan3564
    @aminahasan3564 4 ปีที่แล้ว +4

    Uislam ni mzuri sana🤔

    • @reginawitacha7921
      @reginawitacha7921 4 ปีที่แล้ว

      Amina Hasan Kwani maiti za kiislamu hazichomwi ndugu

    • @aishaomari1881
      @aishaomari1881 4 ปีที่แล้ว

      Alhamdulilah gjala neema l islam

    • @najmasalimsalim2741
      @najmasalimsalim2741 4 ปีที่แล้ว

      Alhamdhulillah

    • @jerrysonshayo1557
      @jerrysonshayo1557 4 ปีที่แล้ว

      Amina Hasan...acha nyege ww... Uislam ni mzuri usingekufa mbwa wewe

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 ปีที่แล้ว

      Amina Hasan , tupe evidences

  • @user-il1bv6vs9q
    @user-il1bv6vs9q 4 ปีที่แล้ว +8

    I hope u dont have the spirit of burning even those live plz

  • @mst1studio270
    @mst1studio270 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera saaaana! Ila Wewe unae mu Interview, jaribu kuandaa maswali hasa kuyaandika ndipo utoe Interview.

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 ปีที่แล้ว

    Mtu mweusi anapokuwa na njaa ndo anapokuwa na akili daaahhhh huyu jamaa noma

  • @njonjolomahfudh3238
    @njonjolomahfudh3238 4 ปีที่แล้ว +7

    Muamerika uyu😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 4 ปีที่แล้ว +3

    Hi miwan nimeikalili
    Sitonunua kamwe
    Hata nipew bule sitoichukua

  • @safari23
    @safari23 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri baba

  • @amirikalindimya9742
    @amirikalindimya9742 4 ปีที่แล้ว +1

    Uncle wangu mm hatari sana nakumbuka enzi zile kibanda wazi umetisha unamisemo kama yote

  • @jumaakalama1276
    @jumaakalama1276 4 ปีที่แล้ว +14

    Nakuomba unifundishe broo mm kuna watu nataka niwachome wazima wanapuwa Shenz zao

    • @TeamKRX
      @TeamKRX 4 ปีที่แล้ว

      Ebu jianze mwenyeo ata mkono au kidole kabla hujawanza wao nyooo mrudie mungu wee hasira hasara

    • @saadakiyungi6437
      @saadakiyungi6437 4 ปีที่แล้ว

      😂

    • @fanuelmwalikaka9224
      @fanuelmwalikaka9224 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @seifaysha2962
      @seifaysha2962 4 ปีที่แล้ว

      Jichome kwanza ww mkono

    • @rukiashoko7528
      @rukiashoko7528 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwann wasimwacheme wenyewe mbona ss tukifa tunazikwa na watu wetu kwann wao watafute hiyo siyo kazi baba

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Wachome baba roho zao zimeshatangulia kwenye pepo huo ni mwili tu ila una moyo

  • @RichardNyalucy
    @RichardNyalucy 11 หลายเดือนก่อน

    Bado mnachoma kiloko sana ,zipo machine za kisasa zakuchomea

  • @ruqiyaruq5142
    @ruqiyaruq5142 4 ปีที่แล้ว +7

    Piga kazi baba bola upate lidhiki yako kuliko kuiba

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 4 ปีที่แล้ว

      Kwahyo hapati dhambi au?

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      Madhimbi yote anatwishwa yy za wale anowachoma

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijakhadija6212 Subhanallah

    • @damianlugendo9161
      @damianlugendo9161 4 ปีที่แล้ว

      @@khadijakhadija6212 hamna kitu kama hiko!

    • @khadijakhadija6212
      @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว

      @@damianlugendo9161 hamna kitu km hiko nini

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 4 ปีที่แล้ว +7

    Unaona raha kuchoma eee?,we ngoja tu.

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂

    • @idgafbmw295
      @idgafbmw295 4 ปีที่แล้ว +2

      angoje nini mbona nyie mnafanya unzinzi amogopi

    • @salimalhajri6399
      @salimalhajri6399 3 ปีที่แล้ว +2

      Nayeye atachomwa muache aropoke fal ww

    • @jeniphachristian2131
      @jeniphachristian2131 3 ปีที่แล้ว

      mnamtixhia na huna kitu! mwenzio anatafta hela kwan anachoma mzima, x anachoma mait na ndo mazixh yao

  • @samakisamaki3226
    @samakisamaki3226 4 ปีที่แล้ว +2

    leo nimejua kwa nini uko hivyo ulivyo. tangu nimekufahamu kaka sikujua kuwa unapiga ishu hizi. asante ayo

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      Hihihihihi

  • @samoragoodwin7309
    @samoragoodwin7309 3 ปีที่แล้ว

    Hata mm napenda kuchomwa kweli yaani mchanga tani na tani yaani kuzikwa mm sipendi kabisa hi niyakutoka moyoni

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 4 ปีที่แล้ว +5

    Yani hiyo kazi ya kuchoma Moto watu mpk imekubadilisha rangi umekua kijivu

    • @tktvtz
      @tktvtz 4 ปีที่แล้ว

      HAHAAAAAAAA

    • @happymushi1682
      @happymushi1682 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @nadystyle339
    @nadystyle339 4 ปีที่แล้ว +6

    Kama umesikia spitali gonga like hapa😜

  • @jescarichard6428
    @jescarichard6428 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaonekana hajui anachokiongea, mafuta lita elfu 50 alafu inahitajika lita elfu 3, mafuta tu ni milion 15....naona mosh wa mwili wa binaadam umeshaanza kumuathiri

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 4 ปีที่แล้ว +4

    Vibali ndio vinanichelewesha kuwachoma moto

  • @kibongobongo4608
    @kibongobongo4608 4 ปีที่แล้ว +4

    Shikamoo PESA!!

  • @nmgradio
    @nmgradio 4 ปีที่แล้ว +1

    TUKARIBIE KUCHECK MECH KATI YA LIBYA VS TANZANIA SAA NNE USIKU th-cam.com/video/kr9Xv3uEhdE/w-d-xo.html

  • @idgafbmw295
    @idgafbmw295 4 ปีที่แล้ว

    safi sana umeongea vizuri

  • @eliabumakunzo8856
    @eliabumakunzo8856 4 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Namfahamu huyu jamaa.😂

    • @patrickjohn9495
      @patrickjohn9495 4 ปีที่แล้ว

      Me mwenyewe ni mshikaji wangu sana anasifa sana

    • @bukheribukheri798
      @bukheribukheri798 4 ปีที่แล้ว

      Ana sifa kivipi?

    • @user-sq7pz9ex5g
      @user-sq7pz9ex5g 2 ปีที่แล้ว

      @@patrickjohn9495 halafu mmakonde huyuu 😆😆

  • @ismailmbogo3408
    @ismailmbogo3408 4 ปีที่แล้ว +11

    LAILAHA ILALLAH

  • @zaynpdogdhgg8755
    @zaynpdogdhgg8755 4 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah.hatakama kazi ni kazi lakini hii hatari manake yanatisha!!!!

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mweusi anapokuwa na njaa ndipo anapokuwa na akili,akishiba anakuwa hana akili.Na kazi hii sijasomea kokote ni njaa tu😂😁

  • @khadijaomar8427
    @khadijaomar8427 4 ปีที่แล้ว +4

    Duh🤨

    • @mahmudkiba82
      @mahmudkiba82 4 ปีที่แล้ว

      Nitext WhatsApp 0692293581

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +12

    Acha hiyo kazi unajibebea lawama aisee dini zengine majanga matupu tuseme alhamdullillah mmmmm kazi ipo dunia hii acha tu.

    • @fatoomefathima5307
      @fatoomefathima5307 4 ปีที่แล้ว

      Huyo Hana dini kabisa

    • @mwanaidyibrahimu3207
      @mwanaidyibrahimu3207 4 ปีที่แล้ว

      wallah Alhamdulillah

    • @walivyojuma7095
      @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว

      Hakuna dhambi kila mmoja na imani yao

    • @wemakalamu3538
      @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว

      @@walivyojuma7095 usishereke ujinga na maagizo ya mwenyeezi mungu subhannallah wataallah mnayajua semeni na njaa zenu mwenyeezi mungu pekee ndie ajuae adhabu ya viumbe vyote have anice good day think twice as a human being tchaooooo

    • @walivyojuma7095
      @walivyojuma7095 4 ปีที่แล้ว

      Iyo imani yako peke yako kila mtu naimani yako ujinga kwako ww

  • @user-sq7pz9ex5g
    @user-sq7pz9ex5g 2 ปีที่แล้ว

    🙄🙄🙄🤔🤔Sasaaa kama marehemu anawekewa alichokuwa anapenda...sasaa kama alikuwa anapenda ngono jee?!?!😆😆

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 4 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa mke wake atakua anamuogapa sana .

  • @tinkiboniface3342
    @tinkiboniface3342 4 ปีที่แล้ว +6

    Duh wa Kwanza like zangu