EXCLUSIVE: Kisiwa cha TZ tulichoambiwa ni cha Arnold Schwarzenegger

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 147

  • @monucamwambanje3128
    @monucamwambanje3128 2 ปีที่แล้ว

    Nakuona kaka yangu Shaban kipenzi be blessed namm ntakuja hapo tena nipazur sana mambo ya namanyele mcn u bro by Amina

  • @shanesta4507
    @shanesta4507 7 ปีที่แล้ว +10

    Sjawahi waza au imagine kuna sehemu nzuri kiasi hiki hii Tanzania I think pananihusu kwenda soon thanks Millard

    • @reshinebakery2846
      @reshinebakery2846 5 ปีที่แล้ว

      Pemba mantariff

    • @wilsonjohn5067
      @wilsonjohn5067 4 ปีที่แล้ว

      Nisha fika hapo, ni pazuri sana aiseeee, nilienda kwenye ukaguzi wa hizo boat

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana ayo habari zako kaka wengine kero unamaliza bando hakuna ukweli big up

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 7 ปีที่แล้ว +3

    i love and I'm proud to be a Tanzanian....ahsante millard

  • @olivegodfrey5855
    @olivegodfrey5855 7 ปีที่แล้ว +7

    Asante Millard kwa kuitangaza nchi yetu nzuri

  • @irenedaud8202
    @irenedaud8202 4 ปีที่แล้ว

    kazi nzur kaka Millard ayo penda sana kazi zakooo

  • @2nukhamis447
    @2nukhamis447 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah tz

  • @koffiarnold9592
    @koffiarnold9592 5 ปีที่แล้ว

    Good bless

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 7 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana ndiyo maana sipendi kupitwa na Ayo tv

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah, safi sana mandhar ya hii sehem Nzur sana

  • @jafarijafari231
    @jafarijafari231 4 ปีที่แล้ว +1

    Halafu tz bado ni masikini?, we can't imagine. Hii inch kweli ishauzwa, yaani wazungu wanakuja kuwekeza pasipo sisi wabongo kujua. Hii sio sawa kabisa.

  • @hassani19mtoni14
    @hassani19mtoni14 4 ปีที่แล้ว +1

    Iko pwa sana mzeiyaa Ongela pia Tanzania yeeah

  • @nasrimchopa678
    @nasrimchopa678 6 ปีที่แล้ว +19

    Uko Vizuri millady vichwa vya habari huendana na habari yenyewe sio wengine huandika kitu ukifungua Hamna kinachoeleweka

  • @saudanaftari4102
    @saudanaftari4102 7 ปีที่แล้ว +3

    meneja upo vzr unajua kujieleza good blees.

  • @naynavitalis9253
    @naynavitalis9253 7 ปีที่แล้ว +1

    Nami namuomba mwenyez mungu anifanyie wepes ili nije huko kutembelea naipenda Tanzania yangu

  • @josephsiwale4983
    @josephsiwale4983 7 ปีที่แล้ว +3

    aminia kaka millard
    nakukubari sana chifu
    be blessed millard
    napenda sana jinsi unavyo sogea manyuzi
    by joseph siwale

  • @shabanianjelo4024
    @shabanianjelo4024 5 ปีที่แล้ว +1

    daaaa bro mm huwaga nakukubar sana habar zako big up

  • @jelasnkoma4240
    @jelasnkoma4240 7 ปีที่แล้ว +6

    Ayo Godbless you

  • @yohanamwawalo7113
    @yohanamwawalo7113 4 ปีที่แล้ว

    Millard ayo flexible man as airplane congatration I trust too

  • @athumanmussa1276
    @athumanmussa1276 7 ปีที่แล้ว +7

    Napenda sana kutembelea TH-cam channel yako maana kuna zaidi ya habari

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว +12

    Asante Millard kuitangaza Tanzania yetu👌👌👌👌

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  7 ปีที่แล้ว +1

      asante na wewe pia mtu wa nguvu kwa kutazama AyoTV, usisahau kubonyeza subscribe ili kila mpya ikufikie kwa notification mtu wangu.

    • @alhajibsaid9871
      @alhajibsaid9871 7 ปีที่แล้ว

      +Millard Ayo gud

    • @anodipesa5504
      @anodipesa5504 6 ปีที่แล้ว

      I love Jesus mambo

  • @linaliaty549
    @linaliaty549 7 ปีที่แล้ว

    Daa we Nizaid ya vyombo vya habari maana unavo tuonyesha huwezi amini kama vipo tz hiyo hoteli ni noma na hiyo inshu ya sumury imenifanya niamini popote unaweza kutoboa safi sana ayo kwakutangaza utalii wetu mungu akupe Maisha malefu joo

  • @athumanhassan9360
    @athumanhassan9360 5 ปีที่แล้ว +1

    Millady Ayo nakukubal xn una2leteah v2 amazing good work

  • @alisalum43
    @alisalum43 3 ปีที่แล้ว

    Sun set

  • @nassybumutabaz1446
    @nassybumutabaz1446 7 ปีที่แล้ว

    Big up mtu wangu wa nguvu ayo tv

  • @chibutvonline8710
    @chibutvonline8710 7 ปีที่แล้ว

    big up kwa Millard ayo ,,unafanya kazi nzuri sana

  • @farajasanga4875
    @farajasanga4875 5 ปีที่แล้ว +1

    Mildayo nakukubali sanaaaaa kazi yako

  • @temomajimoto9667
    @temomajimoto9667 3 ปีที่แล้ว

    Gi-up millad Ayo

  • @chekajumasebunga8358
    @chekajumasebunga8358 7 ปีที่แล้ว +9

    Kwetu Tz mbali but nice from USA,

  • @peterkimaro750
    @peterkimaro750 7 ปีที่แล้ว

    Ayo well job done

  • @saddamabdillahi5468
    @saddamabdillahi5468 7 ปีที่แล้ว +3

    Daa nikiona lake Tanganyika.nakumbuka sana kwetu kalemie.+254.

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771 5 ปีที่แล้ว +1

    Pametulia saana hii sehemu,,Millard anafanya vzr sana

  • @shimeyayoub3202
    @shimeyayoub3202 7 ปีที่แล้ว

    sio vzur kuhojiwa harafu unakuwa unatafuna Jojo Ndo nn sasa.. asante Millard

  • @mayeleamisi9483
    @mayeleamisi9483 6 ปีที่แล้ว

    A noma sana

  • @alhadjijumaa648
    @alhadjijumaa648 6 ปีที่แล้ว

    safi sana....

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 7 ปีที่แล้ว +6

    Daah iko poa sana

  • @frankjoseph6213
    @frankjoseph6213 7 ปีที่แล้ว

    sawa sawa Ayo

  • @johnsonpatrick5171
    @johnsonpatrick5171 6 ปีที่แล้ว

    sana mtu wa kazi

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 ปีที่แล้ว

    waoooh

  • @aineagobachivu588
    @aineagobachivu588 7 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri millard

  • @jemsisakala2542
    @jemsisakala2542 5 ปีที่แล้ว

    Uko njema millard

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 7 ปีที่แล้ว +6

    Atimaye niona mwezi Millard ayo miss sana broo

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  7 ปีที่แล้ว +1

      asante kwa kutazama AyoTV Abuu na kuniachia comment yako hapa

  • @chrispintano5828
    @chrispintano5828 7 ปีที่แล้ว

    mungu ametujalia kila kitu Tz,ukitaka kujua Tz tumechelewa kuzitangaza mbuga na mapolomoko ya kitalii fika kalambo force,utaona wazambia walivyo tuzidi maujanja

  • @lgf7297
    @lgf7297 4 ปีที่แล้ว

    Ni yetu ni nzuri

  • @joycetheonas2157
    @joycetheonas2157 7 ปีที่แล้ว +1

    Millard asante ....karibu tena huko kwetu!!

  • @halimalwayo1073
    @halimalwayo1073 7 ปีที่แล้ว

    iko poa saan thanks Millard Ayo

    • @anodipesa5504
      @anodipesa5504 6 ปีที่แล้ว

      Halima Lwayo mambo

    • @aaaaaah290
      @aaaaaah290 6 ปีที่แล้ว

      Halima Lwayo
      HALIMAA

  • @gabrieladam491
    @gabrieladam491 7 ปีที่แล้ว

    safi kabisaaa

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 7 ปีที่แล้ว +2

    smart san😍😍😘😘😘 1day i I'll visit there

    • @jacksomabartholomeow4503
      @jacksomabartholomeow4503 7 ปีที่แล้ว +1

      farida bakari dont forget to take me with you

    • @faridabakari8511
      @faridabakari8511 7 ปีที่แล้ว

      jacksoma bartholomeow INSHALLAH 1day Gud well

    • @nassraramadhans1074
      @nassraramadhans1074 6 ปีที่แล้ว +1

      jamani huyu kaka mimi nampenda sana tena sana millard ayo unatuletea taarifa nzuri sana michezo na burudani

    • @anodipesa5504
      @anodipesa5504 6 ปีที่แล้ว

      farida bakari mambo

    • @faridabakari8511
      @faridabakari8511 6 ปีที่แล้ว

      Anodi Pesa poaa nambie

  • @dainesszuberi5033
    @dainesszuberi5033 7 ปีที่แล้ว +7

    Duuuu inshaa Alllah nitakujaa kutembelea hapoo

  • @jokhanassornassor3851
    @jokhanassornassor3851 7 ปีที่แล้ว +2

    Sorry naomba no ya cm nataka kuja kutembelea

  • @emmanuelmasoko1013
    @emmanuelmasoko1013 3 ปีที่แล้ว

    Interview iko poa sana hii

  • @evaevance5932
    @evaevance5932 7 ปีที่แล้ว +3

    dhhhhh Millard ayo ubarikiwe kunitangazia kwetu jamni nakukubali san uwiiiiii apan chezea sumbawanga

  • @abdulsalmah7029
    @abdulsalmah7029 7 ปีที่แล้ว

    good broo it is fine

  • @jonaslameck4975
    @jonaslameck4975 7 ปีที่แล้ว

    yah ipo gud

  • @brysonnyembele5481
    @brysonnyembele5481 4 ปีที่แล้ว

    Mirad ayo ukotofaut na wengine sijui wanajiita nan TV we we kilichoandikwa ndicho kinaonekana wala hauna swaga nyingi , uneenda moja kwa moja kwenye point husika , na unatuwekea video plus sauti wengine ni picha tuuu hata hawaeleki , mm nikipata taar yako ninuhakika wa kusambaza kwa watu coz unajitambua kwa kweli ktk kaz yako

  • @sulemanxulex8508
    @sulemanxulex8508 5 ปีที่แล้ว

    Huyo ni nani mbona anajibu majibu sio ameulizwa ni hotel ya anold anajibu tu hapana basi sasa mpaka aseme anold anatokea sehemu moja na tajiri angalia kama hilo jimbo la kalifonia ni kubwa kama Tanzania

  • @ibrahimramadhan5322
    @ibrahimramadhan5322 4 ปีที่แล้ว

    Kipo waa

  • @dittopileally5723
    @dittopileally5723 6 ปีที่แล้ว

    Daaaa napenda dana

  • @happyasukeni3807
    @happyasukeni3807 7 ปีที่แล้ว

    Millad ayo naomba Namba ya WhatsApp

  • @janethpeter7114
    @janethpeter7114 6 ปีที่แล้ว +4

    dah!!! mwenzio nipo mkoa huu wa Rukwa lakin sijawahi fika si upumbav.... millad umefika mi bado

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว

      Janeth Peter sema lini nikupeleke!

  • @christophermponji121
    @christophermponji121 7 ปีที่แล้ว

    290 dollars ni sawa na 652500Tshs

  • @simonmtuka6082
    @simonmtuka6082 7 ปีที่แล้ว +1

    kusini tamuu

  • @danielsichilima6164
    @danielsichilima6164 3 ปีที่แล้ว

    Kwetu hapo need nice hotel brother

  • @josephtewah4067
    @josephtewah4067 6 ปีที่แล้ว

    gud

  • @piuslugata4931
    @piuslugata4931 ปีที่แล้ว

    Maneo ya nyumbani huko

  • @mussamkalawa2101
    @mussamkalawa2101 7 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana mzazi mirado

  • @dvjjblood3216
    @dvjjblood3216 7 ปีที่แล้ว

    mmh tenaaa

  • @lucasamos5546
    @lucasamos5546 6 ปีที่แล้ว

    Lucas Amos

  • @marywillium7471
    @marywillium7471 4 ปีที่แล้ว +1

    👏👏👏👏👏😍

  • @yohanamwawalo7113
    @yohanamwawalo7113 4 ปีที่แล้ว

    Hufanyi kazi njaa unafanya harisi

  • @hamzamsanjika6662
    @hamzamsanjika6662 6 ปีที่แล้ว

    dame

  • @zamzamhassan4159
    @zamzamhassan4159 7 ปีที่แล้ว +4

    kipindi kizuri ila huyo jamaa anayehojiwa sijui hajaswaki miezi mingapi mbona akiongea kunanata mwee

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 6 ปีที่แล้ว

    Nipazuli sana jmn hapo nipazuri sana jmn

  • @nwntz
    @nwntz 7 ปีที่แล้ว +1

    parizu kimona yani

  • @maselewilliam1114
    @maselewilliam1114 6 ปีที่แล้ว

    Lupita ni majina ya wamexico labda mtuambie ukweli tu na California wenyeji ni wamexico wanaongea Spanish or kihispaniola na haya majina ya Lupita ndiyo mengi na kila siku nakutana nao, tuambieni maana halisi ya jina hilo

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 6 ปีที่แล้ว +1

      Masele William kwaio lupita nyong'o ni mmehiko kumbe

  • @naimajecker2889
    @naimajecker2889 6 ปีที่แล้ว

    Pazurii jaman eehhhhhh

  • @abilitytouch871
    @abilitytouch871 5 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa anataka kuramba me me au ni nini na nikama ana shida yakupumua 🤣🤣🤣

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

    Hao maisrael sema ukweli uzihirike.

  • @charlesmyamba8531
    @charlesmyamba8531 3 ปีที่แล้ว

    Millard unatisha

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 7 ปีที่แล้ว

    millar ayo unachagua watu wa kuwa shukuru,

  • @nusrakajubu8377
    @nusrakajubu8377 7 ปีที่แล้ว

    panzur jmn ngoja mm niendelea kutizama tu kufika ni majaliwa

  • @esiliarthurmwaisango9146
    @esiliarthurmwaisango9146 7 ปีที่แล้ว

    poa sana apoo

  • @emmanuelhadson5763
    @emmanuelhadson5763 7 ปีที่แล้ว

    millardy nimekuelewa mwanangu

  • @johnndege9020
    @johnndege9020 6 ปีที่แล้ว

    ntaenda lupita pia kucheki sun set ziwani Tanganyika...

  • @selemanihussein5073
    @selemanihussein5073 7 ปีที่แล้ว +4

    huyu jamaa anaongea kama anatafuna jojo....

  • @claramilanzi9170
    @claramilanzi9170 7 ปีที่แล้ว +1

    Daah pazuri kama sio tz...!?

  • @mustaphyassin5320
    @mustaphyassin5320 7 ปีที่แล้ว

    Ayo huyo mtu wako vipi Anaongea humu anamunghunya midomo kama mgonjwa

  • @fbhj443
    @fbhj443 6 ปีที่แล้ว

    najivunia kuwa mtanzania bwwna

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 7 ปีที่แล้ว

    Dollar 290sawa na sh ngapi za kibongo msaada

    • @silasmsangi9335
      @silasmsangi9335 7 ปีที่แล้ว

      Mariam Mbughi dola moja ni 2225 then convert to dollars

    • @giftgodson5603
      @giftgodson5603 6 ปีที่แล้ว

      laki 5

    • @ummysaid5600
      @ummysaid5600 5 ปีที่แล้ว

      Mariam Mbughi 2800 Mala hizo

  • @toshonestarman5451
    @toshonestarman5451 6 ปีที่แล้ว

    Daahh unajua nini miladiyo, hahahaha uyo jamaa mirungi nini teheteheeee aaahaha nooomaa mbaba

  • @illuminetthedon9267
    @illuminetthedon9267 7 ปีที่แล้ว

    Huyo kuma anatafuna nini....!?

  • @josureerick8921
    @josureerick8921 7 ปีที่แล้ว

    Mwanamme amshikA makalio mwAnamke

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 7 ปีที่แล้ว

    hahaha kunawatu walinidanganya nikaamini

    • @williamkohe172
      @williamkohe172 7 ปีที่แล้ว

      kaka uko vizuri

    • @wilsonjohn5067
      @wilsonjohn5067 4 ปีที่แล้ว

      Kijana pako vizuri sanaa, kutoka ziwani kwenda kwenye hizo lodge unapanda vigari fulani hiviii yaani raha mpaka basi

  • @dionizkipanya2355
    @dionizkipanya2355 7 ปีที่แล้ว

    Kwetu ukooo,Kipiliiii,Lupita,Nimefika Apo ,Nipazuri Mnoo hasa Kpindi cha Mvua.

  • @touremngete.tanzania6633
    @touremngete.tanzania6633 6 ปีที่แล้ว

    sio BORDER ya Zambia , Huna AKILI, ni border ya TANZANIA na Zambia .......Anafanya utalii gani huyu ambaye hajui hata kuelezea Nchi yake? Idiot :)