Nimeua wazazi wangu kisa niilitaka unabii wa kichawi,nimefanya mapenz na maiti,nimekula watoto PART1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 305

  • @anithabuberwa2253
    @anithabuberwa2253 4 ปีที่แล้ว +27

    Kwa kweli usilolijua ni gumu sana 🙉🙉🙉 unaishi na ndume kama hii unasema nimzalie mume wangu kumbe lenyewe linaagano lililoingia wewe haujui unashanghaa unazika tuu 😂😂😂😂Mungu tukutanishe na watu sahihi sio watu mashwetaniiiiiiii

    • @rosesamwelitenga4648
      @rosesamwelitenga4648 4 ปีที่แล้ว

      Amina mpenzi...

    • @nashonshimba7997
      @nashonshimba7997 4 ปีที่แล้ว +1

      Mwanaume sahh n mm.haraf huwez amini kwa sababu tumekutana mtandaon unashaangaa tunaishi had uzeen

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

      @@nashonshimba7997 🤭🤭🤭🤔🤔🙄🙄🤪🤪🤪🤣🤣🤣

    • @abedichande2497
      @abedichande2497 4 ปีที่แล้ว

      ukiona umekutanisha na mtu kama uyu ujue wewe mwenyewe pia ni shetani hahaha

    • @niaanthony9588
      @niaanthony9588 4 ปีที่แล้ว

      @@nashonshimba7997 😂😂😂😂😂

  • @dingoomagawa6950
    @dingoomagawa6950 4 ปีที่แล้ว +11

    Bro keep up... Naifatiliaa sn storii zako, allah atuepushee na majanga na tamaa za duniaa

  • @oscarernest934
    @oscarernest934 4 ปีที่แล้ว +42

    M ndo maana siaminigi ayo Mambo ya kuombewa ombewa ata nikiomba mwenyew mungu atanipa tuuuuuuu

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +3

    Chunguzeni sana huko kanisani na huo mpako wa kichawi na kutoa majini kwa dakika chache mwisho yanakudhuruni wenyewe hawaaminiki viumbe utaona pasta mkubwa au nabii km mnavosema lkn nyuma ya pazia anatumia uchawi kwa tunavoyasikia humu mitandaoni.
    Kila mmoja anataka kusifiwa kazi yake nzr hajali km anatumia uchawi wala nn

  • @mussaonesmo5195
    @mussaonesmo5195 4 ปีที่แล้ว +12

    Wakwanza kuwatch mim apa, nakukubali sana Davister, naomba like yako apa kaka,

    • @kijanahodari2080
      @kijanahodari2080 4 ปีที่แล้ว +2

      Tafuta kazi ufanye likes ni za davista pekee

    • @mussaonesmo5195
      @mussaonesmo5195 4 ปีที่แล้ว

      @@kijanahodari2080 sishangai coz hata yesu hakupata support kwa wote, najua likes niza Davister but nmeomb like yake kwa kuwa wakwanza kuwatch ivyo tu

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

      ivi hizo like huwa zinasaidiaga nn!!!!??

  • @julieawojat4226
    @julieawojat4226 4 ปีที่แล้ว +2

    You are a great interviewer...and good job for enlightening God’s children of the the kingdom of darkness,evil spirits,altars, forged covenants and secret society.

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 ปีที่แล้ว +3

    ikiwa unaficha uso wako au usifiche unajulikana. Wewe unaishi ulimwenguni na walimwengu wanakujua, na usishangae kwamba hata mchwa mdogo kwenye ardhi unajua hadithi yako. Umateka na shetani ndio sababu unaendelea kuficha siri. Amka na umpokeye Yesu ili akuokoe kabla haujafuka mipaka ya wokovu. Hakika ikiwa Yesu Kristo akikukomboa hakika hautaogopa kuonyesha uso wako mbele ya watu.

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 4 ปีที่แล้ว +8

    Nakupata Sana
    ,Baadhi ya maeneo aliyoyataja Huyo jamaa nayafahamu,Safari yakutoka Mtwara mpaka Zambiezia (mto Zambezi) ni Safari ndefu mno sawa ufanye Dar Kigoma mala mbili.

  • @christinemganga8904
    @christinemganga8904 11 หลายเดือนก่อน

    Aminaa Mungu aendelee kukusaidia🙏🙏🙏

  • @mariamissa1974
    @mariamissa1974 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli mungu atusamehe makosa yetu🙏🙏🙏....kosa la Kwanza sio kosa ukirudia ndio kosa.....tuubu kakaangu👌🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻

  • @matanobaya7660
    @matanobaya7660 4 ปีที่แล้ว +15

    Jamaa anajua kuelezea kuliko wengine wote walio tangulia, wengine hawajielewielewi.

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว +3

    AMAKWELI kuwauwa wazazi SIO laana HIYO mungu akusamehe nguvu za nduniani zita kusaidia nini hasara

  • @mariyamdalas8091
    @mariyamdalas8091 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri bro

  • @hanankhalifa8309
    @hanankhalifa8309 4 ปีที่แล้ว +8

    Dah so sad wallah.....Allah atuepushe na roho hizo za kuuwa wazaz wetu kisa dunia...cjui nkupe pole au nifanyeje dah nashindwa cha kukuambia ila najua unatoa funzo kwa wengine yasije kuwakuta kama yalokukuta wewe.

  • @raphaeltimoth5288
    @raphaeltimoth5288 4 ปีที่แล้ว +15

    Kazi ya mungu ni wito, na wala haitaji uchawi...!

    • @evelynlehnard3928
      @evelynlehnard3928 4 ปีที่แล้ว +1

      Wala haiitaji shule ya biblia

    • @milley7185
      @milley7185 2 ปีที่แล้ว

      Biblia ni matendo tu yameamdikwa mule na sheria za duniani yesu hayupo ...

    • @rehemaabinelynyagawa2878
      @rehemaabinelynyagawa2878 ปีที่แล้ว

      ​@@milley7185Yesu hayupo wapi kwa hiyo wewe uliikuta dunia? Mpka ukanushe kuwa Yesu hayupo?

  • @fadhiliswalehe9554
    @fadhiliswalehe9554 4 ปีที่แล้ว

    I accept u much davistar we are together like fish and water .Alot of men strive to find the richness by any means but they forget that they will never live in this world forever they must die whether they like or not

  • @realestjazmine7261
    @realestjazmine7261 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu atuepushe na roho ya tamaa.🙏🏾

  • @moureenmwende3989
    @moureenmwende3989 4 ปีที่แล้ว +1

    Endelea hivo ndungu yangu unatuletea habari nzuri kila siku

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh jamani watu wamebadilika sana na mambo haya ya kichawi,mungu tuepushe na roho hizo.

  • @jobmuchiri7514
    @jobmuchiri7514 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @bintimrope
    @bintimrope 4 ปีที่แล้ว +3

    Sasa hata kama umejificha na huo uongeaji wako si watu wanaokujua lazima wakujue😃😃

  • @ndinagweandendekisye3722
    @ndinagweandendekisye3722 4 ปีที่แล้ว +8

    Acha nimwamini Mungu yuleyule ninaemwamini hiyo miujiza acha inipite tu,

    • @kulwapaul2721
      @kulwapaul2721 4 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ndugu yangu

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 4 ปีที่แล้ว

      @@neemachongwe2715 Amen kabisa

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +1

      Kwakweli uislamu watu wanaushutumu tu kwa hoja za kibabe lkn uislam ukikaa chini ukausoma ukaufahamu ni dini amazing na ya haki kabisa lkn tatizo nduguzetu munapotoshwa na kuambiwa ni dini ya majini lkn sisi waislam tunajitibia majini kwa quraan na wala dini haikusema tuabudu majini na wala uislam hauna hadaa.

  • @matanobaya7660
    @matanobaya7660 4 ปีที่แล้ว +10

    Huenda watu wakaribu wakakujua kwa kukusikia sauti kwa sababu sauti yako iko tofauti kidogo.kimbali ulimi mzitomzito hivi.

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 4 ปีที่แล้ว +8

    Shetani pia yuko na wafwasi wake sio kila kiumbe kinamwabudu mungu ,,,

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 ปีที่แล้ว +6

    Ushekh au upasta au urahisi ni wito sio vinginevyo, mungu atunusuru na tamaa ya kidunia

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 4 ปีที่แล้ว

      Ukisema mungu unamaanisha shetani yan kama gods ukisema Mungu maana yke God

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😃😃Jamanii uuwiii ndo mm uwa najiombee mwenyewe siaminii m2 sasa najua Mungu Anasikia kilio cha kila m2 sasa yann uombewe

  • @cartmation7978
    @cartmation7978 4 ปีที่แล้ว +25

    Ndio maana siku hizi manabii wa uongo ni wengi kumbe ni kweli wanafataga nguvu za giza

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 4 ปีที่แล้ว +2

      Hamutaki kufuata njia eti manabii wote walishakufa nyinyi sijui munakosea wapi hasa

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว +1

      Manabii washapita na wamwisho ni Mtume Muhammad.saw. baada ya hapo hakuna nabii mwengine wote ni wauongo. Mbona hawaleti yao km manabii wanatumia vitabu vya watu vitupu.

    • @patriciasanga9848
      @patriciasanga9848 4 ปีที่แล้ว

      Mi mwenyewe nilienda Kwa mtume fulan nilikunywa maji ya upako na mafuta nilikanyaga mbona nilijuta ,hao watu ni wachawi

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 4 ปีที่แล้ว +9

    😂😂huu nwezi mr fact nakuotea sana,ukiachia tu hata kama nipo busy na like then nasikiliza badae😂

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

    wachungaji hao jaman mtu wasem wapenda kuombew kumbe waombew na mashetan jaman Kwan mwatafut nn kwenye hii dunia nizae kwa uchungu jitu linawamaliza wtt nilijuw ni wachawi2 kumbe hat Hawa wanaojita wachungaji ndo kazi yako naogop kwa kweli mungu tulinde na Hawa matapeli

  • @eliabamayi4344
    @eliabamayi4344 4 ปีที่แล้ว +3

    Tubu sana kaka damu ya hao watu umeua inakungojea kiama

  • @qelseykenya3933
    @qelseykenya3933 4 ปีที่แล้ว

    Davistar u are handsome...

  • @zaharamakota7434
    @zaharamakota7434 4 ปีที่แล้ว

    Kaka davistar una mashati mazuri😘😘😘😘

  • @mussaonesmo5195
    @mussaonesmo5195 4 ปีที่แล้ว +3

    Comment yapili Br Davister, nakubali kaz yako bro sifungi data nasubir sehem ya pili

  • @eunicewambuinjoroge6045
    @eunicewambuinjoroge6045 4 ปีที่แล้ว

    Ila watzd mna mambo mengi hope hii kitu ya wagaga mnaimiliki sana hapo ndio sipendi kuombewa na hawa wachungaji

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 ปีที่แล้ว +6

    Mmh stoli safi sana lkn vip ile ya maganga part 3?

  • @marthasumaye6017
    @marthasumaye6017 4 ปีที่แล้ว +2

    Angekuwa mkweli asingejifunika hilo liongo liongo tu.

  • @zenaimamu9105
    @zenaimamu9105 4 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu simtafanya watu wakimbie makanisa mbona tamaa mbaya.mungu wasamehe Hawa wachawi nawaregee kwako

  • @mimilenge5560
    @mimilenge5560 4 ปีที่แล้ว +2

    Ulikuwa na kazi yaziada kwelii tena ulaaniwee kabisaaaa

  • @deodatusrweyongeza2880
    @deodatusrweyongeza2880 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa hataki kuoa ili alipe den nimecheka kama mazuri mungu atupiganie.

  • @nooor1120
    @nooor1120 4 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe kuna uchungaji wa kichawi du
    Allah atunusuru

  • @mdeeboy846
    @mdeeboy846 4 ปีที่แล้ว +5

    As usual 1st one

  • @laylisaid9563
    @laylisaid9563 4 ปีที่แล้ว

    🙉🙉Mammmmmm toba maona mnagiubuwa wanyewa sasa hy ss balaa mwanyezi Mungu mkubuwa sanaaas

  • @anneysamson4895
    @anneysamson4895 4 ปีที่แล้ว +4

    Peleka usengee huna ata aibu eti umuue mama hahaha una laaana wew

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu wangu wanaume hawa sisituna zaakwa uchungu wenyewe wanauwa😭😭😭

  • @lindahjoseph8360
    @lindahjoseph8360 4 ปีที่แล้ว +30

    Kuna muda davista anataman kucheka ila anaamua kukausha kibishi tu😂

    • @frankbrown6400
      @frankbrown6400 4 ปีที่แล้ว +2

      kumbe hata wewe umemuona huyu jamaa anatamani kucheka 😂😂😂anakutana na vitu vya ajabu sana

    • @onetake2292
      @onetake2292 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaa

    • @kijangwazay7711
      @kijangwazay7711 4 ปีที่แล้ว

      Hahahah kwakweli huyu kaka anamoyo sana mie ningecheka haswaaa

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 ปีที่แล้ว +1

    Part 2 plz

  • @lizzydaniel1513
    @lizzydaniel1513 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka davista hata waganga sio watu wazuri aki wanatudanganya sn aisee

  • @demitrahawkins5457
    @demitrahawkins5457 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣ati ndio umehamua uanze na huyu🤣🤣🤣

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    manabii wa uongo hii pia inawahusu tena sana muwache kujifanya mna Mungu

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว

    hiyo sio hali ya kutafuta tu mtu kushaua mpaka wajukuu in advance . nafikiri na huyo mganga anawatoa kuwatoa akili pia imekuwa unakwenda ukifyeka migomba tu.

  • @lightnesslengine7499
    @lightnesslengine7499 4 ปีที่แล้ว

    mch robert tu ndo wa mungu aliye hai wengine mungu awasame tu bure

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว

    Davstar naomba namba yule alielawitiwa na jini jikedume haukumtaja jina lake na uso ulimfunika nisaidie

  • @lindahjoseph8360
    @lindahjoseph8360 4 ปีที่แล้ว +5

    Jaamaan Davister amependeza saana mwaaaah. 😍😘😘😘😘

    • @gespardanil2009
      @gespardanil2009 4 ปีที่แล้ว +3

      Shetani wa ngono utamjua2,

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 4 ปีที่แล้ว

      @@gespardanil2009 😂😂😂😂😂😂😂😂😂sio vzr ivyooo

    • @seifhamad9817
      @seifhamad9817 4 ปีที่แล้ว

      Gespar Danil Mmmh kusifia mtu Ndo ngono huna akili

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว

      usha chechetuka eenh!!!??

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว

      @@gespardanil2009 kumsifia kubaya? Acha dhana

  • @melisahakatu2512
    @melisahakatu2512 3 ปีที่แล้ว

    Am uwende promover church

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 4 ปีที่แล้ว +1

    Part two Mr Davistar Mata

  • @janekelvin507
    @janekelvin507 4 ปีที่แล้ว +6

    Nipo India ila nnavyo kufuatilia utafikiria nipo bongo penda sana wewe bby Davis tar

    • @demetriushenry3585
      @demetriushenry3585 4 ปีที่แล้ว +1

      Na corona hii polisi wanatutandika vby mno tukae tu ndan

    • @kelvinluoga5140
      @kelvinluoga5140 4 ปีที่แล้ว

      Sehemu gani india mimi nipo delhi

    • @janekelvin507
      @janekelvin507 4 ปีที่แล้ว

      Me nipo punjab ila pia delhi nakujaga

    • @hamadshein8272
      @hamadshein8272 4 ปีที่แล้ว

      Mie namtafuta amita mkimuona mwambie anicheki fasta.

    • @neemapeter6278
      @neemapeter6278 4 ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @rachelcharles5190
    @rachelcharles5190 4 ปีที่แล้ว +2

    Simuliz nzuri Sana nimejifunza mengi kupitia hii video .....

  • @straightlinecenter8429
    @straightlinecenter8429 4 ปีที่แล้ว +6

    Dunian manabii wote waongo hakuna wito wowote kipindi hichi nyie manabii ndo muna chafua ukisto

    • @MA-kh2lr
      @MA-kh2lr 4 ปีที่แล้ว

      Kweli...

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Yani nakuonea huruma Bora ukatumikie warabu kuliko hixo mnazo tafuta kwaza hapo mlikuwa naroho ngumu kula mtoto mxima eti ubongo ukakushinda jamani sauti zawatoto ndohazikuishii kila siku

  • @sarahkhwaka2864
    @sarahkhwaka2864 4 ปีที่แล้ว +4

    Where is part 2? It's a great story to learn from it.

  • @nadiahussein5892
    @nadiahussein5892 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mzima kweli

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 ปีที่แล้ว

    Hivi hawa watu wanaosema wameua Mara wamesabasha ajali. Hakuna sheria inayowabana wawajibishwe kisheria ??

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusitiri. Natamaa ya duniani eemola tuepushe naahii fitna ya dunia kesho tutasema nini KWA mungu sisi 😭😭😭😭😭😭

  • @ireneassey3685
    @ireneassey3685 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyu jamaa ka mchag ivi 🤣🤣pole Jamaa kumtumikia mungu ni wito hata mungu akuwap mtu yeyote cheo cha manabii na mitume ...

    • @rweenysamuel8146
      @rweenysamuel8146 4 ปีที่แล้ว

      Ana lafudh ya kigoma,sio mchaga huyu,... Assey unazingua😁😁😁

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 ปีที่แล้ว +1

    siku zote najua kuwa makanisa kujaa na kuponesha ni nguvu za giza.

  • @hanifaalsalamy2935
    @hanifaalsalamy2935 4 ปีที่แล้ว +1

    Kk upo vizuri . Ya kuendelea lini una load

  • @zoey2635
    @zoey2635 4 ปีที่แล้ว

    Ndio haya watu wanakemea na kusema fire kumbe unataja miungu hujijui,mungu atunusuru

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 ปีที่แล้ว

    Mh jamani huyu anaongea sana.

  • @bhokemasyaga4654
    @bhokemasyaga4654 3 ปีที่แล้ว

    Duh..😢

  • @abedichande2497
    @abedichande2497 4 ปีที่แล้ว

    ila bro kama umeamua kutuelimisha elimisha acha kuficha ficha mambo ..jinsi unavyo katakata baazi ya sehemu sio ishu we acha tu aendelee ..kipindi chako tunakiona kama sukari ..na kuna wakati hata sukaripia uwa inakinaisha ..so we wwache wafungukeeee yooote

  • @patrickpazza4764
    @patrickpazza4764 4 ปีที่แล้ว

    Jamaa nimempenda Sana kwenye kutokuingia kwenye mahusiano kisa den Kama nawewe umemuelewa like plz

  • @edwinjackson2294
    @edwinjackson2294 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh..! Noma sana tunaomba sehemu ya pili mzee

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  4 ปีที่แล้ว +1

      Kesho

    • @happyabdallah8379
      @happyabdallah8379 4 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM yaan ww kaka nimekukumbuka sana pindi upo kigambon ulikuwa unaishi kwa mama fey daa kweli milima haikutani lakin binadamu wanakutana haa Davistar

    • @rajabusoud847
      @rajabusoud847 4 ปีที่แล้ว

      KAKA MBONA UNATUANGALIA WEWE CHEKA 2 KAMA UNACHEKA

  • @famitonawanda4831
    @famitonawanda4831 4 ปีที่แล้ว +7

    Panaitwa Rio zambezia,
    Yani mto zambezia,
    Kuna uchawi balaa
    Ni hatari.

  • @ericalexandre2166
    @ericalexandre2166 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji uwe nauliza mwaka ambao tukio lilitokea ili tujue coz ni muhimu

  • @joanitadominic328
    @joanitadominic328 4 ปีที่แล้ว

    Hadi Nacheka tu Mungu nisaidie kwenye ili

  • @umulkheirshivanhassan5464
    @umulkheirshivanhassan5464 4 ปีที่แล้ว +1

    Ya'llah tufanyie wepesi

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 ปีที่แล้ว +1

    +254 😬😈 mtihani mzitooo Allah atuepushe aki tunaishi nao wanatumalizaa Duh uyu jamaaaunaweza kumkata vipande

  • @godfreykitoki9639
    @godfreykitoki9639 4 ปีที่แล้ว

    Damu inakulilia mikononi kwako...Push hiki kitu bro..nzr sana

  • @seifhamad9817
    @seifhamad9817 4 ปีที่แล้ว +2

    Duh

  • @godfreyjoseph8399
    @godfreyjoseph8399 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atusaidie kwakwel

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

    Yani manabii wa uongo wamezidi sijui wataenda jibu nini, heri ukiwa na shida funga na kuomba ww na familia yako Mungu atawajibu usiamini mtu anaye sema katumwa na Mungu

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hyo Nigeria ndo kisima kikubwa cha kupata utajili zaidi. Corona iongezeke Nigeria kwa wingi ili ukuu wa MUNGU ujulikane ktk nchi hyo , watu wakamjue MUNGU wa kweli waachane na uovu.

  • @geraldhongani8765
    @geraldhongani8765 3 ปีที่แล้ว

    Nenda kanisani kama unamin yesu anaweza atakukomboa na utaoa na utazaa na awatakufa kwa dam ya yesu.

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah kwahyo nayule mwamposa huenda nayeye alitoa kafara watu 🙄🙄😔

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว

      Mwingira,lusekelo,kakobe,rwakatare unawaachia wapi??yaani bora uwe naimani na uingie kanisa lakawaida tu

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว

      @@neemachongwe2715 kabisaa tatizo watu tunapenda miujiza kwa mwingira niliwahi kuingia nakwambia tv kanisa zima cjui nicamera zile, wanajitajirisha tu

    • @salmaalimusa547
      @salmaalimusa547 4 ปีที่แล้ว

      @@neemachongwe2715 yaani Mara 2 ue mroma kuliko kuamini miujiza yawalokole mm niliwahi kwenda kwamzee wayesu nilisukumwa wakati cna mapepo wakaniangusha kinguvu shoga niliumwa kifua mwz mzima,kwalusekelo hakunigusa namwingira hakunigusa yaani tusipende miujiza tusome vitabu vyadini tuvijue

  • @sophiajonas8618
    @sophiajonas8618 4 ปีที่แล้ว

    Jamaican jamani hawa wanaojiita mitume name maabii huwa Sina imani nap kabisaaaaa

  • @prittypritty5561
    @prittypritty5561 4 ปีที่แล้ว +1

    Toa kitambaa ujulikane labda takuwa nakujua nije kukumeza

  • @zoey2635
    @zoey2635 4 ปีที่แล้ว

    Kuna mchungaji south Africa alikuwa natoa simulizi yake yeye alitoa miujiza Nigeria ,haya mambo yapo jamani

  • @bintimohammed3233
    @bintimohammed3233 4 ปีที่แล้ว +2

    Audhubilah min dhalik

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 4 ปีที่แล้ว

      Binti Mohammed ukhty muombe Allah atuepushe

  • @sheilachisika8143
    @sheilachisika8143 4 ปีที่แล้ว +2

    Na mbona unajifunika chizi wews

  • @alexkalonga3632
    @alexkalonga3632 4 ปีที่แล้ว +12

    Uyu mbona Kama nabii Shillah jaman

  • @annajoseph9955
    @annajoseph9955 4 ปีที่แล้ว

    Kuma maee unaolewa na li jitu unajua ni. Mme kumbe zigo fala kabisa huyu na wew uuliwe shenzi kabisa

  • @nawwafomar4518
    @nawwafomar4518 4 ปีที่แล้ว

    wahubiri wote ni wasanii manabii wa uwongo wachafu washirikina wanzinzi manabii walitoka kwa mungu

  • @lizzaitun5097
    @lizzaitun5097 4 ปีที่แล้ว

    Eeeeeh mungu shuka uchukue walio wako kabla wachawi wa neno lako hawajatumaliza

  • @milley7185
    @milley7185 2 ปีที่แล้ว

    Unawaogopa hao watumishi ,,si uwataje haooo

  • @theteam9715
    @theteam9715 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa boya sana

  • @hassanmugire1497
    @hassanmugire1497 4 ปีที่แล้ว

    Wanawake mnaotaka kuolewa na manabii kazi kwenu

  • @samwelalphonc8808
    @samwelalphonc8808 4 ปีที่แล้ว +2

    bro your good xema umalizii simulizi

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona Picha Zinazibwa

  • @festokiraryo.6107
    @festokiraryo.6107 3 ปีที่แล้ว

    Hata ukijificha uso kwa stori hii utajulikana tu

  • @khadijaahmada2544
    @khadijaahmada2544 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa mchunngaji mbona anaongea kama ringo 🤣🤣mimi naskia lakiny baada ya lakin 😁😁😁😁👿