Thanks madam Fatma for this great presentation, how I wish you could do more well-researched presentations like this! Reasons you gave for the almost dysfunctional judiciary in TZ after the promulgation of the 1977 constitution are quite valid; it was the wind that blew off the last flickering flame where judiciary independence was concerned
Huyu hajui kuswahili.Sitaki hata kumsikiliza kabisa hata sauti anaibadilisha kuwa ya kiswangereza😢😢😢Ongea lugha moja ,siyo lugha mbili kwa wakati mmoja😢. A ibu .Kwanini usihamie Uingereza😢. Aibu Aibu .system problem😮😮so what.Unaongea.utumbo tu.Hufai kuongea na sisi kama raia . Wivu mtupu wewe kwa Mama Samia😢😢Aibu
Kweli ingefaa asichanganye lugha, lakini kudai ana wivu kunaonesha wewe hujui lolote ktk mjadala huu! Ni kiza totolo kwako! Aliyoyazungumza ni ya maana mno juu ya kasoro kubwa zilizo ktk mfumo wetu wa utoaji haki na ufumbuzi wake! Hutaelewa mpaka uwe na kiasi fulani cha ufahamu (elimu), si kwa kukudharau bali ndiyo kweli yako! Na ndiyo sababu ya wewe kutoona kingine bali "wivu kwa SSH"
Thanks madam Fatma for this great presentation, how I wish you could do more well-researched presentations like this! Reasons you gave for the almost dysfunctional judiciary in TZ after the promulgation of the 1977 constitution are quite valid; it was the wind that blew off the last flickering flame where judiciary independence was concerned
Nakuelewa sana dada"hyo katba ya 1977 ilikuwa ni soecial kwa chma cha Ccm"mpa saihz tunateseka nahyoo na mbwa wa serikali ya ccm
Ahsante shangazi,umenipa darasa!
Our pride
Tenaaaaa! CCM oyeeeee!
👊✌️👍
Huyu hajui kuswahili.Sitaki hata kumsikiliza kabisa hata sauti anaibadilisha kuwa ya kiswangereza😢😢😢Ongea lugha moja ,siyo lugha mbili kwa wakati mmoja😢.
A ibu .Kwanini usihamie Uingereza😢.
Aibu Aibu .system problem😮😮so what.Unaongea.utumbo tu.Hufai kuongea na sisi kama raia
.
Wivu mtupu wewe kwa Mama Samia😢😢Aibu
Unaweza kuwa na mawazo mazur ila ukashauri vibaya na kuharibu nia yako ya ushauri na kuwa matusi
Plz for that
Umuonee wivu kwa lipi. Nenda shule uje kinachoongelewa
Wewe uliogopa umande unaona wivu unapoona watu wakishusha nondo zao kwa weledi mkubwa na lugha mbalimbali huo ni uchawa!!!!!!
Wivuu Kama mtoto wa kike